uchawi

  1. Raba kali

    Ndugu wanaJamiiForums, aminini nawaambieni! UCHAWI UPO...

    Kama hakuna uchawi nani anaweza kuelezea tukio hili kisayansi? Angalia kuku anavyolia target! Anavizia mpira unapigwa anauvaa anaelekea gorini yeye mpira unatoka nje. Hiv visanga utakutana navyo uswahilini tu, kama hujazaliw huko utaviskia tu. Nani anaweza kuelezea tukio hili kisayansi, aelezee tu
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Simulizi ya Emmanuel Eni, mchawi mkubwa aliyekuwa msaidizi wa karibu wa shetani, akiendesha mihadhara chini ya bahari

    Simulizi ya Emmanuel Eni (ambaye mara nyingi hujulikana kama Mchungaji Emmanuel Eni) ni moja kati ya ushuhuda maarufu na wenye mjadala mkubwa sana barani Afrika kuhusu mambo ya uchawi, nguvu za giza, na wokovu wa Kikristo. Aliweka wazi mkasa wa maisha yake kupitia kitabu chake kilichopata...
  3. S

    Sasa naelekea kuamini uchawi upo

    Wakuu nimepambana sana, tafuta connection za maana.... Piga kazi kama kichaa, hakuna kuchagua kazi lakini wapi.... SASA kama nyie wachawi mpo, mjipange...... Maana naingia kijijini kurudi na dawa yenu. HAKUNA KUTIA HURUMA.
  4. K

    Uchambuzi wa Kihistoria: "Sogea Karibu" na Uchawi wa Muziki wa Dansi Tanzania

    Habari za muda huu Wana-JamiiForums (JF)! Leo nimeona niwaletee makala hii maalumu yenye mchanganyiko wa historia, siri za jikoni za muziki wetu wa dansi, na ushuhuda binafsi wa jinsi muziki wa zamani ulivyokuwa na nguvu ya kubadili maisha ya mtu. Tunamulika dondoo adimu za kibao kilichotikisa...
  5. Red black

    Watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa

    Utafiti unaonyesha kuwa 100% ya watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa na ndugu zao au kwamba mmoja wao alitolewa kafara. Huwezi kumkuta maskini akiwaza maendeleo; never! Mawazo yao ni ngono, unafiki, umbea na majungu...
  6. Yoda

    Kwanini vijana Watanzania wanaongoza zaidi kufuatilia na kujadili ngono na uchawi ?

    Katika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho. Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi...
  7. OMOYOGWANE

    Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

    Habari wakuu, Miaka michache iliyopita niliahidi nitaleta mrejesho kwenye huu uzi hapa https://www.jamiiforums.com/threads/naenda-bariadi-kusomea-degree-ya-uchawi-wenye-faida-nitaleta-mrejesho-mwaka-2026-mwezi-wa-kwanza.2233791/ Kiukweli hii elimu ni elimu ngumu kuliko ile ya chuo kikuu sababu...
  8. Design Your Idea

    Ziwa victoria ukanda wa musoma na visiwa vya ukurewe kumetupwa vifungo vya maisha ya watu wengi. Chezea pote ila sio uchawi wa ziwani

    Inachukulia hatma yako alafu inafungwa kisawa sawa na kunenewa na inatupwa ziwani. Kinachofatia ni wewe kuona cha mtema kuni maisha yako yote. Nafikiri wakazi wa majita na ukerewe wanaelewa nachokimaanisha na kina uzito gani. NIWATAKIE MEMA KATIKA NJIA ZENU.
  9. Zack Abdul

    UMASIKI, CHIKI NA UCHAWI NI KULWA NA DOTTO

    Chuki kubwa waliyonayo watu wengi dhidi ya watu waliofanikiwa kisiasa au kiuchumi inatokana na Umaskini wa kipato na umaskini wa fikra. Chuki ikizidi huzaa roho mbaya na roho mbaya na Uchawi ni kama kurwa na dotto.
  10. zee_latown

    Familia nyingi za Kitanzania ni masikini kwa sababu ya UCHAWI na ULOZI

    Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi. Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi. miongoni mwa mambo mengi...
  11. N

    Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  12. Yoda

    Uchawi ni nini ?

    Mfano huyu Mugisha koti lake kufuatwa na nyuki Waswahili wamekimbilia ni uchawi! Akili za Waafrika wengi zikishindwa kuelewa jambo kwao inakuwa ni uchawi.
  13. Hance Mtanashati

    Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

    Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili . Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo. Cha kufanya...
  14. Red black

    Kama kungekuwa na pesa za uchawi/majini basi bro Mshana Jr angekuwa tajiri namba 1 Africa

    The old Witcher 🤔 Mshana Jr
  15. tilmikha

    Joseph Glanvill: Majini, Uchawi na mpaka uliopo kati ya Imani na Sayansi

    SEPT 21, 2026: Tanzania Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu? Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
  16. Expensive life

    Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

    Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana. Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.
  17. Right Flower

    Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Mgonile, Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili: video...
  18. Jannatul Firdaus

    Tukio la Diamond kutaka kuibiwa kwenye 40 ya mtoto wake laibua mapya! Uchawi watajwa, Ni nani?

    Video inayomuonyesha msanii Diamond Platnumz akiwa na msanii S2kizzy kwenye sherehe ya arobaini ('40') ya mtoto wake imeibua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye kipande hicho cha video, unaonekana mkono wa mtu aliyesimama kwa nyuma ukimgusa na kushika vito vyake vya thamani...
  19. Eli Cohen

    Ukiwauliza wana JF kumi kama uchawi upo, 8 kati 10 watakuambia upo ila ukiwauliza hao 8 kama wana uthibitisho 95% ya maelezo utagundua hawana uhakika

    Mshana Jr usiniroge bro ni maoni yangu tu na data za kutunga tunga😁
Back
Top Bottom