Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 5,545
- 11,509
WE UNAWEZA?Najua bwana, ila kukaa jela sio kigezo
WE UNAWEZA?Najua bwana, ila kukaa jela sio kigezo
Wewe ndio umjui huyo amepita misukosuko balaa alikuwa anasubili tobo tu la kutokea na Mungu bariki akalipata kilichobaki ni historia..Ndugu zangu wanabodi..
Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...
Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?
Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?
Baba levo, alianza tu kuwa na diamond toka enzi, ila ndo hivyo leo anakula maisha.. He's living lavingshly lifestyle na mbubge pia.
View attachment 3712037
Kwahiyo hii ndo maana halisi ya nyota? Ama?.
Binafsi nikiona GA watu kama hawa huwa mnafikiria sana kuhusu mafanikio,
Wengine wanasema upambane, wengine wanasema tuwe machawa, wengine wanasema twende kwa waganga.. Yaani ni full maneno.
Una hakika ni wananchi walimpa?Wananchi walimpa udiwani. Leo wamempa ubunge na ni mmoja ya wabunge wenye impact sana(mwenye angalau) anawapambania sana watu wa Kigoma.
😅 nilijua una akili hata kidogoUnaongea ukitafuta umati, ila wote wanajua hakuna genius jf nzima kama mimi.
Siunaunakumbuka kunakipind baba lavo alisema alikua anatamani sana kama angeweza kumbebea diamond ujauzitoHahaha,
Kumbe akina Tlaatlaah kazi yao ni ngumu mnoo!
Kama mtu unaweza kufikia point ya kufanya hivyo, means uko tayari kwa lolote kikubwa pesaSiunaunakumbuka kunakipind baba lavo alisema alikua anatamani sana kama angeweza kumbebea diamond ujauzito
Wapo tayar kufanya chochote kwaajili ya kibunda ndio maana uyo uliemtag yuko tiari aonekane tahira kwaajili ya wenye kibunda
Sidhani bwashee 😅We unadhani sina?
Baba levo alikuwa diwani mwaka 2015 kupitia ACT na SIO ChademaWatu wanatoka mbali. Huyo Baba Levo mie nimeanza msikia 2006/2007 nikiwa sekondari huko,enzi hizo Radio Free Afrika inawika sana, kwenye ShowTime, Sandu G na Kidbway walikuwa wanapiga sana ngoma zao. Walikuwa na kundi lao kabisa la muziki, nimelisahau jina.
Badae tukamsikia Kigoma All stars (Leka dutigite), mara mwanasiasa wa Chadema, mara yupo na Zitto ACT, mara kafungwa jela kisiasa, mara chawa wa Diamond. Na uchawa ndio kama kaotea kete nzuri.
Kwa maoni yangu huyo jamaa kachelewa kupata pesa! 😊
Life haipo fair; kuna vipindi mafanikio huwa yanakuja hata mhusika akijiuliza imekuwaje, hapati jibu.
Baba levo alikuwa diwani mwaka 2015 kupitia ACT na SIO Chadema
Kama ni hivyo basi mafanikio is his birthright2011 nilikua kigoma wale jamaa kule wapo silizi, alikuwepo diwani mmja pale wa kuitwa brantanya baba levo cha mtoto, kesi Yako lakini anaivaa kama ndg wakati hata hakijui. Huyu jamaa jembe sana by the way mleta mada hujui km jamaa aliwahi kuwa konda kipindi kile cha k town pple
Sawa mkuuWatu kama baba levo , mwijaku n.k wamefika hapo walipofika kwa ajili ya mtandao social Media.
Yawezekana wana VIPAJI vya uchawa ila nguvu ya mtandao ndo imewafikisha hapo na SIO hao tu ila internet imekuwa leverage kwa kijana au mtu yeyote kiuchumi.
SIO sawa Hilo ndo jibu sahihi, social media zimebadilisha ya watu wengi ambao wasingweza weza kupata nafasiSawa mkuu