The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Surah Al-Baqarah (2:67–73) au kwa kibantu sura ya Ng'ombe ayat 2:67-73.
Katika hii story ya Quran kulizuka mzozo katika kisa cha mauaji ambapo watu walibishina kuhusu mauaji ya mtu fulani. Musa akaambiwa achinje ng'ombe kisha alipomchinja akaambiwa achukue kipande kimoja cha nyama (sijui...
Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi kabisa ...
Wanasema kama wao wakipata nafasi Gaza itakuwa sehemu salama duaniani hakuna tena. Iran...
Linaanzia kwenye mfumo wetu wa familia za Kiafrika, yaani EXTENDED FAMILY! Hapa ndugu si ndugu tu, ni ndugu pamoja na matawi yake yote! Unampa mama yako mali zako, kesho yake wajomba, shangazi, binamu mpaka watoto wa binamu wanajua dada yao ana ukwasi!
Mama akisema, “Hizi mali mwanangu...
Hapana
Kwa kifupi wapo waliotendewa wema na Mama zao na wapo waliotendewa ubaya na haohao mama zao.
Lakini asilimia kubwa baba wengi tumewatendea ubaya wake zetu, kitendo kilichotengeza chukizo kwa watoto. Kwa watoto kivipi. Wengi tunasingizia mama kuwalisha watoto machukizo. Lkn tunasahau...
Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao.
Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili.
Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana...
Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake.
Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
Nimekuchagua wewe kukutumia ujumbe huu kwa sababu nakupenda sana, nakuheshimu na ninakutakia kheri duniani na Akhera.
Sina nia ya kukuhukumu, kukukosoa au kujiona bora kuliko wewe. Nimekuandikia kwa upendo wa dhati, kwa sababu ningependa kukuona ukiwa karibu zaidi na Allah na ukiwa sababu ya...
Hii kitu nimeona sana ni nimeipitia sana experience yangu ni kubwa mno.
Of course, najua wapo watakaopinga lakini ipo wazi kwa mwanaume kua na mwanamke mzuri sana ni changamoto.
Kwanza, hua inahitaji moyo ule moyo haswa ili ku-maintain focus bila kupitia mabalaa ya hapa na pale sijui wivu wivu...
Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia.
Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi.
Je...
Mwanamke mjinga huua ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe maandiko yamesema wazi kuwa tuishi nao kwa akili ni hatari sana kuishi na mwanamke bila kutumia akili
Soma hio comment ya huyo dada hapo down 👇
Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?
Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa
Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni.
Deni la nje: Sh75.89 trilioni
Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz
Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97.
Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
1. Mpira
2. Uchawa
Mpira
Utamkuta muislam anatumia mali yake na muda wake mwingi ktk kuendeleza mpira badala ya kutumia muda huo ktk kuendeleza maskini, Maya timamu, kusaidia walimu wa madrasa
2. Uchawa
Utamkuta muislam anasema maneno ambayo anajua ni kosa ktk dini
Kwa mfano utamsikia kijana...
1. Msoma adhana
2. Mwalim wa madrasa
Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi.
Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa...
Kwa miaka 10 sasa taifa limepitia magumu snaa , ni baada ya nchi kuingia kwenye mikono ya wahuni bila ya kujua madhara ya wanachokifa.
Wazee wote wa maana waliokuwa wanaweza kuileta nchi pamoja hawakuwepo tena , matokeo yake nchu ikaingia kwenye ombwi litakaloendelea kuacha makovu ya miaka...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna kusoma biblia na Kuna kuielewa biblia, leo biblia nimeielewa kabisa
Kumbe HAWA maana yake ni MAMA mwanzo 3:20
Maandiko hayo yanasema adam akamwita mkewe hawa maana ni mama wa wote walio hai
Tuendelee kusoma maandiko kila tupatapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.