The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,651
- 3,446
Dah bwashee usinipandishe vyeo kiasi hicho 😂 ,elimu yangu ni ya kidato cha 4 tu.Si unaulizia mkuu, ila hata hivyo we mwongo ukute ndo injinia mwenyewe
Dah bwashee usinipandishe vyeo kiasi hicho 😂 ,elimu yangu ni ya kidato cha 4 tu.Si unaulizia mkuu, ila hata hivyo we mwongo ukute ndo injinia mwenyewe
Kukuambia ukweli ni kutafuta vita?Kwa hiyo unatafuta vita
AiseeHuwa inasikitisha sana hawa vijana , yaani analeta mada halafu yeye ndio anaanza tena kuleta ujuaji kwenye mada alioleta
Kimsingi hawa madogo sample hii wana shida sana kwenye maisha yao nje ya mitandao, na hili jambo nilishalofanyia utafiti
Mtu una macho mawili na masikio mawili hujiulizi kwa nini una mdomo mmoja ?
Tuishi nao huenda wakabadilika
Tupoooo 😎Duuh haya bwana, ila jf si ndo hivyo hakuna maskini.
Kumbe?
Musician kwa nyimbo zipi?
Comedian wapi labda kwenye uchawa tu
Uongozi? Ana taaluma gani ya kumfanya kuwa prominent leader?
Uongozi sio taaluma?
Unafikiri kuongoza hakuna misingi yake?