Hivyo hivyo bwashee 😅😅 muhimu najikubali kabla ya wewe kutaka kunikubali😉Unapata pesa? Au unapata vijisenti vya kwenda kunywea mbege
😆😆 relax dogo , wala sitaki unikubali soma tu maandishi yangu kwa tafakuru ,yatakusaidia sanaNi kukubali kwa lipi dumb head?
Hiyo ni moja kati ya mikakati yake katika utafutaji. Ila kufika hapo alipofika ni mapambano tosha. Niliwai ona story yake ya kuja mjini na Peter Msechu, watu wanapitiaga mengi ni vile sisi huwa tunafocus kwenye matokeo hatujui mchakato walioupitia.Kwa jinsi anavyo jiwekea, he's just like mwijaku
Maandishi yako hayana uzito wala wisdom wewe ni kama Yale mateja yanayo kwenda bar kuelewa na kuanza kuongea yakizani kuwa yana wisdom kumbe yanaonekana majinga tu😆😆 relax dogo , wala sitaki unikubali soma tu maandishi yangu kwa tafakuru ,yatakusaidia sana
Okay,Hiyo ni moja kati ya mikakati yake katika utafutaji. Ila kufika hapo alipofika ni mapambano tosha. Niliwai ona story yake ya kuja mjini na Peter Msechu, watu wanapitiaga mengi ni vile sisi huwa tunafocus kwenye matokeo hatujui mchakato walioupitia.
Baba Revo na harakati za siasa za upinzani kafanya, kawa diwani wa upinzani, na mziki wake wa kidesign kafanya nilykuwaga nafuatilia ngoma na vituko vyake. Mwisho wa yote naweza sema B Revo Ba, amejua kubrand potential yake kupitia kila kitu alichofanya leo ni mheshimiwa
Hahahaha 😆 kuna madini unakosa kwa kiburi cha kujilinganisha tu bwasheeMaandishi yako hayana uzito wala wisdom wewe ni kama Yale mateja yanayo kwenda bar kuelewa na kuanza kuongea yakizani kuwa yana wisdom kumbe yanaonekana majinga tu
Hivi unajua jamaa amesota vya kutosha kwenye mambo ya mziki amelala nje umeshinda njaa mpaka anakuja kufikia udiwani alikuwa amesota sana unamkosea heshima kijanaHapana mkuu, najua alikuwa diwani ila si ni mambo ya connection tu hayo, baba levo kasoma wapi?
Baba Levo hajaibuka tu.Ndugu zangu wanabodi..
Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...
Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?
Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?
Baba levo, alianza tu kuwa na diamond toka enzi, ila ndo hivyo leo anakula maisha.. He's living lavingshly lifestyle na mbubge pia.
View attachment 3712037
Kwahiyo hii ndo maana halisi ya nyota? Ama?.
Binafsi nikiona GA watu kama hawa huwa mnafikiria sana kuhusu mafanikio,
Wengine wanasema upambane, wengine wanasema tuwe machawa, wengine wanasema twende kwa waganga.. Yaani ni full maneno.
Dare sio dear.Hakika, ila wapole ndio watu wabaya zaidi if you dear to cross a line
ata TAL angemshindalile jamaa mi sikuamini lingeweza kumshinda zito kabwe kwenye kura😂😂
Huyo alishawahi kukaa jela kama lissuAlipigania nini?
Labda mimi ndo sifuatilii kuhusu yeye, Namwonaga kama mfuata nyuki tu