Huwezi elewa njoo Dm nikuelewesheUna tatizo sehemu, sio bure.
SitakiiiHuwezi elewa njoo Dm nikueleweshe
Vita ni neno pana sana hivi we hutubu karibu kila siku kwa unayoyafanya? Hiyo ni nini? Na hapo inakupa mtazamo mpana sana kuona kipi ambacho binadamu kaumbiwa nacho. Kuna vitu vi 3 Ardhi, Rasilimali, Utawala viondoe hivyo hutoona vita. Vinginevyo endelea kujifariji.Kwa nini Tanzania, Uganda, South Africa nk hakuna vita? Huoni kama itapendeza dunia nzima ikiwa hivyo?
We unajustify uwepo wa vita duniani na upo ndani ya nchi ambayo haina vita, ushahidi tosha kwamba vita hazina ulazima
Basi kumbe hukuelewa mada, watu wengi wameelewa niliposema vita namaanisha niniVita ni neno pana sana hivi we hutubu karibu kila siku kwa unayoyafanya? Hiyo ni nini? Na hapo inakupa mtazamo mpana sana kuona kipi ambacho binadamu kaumbiwa nacho. Kuna vitu vi 3 Ardhi, Rasilimali, Utawala viondoe hivyo hutoona vita. Vinginevyo endelea kujifariji.
Sasa nikuulize wewe kabla ya ku google, Russia-Ukraine, China-Taiwan, Congo-M23, Thailand -Burma, USA-Iran,n.k hizo vita kati ya niliyotaja hakuna? ARDHI, RASILIMALI na UTAWALA na nikuulize kwanini vita inasemwa ni sanaa pia ni sayansi? Huu ulimwengu huwezi kukwepa vita bro. Binadamu kaumbiwa kutorizika unahitaji hiki unakipata ila unaona bado.Basi kumbe hukuelewa mada, watu wengi wameelewa niliposema vita namaanisha nini
Hebu search nchi zenye vita duniani halafu ndio urudi tena hapa. Wala usijaribu kucomplicate mada. Vita inayoongelewa hapa kila mtu ameelewa ni vita ya aina gani
Point ni kwamba vita ni mbaya tu, hakuna justification for that. Mbona maeneo mengi duniani yako peace tu na zamani yalikuwa na vita? Kuna tatizo gani kukiwa na amani sasahivi kwenye hayo maeneo uliyotaja? Yani wewe unajustify vita eti kwa sababu ni nature ya binadamu. Kwani wanaoishi Uganda, Tanzania, Australia nk sio binadamu. Kwa nini unalazimisha ionekane kwamba vita ndio njia ya binadamu kuishi?Sasa nikuulize wewe kabla ya ku google, Russia-Ukraine, China-Taiwan, Congo-M23, Thailand -Burma, USA-Iran,n.k hizo vita kati ya niliyotaja hakuna? ARDHI, RASILIMALI na UTAWALA na nikuulize kwanini vita inasemwa ni sanaa pia ni sayansi? Huu ulimwengu huwezi kukwepa vita bro. Binadamu kaumbiwa kutorizika unahitaji hiki unakipata ila unaona bado.
Ndio hapo. Halafu kuna mijitu unakuta inatetea eti vita ni kitu cha lazima ili binadamu aendeleeSijawahi kulielewa jambo la kipuuzi linaloitwa Vita, Kwanini msikae muongee kama watu wazima.
Naunga mkono hoja, Kupigana vita ni tabia ya kijima.Ndio hapo. Halafu kuna mijitu unakuta inatetea eti vita ni kitu cha lazima ili binadamu aendelee
Kwani vita zilizopiganwa hazitoshi? Hazijatufundisha kitu? Mpaka watu wapigane mara ngapi ili wajue vita ni useless na inaleta hasara kuliko faida. Kwa nini wasitafute namna nzuri za kutatua migogoro badala ya kukimbilia violence
Vita ni upumbavu sana
Naomba unielewe mkuu sijabariki kwamba vita ni nzuri ila nataka uelewe kwamba vita ni kitu ambacho hakiwezi kukoma kwanini nchi karibu nyingi duniani budget ya jeshi inazingatiwa, usiishi nje ya uhalisia wa hii dunia wewe ukiwa mwema wenzako hawana muda huo.Point ni kwamba vita ni mbaya tu, hakuna justification for that. Mbona maeneo mengi duniani yako peace tu na zamani yalikuwa na vita? Kuna tatizo gani kukiwa na amani sasahivi kwenye hayo maeneo uliyotaja? Yani wewe unajustify vita eti kwa sababu ni nature ya binadamu. Kwani wanaoishi Uganda, Tanzania, Australia nk sio binadamu. Kwa nini unalazimisha ionekane kwamba vita ndio njia ya binadamu kuishi?
NjooSitakiii
Uwakute wabongo wanashabikia vita kama utani wa jadi wa Simba na Yanga hapa sasa.Moja ya vitu vya hovyo ambavyo binadamu tunafanya ni vita. Nachukia sana mijitu inayoanzisha vita
Wanaoteseka ni watu wasio na hatia all kwa sababu ya ujinga wa mijitu michache inayojiona inastahili kuamua juu ya uhai wa watu wengine
Yani vita ni moja ya vitu vinavyofanya niamini sisi ni viumbe dhaifu sana. Viumbe wa hovyo kabisa. Nachukia vita na mijitu yote inayoshangilia vita 🚮