Wakuu leo sielwi

Wakuu leo sielwi

Nimekula zangu vodka za kutosha , nikaona silewi nikavunjia na bia za kutosha🥲

Wakuu sicheui, sibehui , kucheka , na hata kujamba tu imekua tatizo 🤣.

Kuna kanamna naona R.I.P kwenye account yangu ya jamii forum siku inayofuata🤣
Tafuta sungura tope hapo ukafanye mazoezi
 
Back
Top Bottom