Wewe debe tupu,broken zako hua tunakuangalia tu unavyo hangaika,hiyo sio typo,kubali tu kua ulikua hujui.You quite know it was a typo
Alianzia kuwa diwani miaka mingi sana kabla hata huyo Diamond hajawa star.Alipigania nini?
Labda mimi ndo sifuatilii kuhusu yeye, Namwonaga kama mfuata nyuki tu
Kama kawa kwenye game toka 2007 atakuwa kasha Kala msoto kweli
Alishakaa jela kwa sababu ya siasaAlipigania nini?
Labda mimi ndo sifuatilii kuhusu yeye, Namwonaga kama mfuata nyuki tu
Aisee kumbe mafanikio huwa fuata wanaostahili tu?
Si unaona wachangiaji wengine wanasema ya kuwa jamaa anastahiliTanzania yetu ndio tatizo Wala sio bahati kama unavyodhania, nchi yetu imekuwa ya hovyo sana siku hizi, yaani vitu visivyo na msingi ndio wanavipa kipaumbele...yaani vitu vya kijinga jinga ndio vinaumuhimu kwa tawala za kileo
Labda hakuna omba omba jf nzima kama wewe,wewe wote wamesha kujua kua kuna nati kichwani imeregea,watu wengi wamesha kushauri ukapate tiba Mirembe,Unaongea ukitafuta umati, ila wote wanajua hakuna genius jf nzima kama mimi.
Hivi kujibizana na maneno ya wanawake ndo kitu unachokipenda?Labda hakuna omba omba jf nzima kama wewe,wewe wote wamesha kujua kua kuna nati kichwani imeregea,watu wengi wamesha kushauri ukapate tiba Mirembe,
Halafu si ulisema umeniweka kwenye ignore list? Inakuaje unaona na kujibu comment zangu? Mimi ni kama maji,au ulikua unajitekenya na kucheka mwenyewe?
Uchawa unalipa, jaribu!Ndugu zangu wanabodi..
Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...
Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?
Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?
Baba levo, alianza tu kuwa na diamond toka enzi, ila ndo hivyo leo anakula maisha.. He's living lavingshly lifestyle na mbubge pia.
View attachment 3712037
Kwahiyo hii ndo maana halisi ya nyota? Ama?.
Binafsi nikiona GA watu kama hawa huwa mnafikiria sana kuhusu mafanikio,
Wengine wanasema upambane, wengine wanasema tuwe machawa, wengine wanasema twende kwa waganga.. Yaani ni full maneno.
Kumbe wewe ni mwanamke? Ndio maana umekua omba omba maarufu wa JF.Hivi kujibizana na maneno ya wanawake ndo kitu unachokipenda?
Hahaha,Ubaya wa mafanikio ya uchawa sehemu zako za hajakubwa unakua umeziweka rehani ni ngumu sana kuzilinda kwenye hio tasnia yao ya uchawa