baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

    HUNA SABABU YA KUWA BABA YA KAMBO HASA UKIWA CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Tz Mtibeli. Naongea na vijana wa Tibeli, naongea na binti za Tibeli. Nazungumza na wanaume wa Tibeli. Nazungumza na wanawake watibeli. Na wote wenye ufahamu. Najua duniani inatabaka mbili. Watumwa na...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujiuziru siasa ndo tunajua sio raia wa Tanzania, ngoni migration ndo iliwaleta baba na mama yake Tanzania, arudi kwao Sasa.😃😀🫷

    Visa, vitimbi vinaanza Sasa, file zito jekundu lipo MEZANI kwa Bwana. Pamoja yakuwa ana cheo cha UBALOZI lakini sio raia. Pamoja yakuwa aliwai kuwa waziri wa mambo ya ndani ILA sio raia. Baada kujiuzuru siasa ndo tunabaini sio raia( kamuuze mzee ulimwengu baada ya kujiuzuru ukuu wa WILAYA...
  3. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

    Kila kitabu bei 10,000 nicheki WhatsApp 0756704145
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Nyansaho akutana na wazee waliopigana vita, Baba Levo naye atoa neno

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na Utaratibu wa Kuita Majina Watoto Bila Kulazimika Kutumia jina la Ukoo la Baba kama Anavyofanya Rais Museven na Diamond

    Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana. ======= Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

  8. O

    JamiiForums Kenya Baba wa watoto wawili akamatwa kwa kujifanya Kasisi wa Kikatoliki Lodwar

    Mwanamume kutoka Kisii, Jones Bogonko Onchonga, amekamatwa baada ya kudaiwa kujifanya kuwa kasisi wa Kanisa Katoliki katika Kaunti ya Turkana. Kulingana na Kanisa Katoliki la Jimbo la Lodwar, Onchonga alitumia nyaraka zinazodaiwa kuwa za kughushi ili kujitambulisha kama kasisi aliyeidhinishwa...
  9. Pierina Vicka

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

    Habari za wakati huu wapendwa, mimi naitwa PENDO GERVAS KALILO. Nilizaliwa mwezi Septemba mwaka 1993, Kahama. Kwa sasa ninamtafuta baba yangu mzazi ambaye anaitwa GERVAS KALILO. Sijawahi kumuona baba yangu, na jina lake nililiona kwenye kadi yangu ya kliniki likiwa na majina hayo mawili tu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waswahili walishindwa kujiongeza kujua binadamu hana baba/mama wadogo/wakubwa

    Kuwaita ndugu za baba, baba mdogo/mkubwa na ndugu za upande wa mama, mama mdogo/mkubwa imekaa Kienyeji sana. Baba ni mmoja tu, mama ni mmoja tu, hakuna nusu baba au nusu mama. Kama walikosa majina ya kuwapa bora tungebaki na mjomba na shangazi tu kwa pande zote. Unakuta mtu ana miaka 25 ana...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baba alifariki 2015, Fedha zake zikahifadhiwa Mahakamani Dodoma, tumekamilisha taratibu lakini tunasotea hadi leo

    Baba yetu alikuwa mfanyabiashara hapa Dodoma mjini. Mwaka 2015, mauti yalimfika na kutuacha tukiwa na huzuni kubwa. Kama ilivyo kwa familia nyingi za Kiafrika, baada ya msiba kupita, kulikuwa na mivutano na mirorongo mingi ya kifamilia kuhusu usimamizi wa mali zake. Hata hivyo, kuna kitu kimoja...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Kijana niliyemshtaki kwa madai ya kunitukana sasa ananiita 'baba'!, aje athibitishe Mahakamani

    John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao. "Nimeanzisha kesi yangu aje kudhibitisha...
  14. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa tunu shekhome amefariki dunia usiku huu hospital ya kairuki

    Pole sana tunu wewe na dada mwajabu shekhome poleni sana . Mungu ni mja wa.wote I niliahidi... Nipo pamoja nanyi
  15. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Wenye midomo hawasemi Rais Samia anavyoleta miradi ikitokea tumekopa midomo mingi

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baba...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

    Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa...
  17. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Baba Levo ashinda kesi ya uchaguzi.

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, leo Alhamisi Julai 16, 2026, imeifuta kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini yaliyompa ushindi Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Levocatus Chipando maarufu Baba Levo. Akitoa uamuzi huo, Jaji Victoria Nongwa anayesikiliza...
  18. Pierina Vicka

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta Baba yangu anaitwa Gervas Kalilo. Alikuwa anaishi Kahama Mtaa wa Uhindini miaka ya 1990

    Wana-JamiiForums, habari za majukumu Naja mbele yenu nikiomba msaada wa hali na mali wa kupata dondoo yoyote itakayoniwezesha kumpata baba yangu mzazi ambaye sijawahi kumwona tangu nizaliwe. Naitwa Pendo Gervas Kalilo, na kwa sasa sipo nchini Tanzania lakini kiu yangu kubwa ni kumfahamu baba...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Je system inataka kumvua ubunge Baba Levo ili apewe Zitto?

    Kuna kesi inaendelea pale mahakama kuu masijala ndogo ya Kigoma kuhusu ushindi wa Clayton Chipando a.k.a Baba Levo kuhusu ubunge wake. Kuna tuhuma kuwa ushindi wa Baba Levo ulikuwa na hujuma kwa wapinzani wake wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025. Endapo atakutwa na hatia, Baba Levo anaweza...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

    Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa. Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa. Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
Back
Top Bottom