sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Aisee ,kabudi ? No .kabudi hapana ,mpe frani ( umejaa ndani ya 18)

    Kabudi ? Hapana Huyo hapana Mpe frani - sawa Frani ndye na ndye kawa Ana minagap? Ana udhoefu kias gan serkalini ? Kwa Nini iwe hivyo Mimi na wewe hatujui Kwa waliocheza last card wanajua
  2. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itisheni kikao cha dharura haraka sana tembeeni na upepo huu huu wa CCM kumalizana na Mbowe

    Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea. Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uchawi upo wa aina nyingi sana!

    Sijui tuite mapinduzi katika sekta ya ulozi na uganga!? Haya yanafanyika na yanatokea kila siku mitaani na katika jamii zetu,yaani mtu anafanya kitu ndivyo-sivyo alimradi to inakuwa ametimiza kusudio la bwana mganguzi. -Upo uchawi unaotumia kupatwa kwa jua au mwezi,mti uliopigwa radi,kamba...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwa mfano akiamua kuongoza Hadi achoke yeye kama M7, anaweza sana tu

    Kwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia. Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na sio wa kuonea huruma, ukipata nafasi mpasue tuu hata kama Kuna ulazima wa kumuua wewe Fanya hivyo...
  5. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania APARTMENT MPYA, KALI SANA – MIKOCHENI Location: Mikocheni Vyumba 3 vya kulala 2 Master Bedrooms Lift⚡ Generator Parking

    🏢✨ APARTMENT MPYA, KALI SANA – MIKOCHENI ✨🏢 📍 Location: Mikocheni 🛏️ Vyumba 3 vya kulala 🛌 2 Master Bedrooms 🛗 Lift ⚡ Generator 🚗 Parking ya kutosha ✅ 💰 Bei: TSH 3,500,000/= kwa mwezi 🔥 Apartment mpya, nzuri na yenye huduma muhimu kwa maisha ya kisasa. 📞 Wahi sasa kwa maelezo zaidi na...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwenye kesi ya Lissu nimejifunza kuwa Ndugu wa Lissu wanaupendo mkubwa sana na Lissu

    Ukiangalia kaka yake na dada yake walivyoactive mahakamani na namna wanavyopambana hapo kisutu ni dhahiri familia yao ina upendo sana. CCM wengi hata undugu wao huwa wa mashaka angalia Polepole mpaka leo hajulikani alipo lakini siyo ndugu zake wala wanaccm wenzake waliofungua kesi na kudai haki...
  7. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

    Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa. Sifa za Wapashiwa. 1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo Wakubwa kama Huyu!. Kosa Lake Nini?, Au ni Kuwa Mkweli Sana?!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali... Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza kuwaponza wakubwa kama Balozi Polepole, Polepole alipoanza kuusema ukweli wake, mimi nilimshauri sana tuu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Udi wa Hassan gud na chumvi vina nguvu ya ajabu sana

    Aiseee , mweny uelewa aniambie, Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan najisikia raha mno kichwa kipo safi na nafsi imetulia ..je mweny point zaid aniongezee madhara na faida
  11. M

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mambo ya ajabu sana. Mtu mwenye cheo kama hicho anashikiwa bastola na kulazimishwa kwa nguvu!

    Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma. Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama. Afrika sio mahala salama pa kuishi.
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mnao dhani Kikwete ni msaada mmepotea sana huyu mtu hajawahi kuwa msaada kwa taifa na hatokuja kuwa na msaada wowote kwenye taifa huyu ni ibin maslah

    Kwa wanao mfahamu tangu zama za nyerere wanajua.
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa sana yalifanyika 2015 pale Dodoma kumpa nafasi Magufuli na kumuacha lowassa

    Hili lilikuwa jaribio hatari la usalama na ndilo pigo kubwa zaidi tulilopata kama taifa.
  15. polokwane

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hii barter trade ya kisiasa inafaa sana na izingatiwe!

  17. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  18. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kuuelewa mchakato Domestication of Animals ulivyofanyika kunanipa sana ugumu

    Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado... Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa. Cc Interlacustrine R
  19. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania NIGERIA: Katika wazazi 4 wanaopima DNA basi mmoja kapigwa, Yani analea goli la kidume mwezake

    Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026. Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia 23.6 walikuta hapana, sio watoto wao. Mwaka jana ilikuwa 24%, na 2023 ilikuwa 26.1%. Kwa hiyo...
  20. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
Back
Top Bottom