Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,200
- 16,723
- Thread starter
- #21
Yeah, wengine wanasifia vita ili waonekane tough tu, ila hamna loloteHawa wana comment pumba tu hapa.
Hawajui vita ni nini.
Kwa vile wanaishi Tanzania kwenye Amani. Wanakula, wanashiba na kusaza.
Wasome historia kama za Genocide ya Rwanda 1994, Holocaust ya kina Adolf Hitler. Waangalie nchi kama Somalia, Sudan, Afghanistan, Yemen, Palestine, Syria.
Vita haifai kwa namna yoyote ile.
Ndio maana nchi kama Marekani haitaki kabisa ardhi yake iwe uwanja wa vita.
Vita haina mshindi. Ina losers tupu, it's just that one side loses more than the other but they both loose