wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushimen

    Ushauri wenu wakuu, tayari kamesha vuruga mambo tena

    Baada ya kumaliza ugomvi, nikaamua kukarufisha kimya kimya watu wasione wasije wakanicheka. Sasa jana nimekaleta geto saa sita usiku ili watu wasikaone.... leo kameamka saa kumi na mbili alfajiri kakaanza kufagia uwanja aiseee..... Yaani hapa nawaona majirani wananong'onezana tu huku...
  2. Mjusi Sharobalo

    Wakuu msaada wa mawazo tafadhari

    Wakuu salamu.... Moja kwa moja ndani ya mada wakuu. Kuna mdafa alinipenda sana na mimi nilimpenda, mimi nilizoea kumuita mshangazi sababu kanizidi kama miaka 5 hivi. Alikuwa na kazi yake na mimi kazi yangu, wakati huo tunaanza dhambi zetu alisisitiza sana kupata mimba huenda likawa janga ila...
  3. Ntemi_Ntale

    Wakuu Ni Sahihi Waziri Mkuu Kuomba Kibao cha Kumsindikiza Baada ya Kuhutubia Wananchi?

  4. D

    "..............is following you" Ina maana gani wakuu?

    Isijekuwa ni mossad mara unaamka unakuta hao wamefika mlangoni.
  5. OMOYOGWANE

    Dizaini kama vile vyuma vimeanza kukaza mtaani, pesa imekuwa ngumu au ni huku tu kanda ya ziwa wakuu

    Hellow wakuu, Mimi binafsi huwa naleta thread kutoka field moja kwa moja kutoka mtaani mwaka 2020 yalinikuta enzi za anko Magu Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku yaani nilikonda nkachakaa 😄 usiombe uwe na biashara halafu huna backup unaitegemea hiyo hiyo na wateja...
  6. Lexus SUV

    Wakuu mbona isaya yunge Jana kwenye siku yake alitembea mwenyewe au ndo Ile tunaita ,HIS FAMILY IS HIMSELF FAMILY ?

    Ile ana walk along white carpet to the altar , au Kuna nini Nyuma , au wazazi wote hawapo ? ITS A PROOF REMINDER THAT IF YOU ARE BORN A MAN , YOU NEED TO LIVE AS A MAN , NO MATTER WHAT HAPPEN.....
  7. Foffana

    Wakuu, kuna ukweli wowote kuhusu tetesi za kufutwa kwa Sera ya Elimu Bila Malipo/Bila Ada?

    Habari, Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
  8. K

    Nimjibu nini huyu wakuu?

    Ivi ni waoaji tumepungua au ni nini? How comes mwanamke ananiuliza swali kama hili? Nimjibu nini?
  9. secretarybird

    Hiki kilichoandikwa ni nini, wakuu? Nimetokwa na macho mithili ya Zongobinyo mjue!

    Kwa moyo mkunjufu nawakaribisha mashekhe, wachungaji, na wanganga wa kienyeji wanitafsirie hii 👇 michoro na maandishi Yana maana gani.
  10. Ushimen

    Huyu mlimbwende amenidharau sana wakuu, naombeni ushauri

    Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa.... Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii.... Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu. Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo...
  11. Isenye

    Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

    Yani kila ninachokipost lazima nifuatwe inbox nijieleze kina maana gani.
  12. Ushimen

    Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

    Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu... Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂 Leo nimekajaribu kwa salam.. Mimi: mambo Yeye: niko poa kabisa Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
  13. A

    DOKEZO Mfumo wa SIS unatumiwa na Wakuu wa Shule kujaza wanafunzi hewa ili wapate hela

    Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS. Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
  14. RSM Dominik

    Ninataka nikajaribu hustling Dodoma wakuu

    Ndio hivyo wazee kutokana na umri wangu wa miaka thelathini(30) kunigongea nikiwa sina mfumo mzuri(sijafanikiwa kupata kazi rasmi ya uhakika iwe kuajiriwa/kujiajiri,sjafanikiwa kuoa, nimeamua nijilipue niende DOM. Nimefanikiwa kuishi Mbeya, Sumbawanga, Katavi, Mafinga-Iringa, yaani huku nyanda...
  15. Ushimen

    Haka katoto katakuja kuniua, nimeishiwa pawa aiseeee....

    Nimetoka sokoni kumnunulia mahanjam ili arekebishe lunch.... Sasa nilipofika nimemkuta hana raha kabisa huyu katoto ka Gen-Z.... Nilipo muuliza kipenzi, nini mbaya...?? Akaniambia eti amepata ujauzito.... Mimi nikashangaa sana na kumuuliza, mbona sikuzote tunatumia kinga...?? Akanijibu eti...
  16. A

    Nishaurini wakuu maamuzi yapi yatakuwa sahihi?

    Kuna mjomba wangu anapiga mishe za uwinga kariakoo sasa hivi anawateja wengi kidogo Tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70 Tajiri achukue 70 dogo...
  17. figganigga

    Mtwara: Waziri wa Afya Mchengerwa anazindua Bima ya Afya kesho. UVCCM hawataki niende kumsikiliza. Wananitishia

    Wakuu, Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili. Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara. Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...
  18. El marabiosh

    Wakuu leo nimepishana na ISRAEL mtoa roho

    Iko hivi, kuna jirani yangu hapa ni mbahili kichizi yaani mpaka zama hizi bado anatumia litivii la chogo (bonge la tv). sasa leo bwana likamgomea kuwaka, baada ya kufikiria akakumbuka kua mimi jirani yake nimesomea umeme mpaka chuo kikuu ikabidi anishirikishe. Mimi sijawahi kufungua hata remote...
  19. A

    HOJA Malipo ya Polisi nayo yawe kwa Control Number

    Habari wakuu Mapendekezo njia ya malipo Kwa control number ya police, Ikiwa dawasa na parking unaweza kulipia kidogo kidogo kama una deni la maji au parking kwanini Police pia wasije ma mfumo huo huo kulipia baada kumuandikia dereva fain 30000 aweze kulipia kidogo kidogo inasaidia kulipa kama...
  20. B

    Ushauri

    Ushauri, Wakuu naomba ushauri kuhusu rangi ya bati ya chengachenga vikae ambayo haipauki haraka
Back
Top Bottom