Wakuu leo sielwi

Wakuu leo sielwi

Kweli nimeagiza vitu napiga , ila hapa nachua kistaaharabu kabisa bwashee ,imetokea tu ,tumbo halipo rada
Halafu jizoeshe tabia ya kuwakaribisha watu wanaokuzunguka hata kama watakataa ww sema tu Jamani karibuni tupate ... La sivyo utapigwa tena zongo
 
Halafu jizoeshe tabia ya kuwakaribisha watu wanaokuzunguka hata kama watakataa ww sema tu Jamani karibuni tupate ... La sivyo utapigwa tena zongo
Hahahaaha karibu bwashee😅 kweli unapokula vitu vizuri kula na nduguzo🤣
 
Tena kweli bhana. Watu hufungiwa humo bila hiari -tofauti ni kwamba lile gereza la kwanza watu hufungiwa humo wakiwa hai
Sure bwashee, uzuri mmoja gereza la ukiwa hai nimewahi kuliishi😅
 
Nimekula zangu vodka za kutosha , nikaona silewi nikavunjia na bia za kutosha🥲

Wakuu sicheui, sibehui , kucheka , na hata kujamba tu imekua tatizo 🤣.

Kuna kanamna naona R.I.P kwenye account yangu ya jamii forum siku inayofuata🤣
Tutajuaje kama umekufa sisi mods? 😆
 
Nimekula zangu vodka za kutosha , nikaona silewi nikavunjia na bia za kutosha🥲

Wakuu sicheui, sibehui , kucheka , na hata kujamba tu imekua tatizo 🤣.

Kuna kanamna naona R.I.P kwenye account yangu ya jamii forum siku inayofuata🤣
zime expire so zinawasha tu hazileweshi
 
Back
Top Bottom