Wakuu leo sielwi

Wakuu leo sielwi

Umekunywa kwa pupa mno i.e. umebugia kana kwamba unazikomoa. Huo sio ustaarabu. Udumbuzi - tafuta kitimoto piga.
Kweli nimeagiza vitu napiga , ila hapa nachua kistaaharabu kabisa bwashee ,imetokea tu ,tumbo halipo rada
 
Back
Top Bottom