Vita ni kitu useless sana

Vita ni kitu useless sana

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,143
Reaction score
16,680
Moja ya vitu vya hovyo ambavyo binadamu tunafanya ni vita. Nachukia sana mijitu inayoanzisha vita
Wanaoteseka ni watu wasio na hatia all kwa sababu ya ujinga wa mijitu michache inayojiona inastahili kuamua juu ya uhai wa watu wengine

Yani vita ni moja ya vitu vinavyofanya niamini sisi ni viumbe dhaifu sana. Viumbe wa hovyo kabisa. Nachukia vita na mijitu yote inayoshangilia vita 🚮
 
Ndio maana huwa nasema, Hakuna kazi ya kipumbavu duniani kama uanajeshi na uaskari.

Yani wewe unahatarisha maisha yako, kuwatetea mafala wanaojiita wanasiasa.

Wewe unapigika maporini huko. Wao wanakula kiyoyozi ofisini.

Nyie mnauana kama kuku, wao wanakunywa wine ikulu.

Huu ni upumbavu mkubwa sana wa kiumbe binadamu.
 
Usichague kazi angalia pesa inayoingia
 
Vita is the greatest game ever created for men.

Vita ni kama michezo mingine tuu iliyobuniwa na mwanadamu sema stacke zake ni kubwa mno.

Tangia enzi huwezi tenganisha Vita na Wanaume.

Vita huenda ndio inatoa kusudi la kuishi kwa Mwanamme, mwanaume anaishi ili afanye vita, sasa kusipokuwa na vita mwanaume ana kazi gani hapa Duniani.

Vita hutoa zawadi kubwa kuliko zote kwa mwanadamu kwa mda mfupi- true free will, yaani kama kikosi chenu kimeshinda makamanda mtakula vyakula vyote na wanawake wote kwenye nchi shindwa tusidanganyane kukiwa na amani hamna uhuru wa kweli kila jambo unalofanya watu wamekuchagulia.

Vita hufanya Ujasiri uonekane vita hufua ujasiri miongoni mwa vijana kufanyiza wanaume, wanaume wa afrika hatuna ujasiri kwa sababu hatujafanya vita.

Vita ni kusudio la Mungu.
 
Wanasemaga take risk ...
Ila muda ukifika maisha yamechapa ata vita utaenda
Haya maneno ya "take risk" ni illusions tu za kupumbaza watu.

Hakuna anayependa kuhatarisha maisha yake.

Na hakuna faida yoyote kupata pesa ukiwa mlemavu au umefariki.

Hata hiyo pesa iliyopatikana huta enjoy wewe. Wanaila wengine.

Wewe unazikwa.

It's meaningless.

Bora tulinde uhai na maisha yetu kwa namna yoyote ile.

Money comes and goes.
 
Vita is the greatest game ever created for men.

Vita ni kama michezo mingine tuu iliyobuniwa na mwanadamu sema stacke zake ni kubwa mno.

Tangia enzi huwezi tenganisha Vita na Wanaume.

Vita huenda ndio inatoa kusudi la kuishi kwa Mwanamme, mwanaume anaishi ili afanye vita, sasa kusipokuwa na vita mwanaume ana kazi gani hapa Duniani.

Vita hutoa zawadi kubwa kuliko zote kwa mwanadamu kwa mda mfupi- true free will, yaani kama kikosi chenu kimeshinda makamanda mtakula vyakula vyote na wanawake wote kwenye nchi shindwa tusidanganyane kukiwa na amani hamna uhuru wa kweli kila jambo unalofanya watu wamekuchagulia.

Vita hufanya Ujasiri uonekane vita hufua ujasiri miongoni mwa vijana kufanyiza wanaume, wanaume wa afrika hatuna ujasiri kwa sababu hatujafanya vita.

Vita ni kusudio la Mungu.
Wewe kama mwanaume ungependa kuishi Tanzania au Palestine?
 
Wewe kama mwanaume ungependa kuishi Tanzania au Palestine?
Hawa wana comment pumba tu hapa.

Hawajui vita ni nini.

Kwa vile wanaishi Tanzania kwenye Amani. Wanakula, wanashiba na kusaza.

Wasome historia kama za Genocide ya Rwanda 1994, Holocaust ya kina Adolf Hitler. Waangalie nchi kama Somalia, Sudan, Afghanistan, Yemen, Palestine, Syria.

Vita haifai kwa namna yoyote ile.

Ndio maana nchi kama Marekani haitaki kabisa ardhi yake iwe uwanja wa vita.
 
Inategemea hiyo vita ina lengo gn, vp kama n kwa ajili ya kuokoa?
Kama ni kwa ajili ya kujilinda basi lazima kuna mmoja kamuanza mwenzie
Na hapa wa kulaumiwa zaidi ni aliyeanzisha. Kuna njia bora za kumaliza migogoro bila kuanzisha vita, basi tu binadamu ni dhaifu sana tunakimbilia violence
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom