Vita ni kitu useless sana

Vita ni kitu useless sana

Nafikiri watu Wana akili kubwa ndio maana wana uwezo wa kutengeneza nuclear.

Tunajua madhara ya vita ndio maana Kuna democracy,Sheria za kimataifa,diplomacy.

Akili kubwa imefanya kugundua njia nyingi za kuzuia Vita but hatu act on them sababu hatuna BUSARA na HEKIMA,tuna Ego ya kijinga na Waoga..
Wanaoanzisha vita kwa asilimia kubwa ni politicians, sio hao wanasayansi wanaotumiwa kutengeneza hayo mabomu
Ni mifumo ya kiutawala kwenye jamii nyingi duniani inaruhusu unintelligent people kuwatumia intelligent people, au watu waoga kuwatumia watu majasiri nk
 
Ukiwa na akili kubwa hutakiwi kutengeneza silaha zinazoweza kuangamiza watu wengi katika muda mfupi.

Hiyo si akili kubwa, hiyo ni fatal status anxiety.

Hizo sheria za kimataifa na diplomacy hazifanyi kazi, leo serikali ya Myanmar imepatwa na hatia ya mauaji ya kimbari ya wa Rohingya, maamuzi ya The International Court of Justice.

Lakini hukumu hii haitekelezeki.

Hatujaweza kuzuia vita ndiyo maana Russia/Ukraine vita inaendelea, US/Israel/ Iran vita inaendelea.
Tafsiri ya akili kubwa ni ipi??mtu kama Robert Oppenheimer anatajwa kama mmoja kati ya binadamu mwenye akili kupata kutokea duniani, but huyo ndio kagundua Atomic bombs..

Nilichojifunza kwenye hoja yako labda tuna akili kubwa but tunaitumia kwa mambo ambayo sio ya msingi

Akili kubwa ilipaswa kuboresha maisha ya mwanadamu kufanya dunia iwe mahala salama but sio kuiharibu..

Hatuwezi kuzuia Vita labda Vita ndio Nature ya mwanadamu ukifirikiria Vita ilikuwako Tangu karne ya kwanza na maendeleo yote haya Vita ilipaswa iwe story za kale..

Wote tunajua vita inaharibu uchumi lakini watu wanaenda vitani kupigana over economic interests..
 
Wanaoanzisha vita kwa asilimia kubwa ni politicians, sio hao wanasayansi wanaotumiwa kutengeneza hayo mabomu
Ni mifumo ya kiutawala kwenye jamii nyingi duniani inaruhusu unintelligent people kuwatumia intelligent people, au watu waoga kuwatumia watu majasiri nk
Ilikuaje gadi unintelligent people kutawala na kuwatumia intelligent people??sio kwamba kinyume chake??
 
Tafsiri ya akili kubwa ni ipi??mtu kama Robert Oppenheimer anatajwa kama mmoja kati ya binadamu mwenye akili kupata kutokea duniani, but huyo ndio kagundua Atomic bombs..

Nilichojifunza kwenye hoja yako labda tuna akili kubwa but tunaitumia kwa mambo ambayo sio ya msingi

Akili kubwa ilipaswa kuboresha maisha ya mwanadamu kufanya dunia iwe mahala salama but sio kuiharibu..

Hatuwezi kuzuia Vita labda Vita ndio Nature ya mwanadamu ukifirikiria Vita ilikuwako Tangu karne ya kwanza na maendeleo yote haya Vita ilipaswa iwe story za kale..

Wote tunajua vita inaharibu uchumi lakini watu wanaenda vitani kupigana over economic interests..

Hoja ya "hatuwezi kuzuia vita, vita ni nature ya mwanadamu" kwanza ni logical fallacy ya appeal to nature.

Magonjwa ni nature ya binadamu, hatuwezi kuzuia kabisa magonjwa. Lakini hilo halitufanyi tubweteke tusitafute dawa, tusitibu magonjwa, tusijikinge na tusitake kutumia chanjo.

Si lazima kuizuia vita kabisa ili tufaidike sana. Tunaweza kuondoa silaha nzito sana athari za vita zikapungua sana, tukawa tunaendela kupunguza maafa in a Sisyphean uphill struggle mpaka tujitambue zaidi na zaidi.

Kuhusu akili kubwa.
Hatuna akili kubwa collectively kama race, yani ukichukua akili za watu wote wenye akili kubwa, halafu ukawaweka kwenye jumla ya akili za watu wote wa dunia, ukatafuta wastani wa akili za watu duniani, wastani wa akili unakuwa mdogo.

Ndiyo maana hao kina Oppenheimer na Einstein waliotupatia physics zilizotupa mabomu hayo, wenyewe walipiga kampeni kukataa mabomu hayo yasitumike.

Lakini wakashindwa. Kwa sababu wenye akili ndogo ni wengi.

Oppenheimer alinukuu kitabu cha Wahindu cha Bhagavad Gita akisema "Now I am become death, the destroyer of worlds". Alijutia bomu.

I read Ray Monk's "Robert Oppenheimer : A Life Inside The Center" and Kai Bird's and Martin J. Sherwin's Pulitzer Prize winning "American Prometheus : The Triump And Tragedy Of J. Robert Oppenheimer".

I saw the movie "Oppenheimer" when it came out.

Bado kwenda Trinity tu kama kaka mkubwa Poppy Hatonn

20261119_100723.jpg
 
View attachment 3713113
Kwa miaka ya karibuni kwangu mimi Oppenheimer na The Imitation Game ndio the best biopics movies za Science..

Now nimeelewa na kukubaliana nawewe Big minds chache kulinganisha na akili ndogo..

Swali Langu kwanini Watu wenye akili kubwa hawajihusishi na Siasa??

Week hii nasoma history ya Energy and Civilization meanwhile ninapoishi maji hakuna siku ya 3
 
Attachments

  • HXQSS2FW8AAWAvd (1).jpg
    HXQSS2FW8AAWAvd (1).jpg
    421.1 KB · Views: 7
Kwa miaka ya karibuni kwangu mimi Oppenheimer na The Imitation Game ndio the best biopics movies za Science..

Now nimeelewa na kukubaliana nawewe Big minds chache kulinganisha na akili ndogo..

Swali Langu kwanini Watu wenye akili kubwa hawajihusishi na Siasa??

Week hii nasoma history ya Energy and Civilization meanwhile ninapoishi maji hakuna siku ya 3
Title nzuri sana, nitakitafuta kitabu. Asante.

Pole kwa kuishi bila maji. Mimi nilikabiliana na tatizo hilo Sinza Mori kwa wajanja miaka ya 1990s, nikapiga kura kwa miguu yangu kwenda Vingunguti njia panda ya Kisarawe na Ulaya nikachukua pipa, si la maji, ndege.

Sitaki ujinga.

Kuhusu swali lako, nitakupa mfano wa mzee mmoja ambaye namuheshimu sana na nimemuona kwa karibu.

Ni mtu ambaye si ana akili kubwa tu, bali pia ana uadilifu, uzalendo, ushujaa, usomi, na sifa nyingi za uongozi.

Alisoma Uinjinia, akafanya kazi kwa bidii kwenye taasisi moja nyeti serikalini, akaongeza elimu ya uongozi, akapata ukurugenzi akiwa mdogo sana, akapanda ngazi mpaka kuwa mkurugenzi mkuu katika taasisi yake (a presidential appointment) aliyoiongoza vizuri mpaka akastaafu.

Sasa basi, kukatokea swali, afanye nini baada ya kustaafu? Wengine walioshika nafasi hiyo, na hata za chini yake za ukurugenzi wa kawaida tu, walienda kwenye siasa, hususan bungeni.

Na yeye kuna watu wakawa wanamwambia aangalie uwezekano wa kugombea ubunge.

Yeye alikuwa mtu wa imani sana pia, akasema atalifanyia sala jambo hili aone kama litapata ruhusa ya kiroho.

Fir me, being secular, I took that as euphemism for deep self reflection and meditation on the subject.

Baadaye tukamuuliza, vipi? Akasema siasa hawezi. Ina ulaghai mwingi sana, itamtaka adanganye watu kwa ahadi za uongo, afanye kampeni za kisiasa kwenye nyumba za ibada, atoe rushwa sana.

Vitu hivi hakuweza kufanya kutokana na kanuni zake za maisha, na hayo mambo ya ziasa za pesa nafikiri hata pesa hakuwa nazo hivyo, kwa sababu alikuwa mtumishi wa umma aliyefanya kazi kwa uadilifu mkubwa. Licha yabkuwa na nafasi kubwa ya kuiba pesa nyingi, alistaafu confietable lakininsi tajiri mwenye pesa nyingi sana.

Kwa hiyo unaweza kuona watu wenye akili kubwa hawapendi rushwa, siasa za udini, siasa za uongo na uchawa. Na ukishakuwa hivyo tu, hususan Tanzania, huwezi kupata hata ubunge, kwa sababu kampeni za kupata ubunge zitakutaka ufanye ujinga wote huo.

Ndiyo maana, tunapata viongozi wasiostahili kuwa viongozi, wakati watu wanaostahili kuwa viongozi hata hawawezi kupita kwenye chujio la kutafuta ubunge.
 
Nanunukuu

"Baadaye tukamuuliza, vipi? Akasema siasa hawezi. Ina ulaghai mwingi sana, itamtaka adanganye watu kwa ahadi za uongo, afanye kampeni za kisiasa kwenye nyumba za ibada, atoe rushwa sana"

Ulichosema ni jambo muhimu sana na nimejifunza hivi karibu sababu mara nyingi huwa napenda kuuliza swali IF YOU'RE SO SMART,WHY AREN'T YOU RICH??

Jibu nikapata kua hili uwe tajiri mara nyingi inakupasa uibe,uwe chawa,udhulumu,ukandamize wengine, udhulumu uhai,udanganye kuna level ya wickedness lazima ufikie which is kwa Mtu mwenye akili ngumu sana kufanya hayo,Mwenye akili anapenda kuishi kutegemea vipaji vyake and hawapo motivated na Pesa..

Katika history inaonesha kua binadamu zamani hakua na idea ya kutafuta utajiri,watu walimiliki vitu ambavyo wanaweza kuvibeba tu.,hili uonekane mtu wa maana ilikua lazima uwe na Status(status game)..

Status watu walipata kwa kutumia vipaji vyao,iwe uchoraji,kuchonga,Music,Tiba Nk but hakukua na tajiri..

But binadamu alipoanza wealth accumulation matatizo yakaongezeka sababu hata mjinga anaweza kua tajiri..but kabla mjinga asingeweza kua Philosopher or Physician
 
Mkuu,

Exactly.

Since we are book lovers and dropping books here, huwa naongelea sana hii issue uliyoitaja ya status, na "Status Anxiety".

Kuna kitabu nimetoka kusoma cha Alain de Botton, kinaitwa "Status Anxiety". Kinaelezea vizuri matatizo ya Status Anxiety na tunavyoweza kui channel vizuri.

9780375725357_p0.jpg
 
Mkuu,

Exactly.

Since we are book lovers and dropping books here, huwa naongelea sana hii issue uliyoitaja ya status, na "Status Anxiety".

Kuna kitabu nimetoka kusoma vha Alain de Botton, kinaitwa "Status Anxiety". Kinaelezea vizuri matatizo ya Status Anxiety na tunavyoweza kui channel vizuri.

View attachment 3713173
Kuna vitu vya kushangaza sana,week hii yote nasoma falsafa za Diogenes the Cynic na Socrates kuhusu jambo hili unalo niambia sasa hivi na sikua na wazo la kutafuta kitabu,umenitumia kitabu wakati sahii nitahakikisha nakipata before December..
 
Hii serendipity ni hatari.

Nilikuwa naongea na rafiki zangu kuhusu uhalali wa watu kula nyama hapa.

Sasa nikawa naangalia vitabu vya huyo muandishi unayemsoma Vaclav Smil.

Nikakuta kaandika kitabu kinaitwa "Should We Eat Meat? Evolution and Consequences of Modern Carnivory"

s-l1200.webp
 
Back
Top Bottom