The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,605
- 15,266
Mm najua mpambanaji Yeyote lazima Ale.
KIjana mbona unanitukania ndug yangu shida nini,Matako ya nguruwe wewe, kiazi kabisa. Haunaga hoja katika hili jukwaa mara utukane wanawake, mara uzungumzie ngono yaani kichwani ni hewa kabisa
001Ndugu zangu wanabodi..
Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...
Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?
Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?
Baba levo, alianza tu kuwa na diamond toka enzi, ila ndo hivyo leo anakula maisha.. He's living lavingshly lifestyle na mbubge pia.
View attachment 3712037
Kwahiyo hii ndo maana halisi ya nyota? Ama?.
Binafsi nikiona GA watu kama hawa huwa mnafikiria sana kuhusu mafanikio,
Wengine wanasema upambane, wengine wanasema tuwe machawa, wengine wanasema twende kwa waganga.. Yaani ni full maneno.
BRo achna nae huyo sikuwepo, kingenuka si kitoto, siwezi ona ukikosewa heshima kiasi hicho nami nipo😆😆 relax dogo , wala sitaki unikubali soma tu maandishi yangu kwa tafakuru ,yatakusaidia sana
Bwashee inaonekana nimekosewa kiheshima kama mimi nitaamua hivyo😅BRo achna nae huyo sikuwepo, kingenuka si kitoto, siwezi ona ukikosewa heshima kiasi hicho nami nipo
Sawa bwashee hawa madogo nikuishi nao tu hivohivo, hamna namna, wao wanaaona humu kila mtu, kapanga geto, ana smart phone ya mkopo, nk hivo nikuvimbiana tuBwashee inaonekana nimekosewa kiheshima kama mimi nitaamua hivyo😅
Sasa kwa uchaguzi ule hata CCM wangeweka jiwe lishindane na zitto unafikili ZZK angetoboa? Hebu mambo ya uchaguzi ule ingekuwa vizuri mngeachana nalolile jamaa mi sikuamini lingeweza kumshinda zito kabwe kwenye kura😂😂
Kwq ule uchaguzi ata agombea obama kupitia upinzani ashindane na zuchu akiwa ccm zuchu qngeshinda if you know what i meanlile jamaa mi sikuamini lingeweza kumshinda zito kabwe kwenye kura😂😂
Yes, jamaa ni mpenda haki sana.Baba Levo hajaibuka tu.
Baba Levo alikuwa msanii huko nyuma na alitoa ngoma za hapa na pale kabla hata ya Diamond.
Baadae, akawa mwanasiasa mahiri wa upinzani na mwenye ushawishi kwa vijana na alishawahi kuwa diwani kupitia CHADEMA. Badae enzi za jiwe akafungwa na alipotoka ndio akaenda Dar kuomba msaada kwa Diamond. Inaonekana aliwekeza labda huko kwa Diamond hata mahusiano mazuri mana si rahisi tu ghafla akampokea kama hawakuwa na mahusiano mazuri.
Demokrasia ya Kikwete ingeendelea, Baba Levo labda angefanikiwa kuwa mbunge kupitia CHADEMA!
Ukimuangalia vizuri Baba Levo bado anavi-elementi vya kupenda haki kwa wananchi ndio maana juzi kati aliitoa kwenye mashindano aliyoyandaa timu ya polisi kwa sababu waliwakamata wachezaji wa timu pinzani ili kuwapunguza makali
Yeah baki hapo tu halafu vungaNijilinganishe na coward?
Kama kawa kwenye game toka 2007 atakuwa kasha Kala msoto kweliWatu wanatoka mbali. Huyo Baba Levo mie nimeanza msikia 2006/2007 nikiwa sekondari huko,enzi hizo Radio Free Afrika inawika sana, kwenye ShowTime, Sandu G na Kidbway walikuwa wanapiga sana ngoma zao. Walikuwa na kundi lao kabisa la muziki, nimelisahau jina.
Badae tukamsikia Kigoma All stars (Leka dutigite), mara mwanasiasa wa Chadema, mara yupo na Zitto ACT, mara kafungwa jela kisiasa, mara chawa wa Diamond. Na uchawa ndio kama kaotea kete nzuri.
Kwa maoni yangu huyo jamaa kachelewa kupata pesa! 😊
Life haipo fair; kuna vipindi mafanikio huwa yanakuja hata mhusika akijiuliza imekuwaje, hapati jibu.
Bwashee sijui nimejaa kwenye mfumo upi? Kiukweli nimejaa kwenye mifumo mimgi mno🤔Bwashee bwana kwa hiyo umejaa kwenye mfumo?