Umesoma vizuri heading yake lakini?huyo hajalewa Yani mtu alewe then aandike vizuri namna hio😁
Kayatimba. Sasa ajue pombe sio chaikama hajambi asijaribu ataenda kukatwa utumbo😁
jokes
Oyaa oyaaa oyaaa... rambi rambi tumpe nayo ainywe tuuHahaha tulia mdogo wangu😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye ukoo wetu hatupokei rambi rambi , hiyo kunywa chai na chapati tu bwashee 😅😅
🤣🤣🤣🤣Nipo mpitimbi kwa sasa bwashee , huku ni ngumu kuja kama wachawi hawajakusoma kwenye rada😅
Pakia Tango na montage mkuuNimekula zangu vodka za kutosha , nikaona silewi nikavunjia na bia za kutosha🥲
Wakuu sicheui, sibehui , kucheka , na hata kujamba tu imekua tatizo 🤣.
Kuna kanamna naona R.I.P kwenye account yangu ya jamii forum siku inayofuata🤣
natoa jeneza na usafiri 😎Bwashee kwa zile safari lager zako , sidhani kama unaweza kutoa gereza la laki 3😅😅😅( jokes)
Umeshikwa njiani na safari yenyewe ukaahirisha.Bwashee bado sijafika The big apple😅
Watu mnalewa hadi jumatatu, tutapata ukombozi kweli?Nimekula zangu vodka za kutosha , nikaona silewi nikavunjia na bia za kutosha🥲
Wakuu sicheui, sibehui , kucheka , na hata kujamba tu imekua tatizo 🤣.
Kuna kanamna naona R.I.P kwenye account yangu ya jamii forum siku inayofuata🤣