Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 17,699
- 33,415
Ndugu zangu wanabodi..
Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...
Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?
Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?
Baba levo, alianza tu kuwa na diamond toka enzi, ila ndo hivyo leo anakula maisha.. He's living lavingshly lifestyle na mbubge pia.
Kwahiyo hii ndo maana halisi ya nyota? Ama?.
Binafsi nikiona GA watu kama hawa huwa mnafikiria sana kuhusu mafanikio,
Wengine wanasema upambane, wengine wanasema tuwe machawa, wengine wanasema twende kwa waganga.. Yaani ni full maneno.