hapana hio image Ina tafsiri yakeHuyo si maghayo bwashee 😅
huyo hajalewa Yani mtu alewe then aandike vizuri namna hio😁Ukilewa siku nyingine kabidhi simu kwa bamedi akutunzie
Huyo aliyekuleta New York kakulisha nini? 😂😂😂Nimekula zangu vodka za kutosha , nikaona silewi nikavunjia na bia za kutosha🥲
Wakuu sicheui, sibehui , kucheka , na hata kujamba tu imekua tatizo 🤣.
Kuna kanamna naona R.I.P kwenye account yangu ya jamii forum siku inayofuata🤣
Kula magenisium 🤣🤣🤣Nimekula zangu vodka za kutosha , nikaona silewi nikavunjia na bia za kutosha🥲
Wakuu sicheui, sibehui , kucheka , na hata kujamba tu imekua tatizo 🤣.
Kuna kanamna naona R.I.P kwenye account yangu ya jamii forum siku inayofuata🤣
Kwema kakaTajiri la kigamboni hujambo😛
kama hajambi asijaribu ataenda kukatwa utumbo😁Kula magenisium 🤣🤣🤣
Vodka za kutosha, bia za kutosha we unaona huo ni ustaarabu kuchanganya mabomuKwani sijanywa kistaaharabu hapo bwashee ?😅