Wakuu leo sielwi

Wakuu leo sielwi

Hahaha kweli ila miaka hiyo ndio nimetoka chuo na 25 tu, kitu na kijua ni kiburi na majivuno ya dingi tu
Ok. Lakini si ulitoka? Next taimu uwe makini na hilo limkono lako la kushoto manake kwa wengi tunajua kukwepa mkono wa kulia-lakini mashoto unazingua sana haukwepeki bwashee.
 
Hapa nimetoka kapa bwashee
 
Kaaa kijanja , headline unahusiana na mada kwasababu nishalewa na ndivyo mada ilivyo , kipi kiarabu hapo bwashee?
Anyway bwashee,hata mimi huwa ninachapua sana.

Sasa leo nipo hapa zoissa wilaya ya kongwa ila ile mustang niliitumia pia kupeck vilevi na moshi,jioni hii nimepaki sehemu na ninapuliza si mchezo pembeni ya flip6,cha ajabu bado nipo timu sana….ingawa inanyeshs sio poa.
Habari ya huko niuyoki mkuu.
 
Kula pombe bwashee, unaendesha kichanja nini😅 wazee wa Zambia mpaka kongo , hizi mambo nimefanya sana papa
 
Back
Top Bottom