Vita ni kitu useless sana

Vita ni kitu useless sana

Binadamu tangia anatungwa mimba ni vita tu.

Mchakato unaanza,
1. Baba ako, kumtongoza mama ako mpk amkubalie kimahusiano ni vita Kali sana, kapambana na madume kibao na kawashinda.

2. Mama ako mpk anaingia geto, kuchojoa nguo na kutanua mapaja. Aisee ni vita Kali sana, baba ako kaumia kiuchumi, kimwili Hadi kihisia.

3. Bao la baba ako mpk likatungishe iyo mimba yako, hiyo vita yake sio mchezo. Limepambana na wadudu wa gono, UTI n.k Hadi linalifikia yai.
Kumbuka mlikua zaid ya mamilioni, ila ulifika ww tu

4. Hapo hujahesabu usumbufu wa mimba changa Kwa mama ako, mpk inafika miez 9. Hiyo vita yake sio mchezo. Ni heka heka tupu.

5. Ujahesabu mchakato mzima wa kujifungia, Ile ni vita Kali. Sio mimba zote znafikiaga Kwa mafanikio hatua hii. Ni life or death situation.

Umezaliwa salama, Unasemje haukua vitani?
We jamaa tukajua Fwele kala kichwa
 
Naomba unielewe mkuu sijabariki kwamba vita ni nzuri ila nataka uelewe kwamba vita ni kitu ambacho hakiwezi kukoma kwanini nchi karibu nyingi duniani budget ya jeshi inazingatiwa, usiishi nje ya uhalisia wa hii dunia wewe ukiwa mwema wenzako hawana muda huo.

Nakupa mfano wa special ops za US kule Afghan askari walikuwa kuua watoto wadogo hapana kabisa ila walijikuta wanapotezwa mno kwa weakness hiyo hiyo huruma kwa mtu hasiyestahiki sasa upepo ulichange je nini kilifata kama ulifuatilia.

Vita haziwezi kuisha kabisa duniani, kwa sababu chanzo chake si silaha pekee, bali ni mgongano wa maslahi, mamlaka, rasilimali, itikadi na tamaa za binadamu.

Amani inaweza kupatikana, vita vinaweza kupungua, na migogoro inaweza kutatuliwa, lakini kudai kwamba vita vitaisha milele ni kudhani kwamba binadamu ataacha kabisa kuwa na migongano ya maslahi.

Nakuachia hii fikiria familia ya watu wawili tu. Wanaweza kugombania urithi, ardhi au mali. Sasa panua hali hiyo kwa makabila, mataifa na mabara yenye mamilioni ya watu na maslahi tofauti.

Point 👍
 
Mtoa maada umesema kwamba kwanini tusiishi kwa Amani kama Uganda Na South Africa unachekesha sana kama huzijui historia soma historia ya Uganda bush war aliyopigana Museveni ndo maana hataki kuachia utamu soma RPF YA kagame alivyoteseka Na FDLR wahutu

Vita ndo kila kitu ndo maana jeshini kuna engineering n.k

Kwa ufupi sana vita Ni mashindano ya elimu mashindano ya sayando vita iko ndani ya damu za viumbe hai
Principle zote za physics Nachemical reactions zimekuwa inspired Na vita..mambo kama projections ,laws of motion watu kushinda maabara no kwa sababu ya vita

Hahahaha Ila vita bhana inafurahisha ukiwa green zone ila ukiwa frontline kwa battle field kule red zone ndo utalia Na kulia kwanini umejileta kupigania kipande cha ardhi sikiliza testimony za wakenya waliojikuta ukraine kwenye vita ya urusi na ukraine huwa napenda kufuatilia footage za mstari wa mbele jinsi wanavyoikimbia drone asee tushukuru Mungu hatujajikuta frontline
 
Binadamu tangia anatungwa mimba ni vita tu.

Mchakato unaanza,
1. Baba ako, kumtongoza mama ako mpk amkubalie kimahusiano ni vita Kali sana, kapambana na madume kibao na kawashinda.

2. Mama ako mpk anaingia geto, kuchojoa nguo na kutanua mapaja. Aisee ni vita Kali sana, baba ako kaumia kiuchumi, kimwili Hadi kihisia.

3. Bao la baba ako mpk likatungishe iyo mimba yako, hiyo vita yake sio mchezo. Limepambana na wadudu wa gono, UTI n.k Hadi linalifikia yai.
Kumbuka mlikua zaid ya mamilioni, ila ulifika ww tu

4. Hapo hujahesabu usumbufu wa mimba changa Kwa mama ako, mpk inafika miez 9. Hiyo vita yake sio mchezo. Ni heka heka tupu.

5. Ujahesabu mchakato mzima wa kujifungia, Ile ni vita Kali. Sio mimba zote znafikiaga Kwa mafanikio hatua hii. Ni life or death situation.

Umezaliwa salama, Unasemje haukua vitani?
Hii sio vita inayoongelewa hapa
 
Uwakute wabongo wanashabikia vita kama utani wa jadi wa Simba na Yanga hapa sasa.

Wengine upande wa Ukraine, wengine Urusi.

Wenhine upande wa Israel/US, wengine Iran.

Aibu utaona wewe.
Hata humu kwenye comments wapo. Wanashabikia vita as if ndio njia pekee ya binadamu kuishi
At the same time ukiwauliza kati ya Dar es Salaam na Gaza wangependa kuishi wapi wanaanza kujing'atang'ata ulimi
 
Upo kama mimi watu wanashangilia vita kama timu za mpira hiyo yote ni kutokujua madhara ya vita..
Vita ni upuuzi tu Waziri Mkuu wa Spain alimwambia mababu zetu walitumia Vita kutatua changamoto zao sio sisi 2025 hii nikupe eneo uweke base ya kuua watu aligoma nilimuelewa sana yule kiongozi.
 
Mtoa maada umesema kwamba kwanini tusiishi kwa Amani kama Uganda Na South Africa unachekesha sana kama huzijui historia soma historia ya Uganda bush war aliyopigana Museveni ndo maana hataki kuachia utamu soma RPF YA kagame alivyoteseka Na FDLR wahutu

Vita ndo kila kitu ndo maana jeshini kuna engineering n.k

Kwa ufupi sana vita Ni mashindano ya elimu mashindano ya sayando vita iko ndani ya damu za viumbe hai
Principle zote za physics Nachemical reactions zimekuwa inspired Na vita..mambo kama projections ,laws of motion watu kushinda maabara no kwa sababu ya vita

Hahahaha Ila vita bhana inafurahisha ukiwa green zone ila ukiwa frontline kwa battle field kule red zone ndo utalia Na kulia kwanini umejileta kupigania kipande cha ardhi sikiliza testimony za wakenya waliojikuta ukraine kwenye vita ya urusi na ukraine huwa napenda kufuatilia footage za mstari wa mbele jinsi wanavyoikimbia drone asee tushukuru Mungu hatujajikuta frontline
Point ni kwamba kwa dunia ilipofikia leo vita hazikupaswa kuwepo. Zimeshatokea vita nyingi sana, inatosha.
Vita nyingi siku hizi ni pointless na ni avoidable.
Mtu anasifia eti vita ni ujasiri. While ni kweli wanajeshi wanaoenda vitani ni majasiri lakini ujasiri wao ndio unatumiwa na politicians kwenda kuhatarisha maisha yao on pointless wars that shouldn't even exist in the first place. Evil people wanabenefit ba vita huku wananchi wakiteseka na mataifa yai yakila hasara kubwa ya miundombinu na uhai wa watu
Kitu kingine mfano wa nchi zisizo na vita 2026 sio Uganda tu. Nchi nyingi sana duniani zimetulia bila vita meaning inawezekana kuishi bila vita
 
Binadamu tangia anatungwa mimba ni vita tu.

Mchakato unaanza,
1. Baba ako, kumtongoza mama ako mpk amkubalie kimahusiano ni vita Kali sana, kapambana na madume kibao na kawashinda.

2. Mama ako mpk anaingia geto, kuchojoa nguo na kutanua mapaja. Aisee ni vita Kali sana, baba ako kaumia kiuchumi, kimwili Hadi kihisia.

3. Bao la baba ako mpk likatungishe iyo mimba yako, hiyo vita yake sio mchezo. Limepambana na wadudu wa gono, UTI n.k Hadi linalifikia yai.
Kumbuka mlikua zaid ya mamilioni, ila ulifika ww tu

4. Hapo hujahesabu usumbufu wa mimba changa Kwa mama ako, mpk inafika miez 9. Hiyo vita yake sio mchezo. Ni heka heka tupu.

5. Ujahesabu mchakato mzima wa kujifungia, Ile ni vita Kali. Sio mimba zote znafikiaga Kwa mafanikio hatua hii. Ni life or death situation.

Umezaliwa salama, Unasemje haukua vitani?
Mkuu,

Hata magonjwa mbona tunaumwa tangu utoto, lakini je, hilo linasababisha tukubali hali hiyo bila kujikinga, kutafuta dawa, kupata chanjo, etc?

Hapana.

Hii hoja ya "vita ipo tu, ni kitu cha asili katika maisha" ni logical fallacy.

Argument from nature logical fallacy.
 
binti kiziwi kuna siku niliwahi kukuuliza why watu wanaamua kwenda vitani wakati migogoro 100% inaweza kua solved diplomatic..

Jibu lako limeliwekea lamination mjibu na alietoa post kabla sija copy na ku paste
 
Point ni kwamba kwa dunia ilipofikia leo vita hazikupaswa kuwepo. Zimeshatokea vita nyingi sana, inatosha.
Vita nyingi siku hizi ni pointless na ni avoidable.
Mtu anasifia eti vita ni ujasiri. While ni kweli wanajeshi wanaoenda vitani ni majasiri lakini ujasiri wao ndio unatumiwa na politicians kwenda kuhatarisha maisha yao on pointless wars that shouldn't even exist in the first place. Evil people wanabenefit ba vita huku wananchi wakiteseka na mataifa yai yakila hasara kubwa ya miundombinu na uhai wa watu
Kitu kingine mfano wa nchi zisizo na vita 2026 sio Uganda tu. Nchi nyingi sana duniani zimetulia bila vita meaning inawezekana kuishi bila vita
Vita zisingekuwapo kama watu wangekuwa na akili kubwa.

Watu hawana akili kubwa, vita zitakuwapo tu.

Vita ni matumizi ya nguvu kuliko akili.

Yani hata tunapoongeza ujuzi, tunautumia uju,i huo kutengeneza silaha za maangamizi kama za nuclear.

As a species, we are not that intelligent.
 
binti kiziwi kuna siku niliwahi kukuuliza why watu wanaamua kwenda vitani wakati migogoro 100% inaweza kua solved diplomatic..

Jibu lako limeliwekea lamination mjibu na alietoa post kabla sija copy na ku paste
😅😅😅 I miss you bana we!!

I hope you are well!!

Yes i remember very well.

Nimemiss convo zetu, Mambo yangu ya kuweka security hazieleweki, nimebadili simu nashindwa kupata wasapu yangu nikaianzisha wasapu upya, sina convo hata moja. (Kama kipindi kile tena)
 
Miss you more twinz I'm good hope upo salama
 
Vita zisingekuwapo kama watu wangekuwa na akili kubwa.

Watu hawana akili kubwa, vita zitakuwapo tu.

Vita ni matumizi ya nguvu kuliko akili.

Yani hata tunapoongeza ujuzi, tunautumia uju,i huo kutengeneza silaha za maangamizi kama za nuclear.

As a species, we are not that intelligent.
Nafikiri watu Wana akili kubwa ndio maana wana uwezo wa kutengeneza nuclear.

Tunajua madhara ya vita ndio maana Kuna democracy,Sheria za kimataifa,diplomacy.

Akili kubwa imefanya kugundua njia nyingi za kuzuia Vita but hatu act on them sababu hatuna BUSARA na HEKIMA,tuna Ego ya kijinga na Waoga..
 
Ukiwa na akili kubwa hutakiwi kutengeneza silaha zinazoweza kuangamiza watu wengi katika muda mfupi.

Hiyo si akili kubwa, hiyo ni fatal status anxiety.

Hizo sheria za kimataifa na diplomacy hazifanyi kazi, leo serikali ya Myanmar imepatwa na hatia ya mauaji ya kimbari ya wa Rohingya, maamuzi ya The International Court of Justice.

Lakini hukumu hii haitekelezeki.

Hatujaweza kuzuia vita ndiyo maana Russia/Ukraine vita inaendelea, US/Israel/ Iran vita inaendelea.
 
Back
Top Bottom