Wakuu leo sielwi

Wakuu leo sielwi

Aisee tuliza kichwa ufanye mtihani vizuri. Ikibidi hata JF kwa mapozi sana.

Ningekuunganishia mtaalam mmoja hapa lakini...Hapana.
Nakuelewa bwashee, hii kichwa yangu nikinywa ndio inafanya kazi vizuri, uzuri mmoja napenda ninachokifanya
 
Nimekula zangu vodka za kutosha , nikaona silewi nikavunjia na bia za kutosha🥲

Wakuu sicheui, sibehui , kucheka , na hata kujamba tu imekua tatizo 🤣.

Kuna kanamna naona R.I.P kwenye account yangu ya jamii forum siku inayofuata🤣
Tafuno tango ucheue fala wewe utavimbirwa
 
HVF237SW8AAeSpK.jpg
 
Back
Top Bottom