kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Rungwe88

    Kiranga akikuuliza "Thibitisha Mungu yupo" muulize je, anaelewa "Mungu" ni kitu, mtu au jambo la namna gani?

    Nimeona huu mtindo wa ndugu Kiranga akiwa na mazoea ya kuuliza hili swali kila linapotajwa Jina la Mungu hapa JF, na swali lake ni lile lile miaka yote "thibitisha Mungu yupo" Sasa swali tunamrudishia yeye, je akisikia, kuona, kusoma neno "Mungu" anapata tafsiri Gani katika uelewa wake, je...
  2. Financial Analyst

    Sex ni kitu ambacho kiko overrated sana. Hata sex yenyewe inajaribu kukuonesha kuwa sio ya thamani pale unapo piga goli immediately unaanza kujilaumu

    Miaka 30 jela. Uraibu wa pornographia pedophilia Cheating. Kufirisika. Kuharibu mahusiano. Kufumaniwa. Kuzazaa ovyo na kuongeza watoto wa mitaani Aaaaargh!
  3. Traxtion

    Nchi ambazo kupiga kura hakubadilishi kitu

    Je, kuna ukweli wowote hapa?
  4. Alexido jz instagram

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    NI jiji la mwanza tulivu mida ya asubuhi baba kiki akifanya usafi kwenye duka kubwa la electronics, fridge, tv, pass, maredio nk Amevaa nguo za ghaarama nyumba anayoishi ni ya gharama, watoto wake wakisoma chekechea za gharama kipindi hicho, mkewe mama kiki sijui ni mlinganishe na nani ili...
  5. PAGAN

    Kitu kizuri kuona wadau wanajazana kanisani kilaza Jumapili

  6. 1995El

    KUNA WATU WAJUАJI WA KILA JAMBO, LAKINI HAWAJUI KILA KITU!

    Kuna aina ya watu ukianza kuzungumza jambo lolote, yeye ana majibu tayari. Ukisema hivi, anakupinga. Ukisema vile, anakusahihisha. Ukiwa na maoni yako, anakuona huna akili. Yeye ndiye anayejua, wengine wote hawajui kitu. Cha kushangaza zaidi, wengine hawasikilizi ili waelewe, wanasikiliza ili...
  7. Zee la madawa

    Japo kwao kuna vita na majanga kila aina Wasomali wanabaki kuwa jamii inayojielewa wanataka miongoni mwa jamii za kiafrika

    Unapo Zungumzia Jamii ya Wasomali Unazungumizia Harakati, Huezi Shindana na Jamii hii Zaidi utaumia Bure kwasababu jamii hii sio Taifa na Dini Pekee jamii hii ni Harakati ya Kiuchumi, Siasa na Elimu. Jamii hii Ipo Ndani ya kila Serikali Yenye Ushawishi, Jamii hii ipo katika kila Nchi kiuchumi...
  8. tucker carlson

    Ukipewa chance uende Mbinguni na kitu kimoja utabeba nini?

    Wakuu, Mimi nitaenda na Fire Extinguisher na Gari la Zima Moto Nyie mtaenda na nini?
  9. The Dictator

    Girls be honest, ni kitu gani kimoja ambacho wanaume wanacho mnaokionea wivu?

  10. M

    Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  11. tucker carlson

    Ni kitu gani ulinunua kutokana na Presha ya ndugu na marafiki ila baadae ukajikuta hukitumii kabisa?

    Mimi najuta kabisa kununua TV. Hiyo hela bora ningeongeza ku-top up kwenye simu nipate iphone 17 maana nilinunua out of peer pressure na mazoe lakini ukweli ni kwamba, sifuatilii mpira kusema kwamba ntakuwa naangalia mechi, movie nishazoea kuangalia kwenye PC na nikiwasha hiyo TV baada ya muda...
  12. M

    Mafundi wetu hawajui kusema "SIJUI". Kila kitu wanalazimisha, mwisho wa siku unalipa pesa nyingi lakini tatizo linabaki au yanaongezeka mengine.

    Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo. Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI." Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Pesa za kishetani ni hizi za kawaida toka BENKI au ni pesa zinazotengenezwa kichawi? Njoo nikueleze kitu

    Mimi ni mvuvu wa kuandika. Nitaandika kwa kifupi sana lakini nadhani utanielewa. Kuna mambo matatu hapa lazima tuyajue ili ikiwezekana hayo mambo yawe keys za kupata fedha na kuishi katika uhuru wa kifedha. Jambo la 1: Pesa ni nini? Jambo la 2: shetani ni nani? Jambo la 3: Je, pesa zote halali...
  14. E

    NYERERE alianzisha TANU na baadae CCM kuepuka ukabila na utanganyika na uzanzibar, mawazo yake yamefeli CCM imekuwa kitu cha hovyo kuliko ukabila

    Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo. CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
  15. econonist

    Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

    Kuna Siri CCM inaficha watanzania na ambayo itakuja kutuumiza au kuumiza vizazi vijavyo. Kuna kitu CCM inakilinda kwa jasho na damu, ni kitu Gani hiki?. Kwa fikra zangu za kawaida sidhani kama ni madaraka. Kuna kitu Zaidi ya hapo. CCM wapo tayari kummiminia risasi raia Tena kwenye maeneo ya...
  16. Gunner11

    Usaliti wa mapenzi si kitu cha kawaida

    Kuna wengine huja kusema eti, mwanaume ni kawaida, kupata radha tofauti..., Hapana ni maamuzi binafsi, mtu kama anakupenda kweli, hawezi kujikuta ametamani mwanamke mwingine. Ogopa sana mtu akuambie nilipitwa, trust me, huyo hana mapenzi ya kweli kwako. Mtu anayekupenda kweli atakujulia hali...
  17. THE FIRST BORN

    Mamelodi kutolewa CAF, ingekua ni team ya Tanzania tena Yanga/Simba zingenzishwa propaganda za Kocha kafel au team mbovu Msimu huu.

    Hua nasema mpira wa Afrika ni wamahesabu sana... Siku ile yanga kashinda 4 kule ugenini watu wanaleta propaganda eti team mbovu.. sijui hua wanalipwa? Enhee jana Mamelodi katolewa kwa goli la ugenini tena kwake nae ni mbovu? Naamini kabisa kwa yaliyomtokea Mamelodi jana ingekua Mamelodi ipo...
  18. Nyendo

    Tarehe kama ya leo Oktoba 23, 1999, Mwalimu Nyerere alizikwa Mwitongo, Butiama. Unakumbuka kitu gani siku hiyo?

    Baada ya kifo chake kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999 huko London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania na kuagwa kitaifa katika Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru) Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia tarehe 23 Oktoba. Kwa mujibu wa mila za...
  19. Lycaon pictus

    Keffiyeh ya kiarabu ndiyo imezaa neno kofia? Na baraghashia ni kitu gani?

    Kuna hivi vitambaa waarabu hujifunga vichwani. Vinaitwa Keffiyeh. Ndiyo asili ya neno Kofia? Na neno baraghashia limetoka wapi?
Back
Top Bottom