Hello guys, guys, guys! 😄
Wale wapenzi wa sex, watu wa maloveee... ❤️
Wale wa utamuuuu... 😅
Kuna msemo ambao nimekuwa nikisikia mara kwa mara: "Nimekojoa, nikawa mwepesi."
Hivi ni kweli kwamba ukishafika kileleni (orgasm), unajihisi mwepesi?
Je, kabla ya hapo huwa unakuwa mzito au ni hisia tu zinazotokana na mwili kupumzika baada ya mshindo?
Na swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Ni hisia gani au tukio gani linaweza kufanana...