Hivi Baba levo ana uchawi ama?

Hivi Baba levo ana uchawi ama?

Bwashee hata sielewi maana Namwonaga kama mtu anaye jitutumua kwa wenye navyo tu... Mpaka kufikia ubunge ni vile tu kabebwa na jina plus wasafi
Bwashee huyu jamaa ashawahi kukaa jela kisa mambo ya uongozi enzk hizo yupo ACT ya moto ya ZItto Zubeir Kabwe
 
Hana TALENT? kwani bwashee umezaliwa lini lakini mbona mambo madogo haya yanakuvusha vyeo? 😎
Baba Levo ni MUSICIAN
Baba Levo ni COMEDIAN
Baba Levo ana talanta ya UONGOZI
Kumbe?
Musician kwa nyimbo zipi?
Comedian wapi labda kwenye uchawa tu
Uongozi? Ana taaluma gani ya kumfanya kuwa prominent leader?
 
Kumbe?
Musician kwa nyimbo zipi?
Comedian wapi labda kwenye uchawa tu
Uongozi? Ana taaluma gani ya kumfanya kuwa prominent leader?
Aah bwashee niko site nabeba zege ,ingia youtube au Ai tool kamuulize haya maswali utadadavuliwa vizuri 😎
 
Sawa bwashee wewe pambana hakuna namna, mwanaume sifa kazi
Naam bwashee wanasema "HAKUNA KUACHA NDALA"
Ila jamaa ni mtu poa sana na fighter asiyechoka kumpindua Zitto(Mlezi wake kisiasa na kipropaganda) sio kazi rahisi.
Mida bwashee😎
507327.jpg
 
Baba Levo hajaibuka tu.

Baba Levo alikuwa msanii huko nyuma na alitoa ngoma za hapa na pale kabla hata ya Diamond.

Baadae, akawa mwanasiasa mahiri wa upinzani na mwenye ushawishi kwa vijana na alishawahi kuwa diwani kupitia CHADEMA. Badae enzi za jiwe akafungwa na alipotoka ndio akaenda Dar kuomba msaada kwa Diamond. Inaonekana aliwekeza labda huko kwa Diamond hata mahusiano mazuri mana si rahisi tu ghafla akampokea kama hawakuwa na mahusiano mazuri.

Demokrasia ya Kikwete ingeendelea, Baba Levo labda angefanikiwa kuwa mbunge kupitia CHADEMA!

Ukimuangalia vizuri Baba Levo bado anavi-elementi vya kupenda haki kwa wananchi ndio maana juzi kati aliitoa kwenye mashindano aliyoyandaa timu ya polisi kwa sababu waliwakamata wachezaji wa timu pinzani ili kuwapunguza makali
Baba levo kigoma all star ndo ilimkutanisha na diamond pia baba levo by nature ni mpinzani alienda ccm baada ya kuona zito hataki kuachia kugombea ubunge kupitia act ndo maana akahamia ccm
 
hana historia ya mapambano...
Alifungwa Jela kipindi hicho akiwa Diwani kupitia ACT Wazalendo na chanzo kilikua ni ugomvi na nani sijui wa Serikali ya wakati huo akamchukua akamtia ndani, na hayo ni sehemu ya mapambano aliyokua nayo hapo kabla.. sometimes twende mbele turudi nyuma mimi binafsi najua kuna wasomi wameenda shule na vyeti kibao ila ukiongea nao dakika 2 tu yaan ukiwapa dakika 2 wazungumze unakua tayari ushachoka kuwasikiliza.. mimi baba levo sasa hapa tutokea kwenye see a sir tuje kwenye upande wake personal yeye km yeye ninachomkubari ni kitu kimoja akipewa topic aizungumzie anaenda kwenye point ya msingi.. simpendi mtu anaepewa topic aizungumzie halafu anaanza kuzunguka Mbuyu km DAB
 
Nyuma ya mafanikio ya mtu, kuna mengi yaliyojificha nyuma ya pazia. Ukiona mtu anakula mafanikio yake muache maana hujui magumu aliyopitia kufika hapo.

Mfano; mimi hunifahamu ila ghafla nikipata umaarufu wa mafanikio utona kama nimepata kirahisi rahisi kumbe kuna mazito nimepitia. Ask my shoes.
 
Ndugu zangu wanabodi..

Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...

Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?

Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?

Baba levo, alianza tu kuwa na diamond toka enzi, ila ndo hivyo leo anakula maisha.. He's living lavingshly lifestyle na mbubge pia.
View attachment 3712037
Kwahiyo hii ndo maana halisi ya nyota? Ama?.

Binafsi nikiona GA watu kama hawa huwa mnafikiria sana kuhusu mafanikio,

Wengine wanasema upambane, wengine wanasema tuwe machawa, wengine wanasema twende kwa waganga.. Yaani ni full maneno.
kwenye haya maisha bado unaangalia masters kama kielelezo chakufanikiwa?
masters zenu hizihizi za haiba na michezo?
 
Ndugu zangu wanabodi..

Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...

Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?

Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?

Baba levo, alianza tu kuwa na diamond toka enzi, ila ndo hivyo leo anakula maisha.. He's living lavingshly lifestyle na mbubge pia.
View attachment 3712037
Kwahiyo hii ndo maana halisi ya nyota? Ama?.

Binafsi nikiona GA watu kama hawa huwa mnafikiria sana kuhusu mafanikio,

Wengine wanasema upambane, wengine wanasema tuwe machawa, wengine wanasema twende kwa waganga.. Yaani ni full maneno.
Baba Levo siyo mpambanaji?
We jamaa chenga sana
 
Si unaona wachangiaji wengine wanasema ya kuwa jamaa anastahili
Ukiangalia nafasi nyingi za ccm kwenda kutumika serikalini ...wengi sana hawakustahili...kuanzia kwa rais wao Hadi kwa balozi...ni ujanja ujanja na uhuni ulifanyika, sioni aliyestahili....hizo juhudi zingine ni kiini macho tu Cha kutuzugia tu
 
Kumbe?
Musician kwa nyimbo zipi?
Comedian wapi labda kwenye uchawa tu
Uongozi? Ana taaluma gani ya kumfanya kuwa prominent leader?
Aisee
Wewe Baba Levo umechelewa kumjua
Wimbo wa kigoma uliombwa na Kigoma All stars
Baba Levo yupo ndani mule anachana mistari
Nenda YouTube kamuangalie mwanetu.


Siasa kamuangalie akiwa Diwani,,hao watu wa kigoma wenyewe wanasema akiwa Diwani aliwapigania wanachi.

Pia Baba Levo ukitoa matani na uchawa,
Ni mtu mwenye nidhamu sana na anakumbuka fadhila.

Points zanazoongea Bungeni
Hao wenye masters na PhD hawaziongei,
Zaidi sana ni kuisifu serikali Kwa sifa wanazozijua wao hadi kuna muda wanakufuru.
 
Ungejishikilia wewe kwanza ambaye hunafuatilia kwanza history ya mtu, u akimbilia tu kujiaminisha na kuconclude jukwaani.
Kwa hiyo unatafuta vita nami? Utaiweza
Aisee
Wewe Baba Levo umechelewa kumjua
Wimbo wa kigoma uliombwa na Kigoma All stars
Baba Levo yupo ndani mule anachana mistari
Nenda YouTube kamuangalie mwanetu.


Siasa kamuangalie akiwa Diwani,,hao watu wa kigoma wenyewe wanasema akiwa Diwani aliwapigania wanachi.

Pia Baba Levo ukitoa matani na uchawa,
Ni mtu mwenye nidhamu sana na anakumbuka fadhila.

Points zanazoongea Bungeni
Hao wenye masters na PhD hawaziongei,
Zaidi sana ni kuisifu serikali Kwa sifa wanazozijua wao hadi kuna muda wanakufuru.
He truly is disciplined ila ni moja ya watu ambao njia zao zimekuwa rahisi sana.
 
Ukiangalia nafasi nyingi za ccm kwenda kutumika serikalini ...wengi sana hawakustahili...kuanzia kwa rais wao Hadi kwa balozi...ni ujanja ujanja na uhuni ulifanyika, sioni aliyestahili....hizo juhudi zingine ni kiini macho tu Cha kutuzugia tu
Hata mm huwa nashangaa sana watu wanaosema baba levo ana caliber hiyo wanayo mpa, jamaa ni average ila ana sauti zaidi ya wengine ndo maana
 
Back
Top Bottom