Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu.
Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni...
Tathmini mpya za wataalamu wa masuala ya ulinzi wa Center for Strategic and International studies (CSIS) zinaonyesha kuwa Marekani imetumia zaidi ya asilimia 65 ya makombora yake ya Patriot Interceptor missiles (PC2 na PC3) pamoja na sehemu kubwa ya makombora ya THAAD katika operesheni za hivi...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anatoa uchambuzi wa kina kuhusu mzozo wa kijeshi kati ya Iran na Marekani, akiangazia mbinu za kivita, ukimya wa kimataifa, na mabadiliko ya kijiografia katika nchi za Ghuba. Hizi hapa ni nukuu muhimu kuhusu vita hivyo:
Kuhusu Kichapo na...
Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine.
Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi.
Will EU just watch?
Sina ya kuongea mengi ila maandalizi yameanza na mtaambiwa kuwa znz ndio walikuwa wanampigania samia kipindi cha uganda kipindi cha mwalimu vita ya kagera.
Watawekwa wanawake wengi wengi kwenye vipindi kama script inavyotaka.
Hii miujiza nimevujisha na teyari watu wa pesa ndogo ambao...
ANGALIZO: I am not advocating for this, NO, NO, NO. ILA NATOA TAHADHALI.
Sasa hivi kwa vile mna bunduki , mabomu na madege, na upande mwingine hauna bunduki wala chochote, hamuwezi kuona hatari za kinachoendelea nchini. Pale ambapo pande zote zikiwa na bunduki na vifaa kama nyinyi, mkaanza...
Gamers kwema, nina PS4. Nahitaji game la vita zuri kwa ajili ya online.
Nimetokea kulipenda sana Warzone, ila halikubali kwenye PS4; ni la PS5 tu. Hivyo, naomba msaada, game gani zuri kwa upande wa PS4 kwa ajili ya kupambana?
Ndiyo. Haya ni maeneo matatu ya Biblia ambayo mara nyingi huchanganywa, lakini yanaelezea matukio tofauti au yanayotafsiriwa tofauti na wanatheolojia.
1. Har-Magedoni (Ufunuo 16:16)
Neno "Har-Magedoni" linamaanisha "Mlima wa Megido."
Linapatikana katika kitabu cha Ufunuo 16:16.
Linaelezea...
Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma!
Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, neno "maandamano" na harakati za kudai mabadiliko zimezungumziwa katika mazingira mawili tofauti: maandamano ya wananchi katika nchi za Ghuba dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani, na wito wa vijana wa Tanzania kuchukua hatua za ujasiri kudai mabadiliko ya...
Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani.
Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu.
Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
==...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anachambua mzozo kati ya Iran na Marekani akizingatia athari zake kwa mataifa ya Ghuba na mabadiliko ya nguvu za kijeshi duniani. Hizi hapa ni nukuu na hoja muhimu:
Kibri na Maangamizi Mohamed Said anabainisha kuwa mzozo huu unachochewa...
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni.
Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
asiende
bila
birthday
diamond
harusi
jeuri
jeuri ya pesa
katoro
kiingilio
kufanya
kwao
matajiri
mtoto
mtoto wa
mwanza
nyuma
pesa
shoo
show
siku
tajiri
tarime
vita
wakati
Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia.
Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine.
Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na Israel.
Vita hizi mbili zimeigawa Dunia mara mbili yaani Urusi inapigana na Ukraine,ambapo Ukraine...
Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
NARUDIA, VITA SIO MAONYESHO KAMA WORLD CUP. VITA HAVINAGA MACHO WALA SHERIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sijui kwa nini watu wanapumbazwa na artificial laws, editing, makeup.
Vita ni jambo la asili. Inapotokea sheria za kutengenezwa hazifanyi kazi. Na ukiona zinatumika ujue ni ulaghai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.