vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Vita vya Shetani Dhidi ya Mwanzo Mpya

    Baada ya kuamua kumfuata Mungu shetani anaoneshwa kukasirika... Imagine, saying to yourself kuanzia leo na acha kitu fulani, only to get the temptation right infront of your face? Imagine saying to yourself you love God only to get a disappointment just to make you bitter, urudi kama mwanzo...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Trump ni "Shakara" Nyimbo ya Fela Kuti

    https://youtu.be/4kZwTnK3aWA?si=9XYD5qppRfqb7zxl
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vita ya Wema na Haki inahitaji Subira. Mikazo na kutokukata tamaa

    Habari za Sabato! Leo nilikuwa napitia hapa kitabu cha Asheri(Jasher). Nikaona kisa cha Waisrael kuwa utumwani kwa zaidi ya miaka 400 huko Misri. Kisa hicho kwa sehemu kubwa ni simulizi ya kisiasa lakini yenye mchanganyiko na Imani ya Miungu. Kupitia kisa hicho, moja yamambo niliyoyaona ni...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: Vita kali kati ya Haji Manara na Jerry Muro

    https://www.facebook.com/share/v/1871ZFr4qW/
  5. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Juma lokole anakwambia wolper na mulky vita ni kubwa ya kugombania mwanaume isarito

    Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini na Israel Vita ya Iran na Marekani

    https://youtu.be/wu3ckYK_5Lo?si=A_gsYUQXj2EmpFdT
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sasa vita vya chinichini ni kati ya Mwigulu, Makonda na Ndejembi

    Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi. Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh. Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo Siasa ni hovyo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Nyansaho akutana na wazee waliopigana vita, Baba Levo naye atoa neno

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
  9. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Raisi wa uturuki ni katili, anaeminya wananchi wake na kufadhili ugaidi ME. Kuna minong'ono ya vita na israel, Ndoto yake kuu ni kuwaangamiza wayahudi

    Huyu bwana ni mauti yanayotembea Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani. Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd Sasa anataka akawaue na wa israel
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: Napigwa vita kwa sababu nimekataa siasa za udalali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama chake kinaendelea kukabiliwa na vita kali ya kisiasa kwasababu kimekataa katakata kushiriki katika "siasa za udalali". Akizungumza jana, Agosti 22, 2026, katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Kaanza kudoda ataka vita visimame!!!

    Rais wa Iran: Ni wakati wa kukomesha vita na Marekani huku Tehran ‘ikiwa katika nafasi ya kushinda vita!!’ Mwanamke anapita kwenye bango la kukaribisha lenye Rais wa Iran Masoud Pezeshkian kando ya barabara huko Islamabad, Pakistan, Jumanne, Juni 23, 2026. (Picha ya AP/Anjum Naveed) Rais wa Iran...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Iran Ikipigwa Nuclear Israel Nayo Haitabakia Salama

    https://youtu.be/4YyvrbX5M2E?si=vnZtckww3BwohwpF
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Serikali na Lissu ni kama vita vya Marekani na Iran

    Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli. Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua Aingia Raundi Nyingine ya Vita vya Kisheria: Je, Impeachment Yake Ilifuata Katiba?

    Aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ameanza rasmi safari yake ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliodumisha kuondolewa kwake madarakani kupitia mchakato wa impeachment. Katika rufaa hiyo, Gachagua anapinga hoja kwamba uamuzi wa Seneti hauwezi kuchunguzwa au kubatilishwa na...
  15. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Kirima sekondari wapewa elimu ya kujitembua,kupiga vita vitendo vya ukatiri wa kijinsia ,afya na elimu

    Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa na maarifa muhimu katika maeneo ya taaluma, afya, kujitambua pamoja na kupinga na...
  16. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Baada ya Irani kuanza vita rasimi Marekani wamekimbia

    Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja ...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wakoloni weupe wangeendelea kubaki, hebu angalia mpango huu mkubwa wa reli wa kuiunganisha Tanganyika uliovurugwa na vita ya dunia

    Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika. Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Kipindi Maalum IBN TV

    Mzee Mohamed Said anaielezea Marekani kama taifa lililopoteza nguvu zake na kushindwa vibaya katika mzozo wa sasa: "Irani imedhibitishia dunia kuwa hawa Marekani ni chui wa karatasi". "Marekani ameishiwa nguvu huwa ameishiwa silaha kipigo alichopata katika zile vituo vyake vemweka katika hali...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Iran Taifa la Mashahidi na Mashujaa

    https://youtu.be/2AJc0jjjz9k?si=IBOQqohMS8pQIGn9
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Marekani Yasalimu Amri: Kila Mchuma Janga Hula na Wakwao

    Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea: "...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia mwenyewe wewe kaingia mchimba kisima ndoa hii mchimba kisima kaingia mwenyewe fedha hii..."...
Back
Top Bottom