The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili...
Wakuu,
Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne.
Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia).
Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua...
Sheria namba 1, 14, 18, 35, 38, na sheria namba 46
Never Outshine the Master
Pose as a Friend, Work as a Spy
Do Not Build Fortresses to Protect Yourself—Isolation Is Dangerous
Master the Art of Timing
Think as You Like, But Behave Like Others
Never Appear Too Perfect
Pamoja na nia ya ku create image na kutengeneza diversion ya kesi ya TAL lakini kuna juhudi za uzuri wa mkakasi zinatengenezwa kuonesha hakuna mpasuko wala hawasigani
Mdogo kaenda kumpa hi mstaafu! Hapa inaeleweka wazi kwanini imepangwa kuwa hivyo
Mkubwa akapelekwa kuonana na wagalatia. Kwa...
Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu.
Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors.
Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni:
• kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili iende kwa external nje ya ada ya CED project ambayo kiasi chake ni (1,680,000) kisha baada ya hapo...
Anonymous
Thread
chuo
community
economic
kubwa
masters
open
program
saba
sana
MAPENDEKEZO YANGU: TUKITAKA KUJENGA UCHUMI WA UZALISHAJI, KUNA MAAMUZI MAGUMU LAZIMA TUANZE KUYAFANYA
Kuna mambo ambayo naamini kabisa tukiamua kuyafanya kwa nia ya dhati yanaweza kubadilisha namna uchumi wetu unavyofanya kazi.
Kwanza, tupange upya biashara zetu mijini.
Hii tabia ya kila...
Wazee wa Geti Jeusi hebu tupia kitu cha kutuchangamsha Mjini.
Hizi mbanga za Simba na YANGA Sasa hivi Hazishitui tena...leteni vitu vipya tuchangamke Mjini
Nianze kusema kwamba kuna wanawake wanajua kupenda na huu sio uongo.
Binti nilipomsogelea na kuzungumza nae akacheka sana kisha ndani ya maongezi yetu ya dakika zisizozidi 10 akanifanyia jambo moja la upendo wa pekee sana.
Wanawake wote wenye upendo wa Agape muishi miaka mingi.
Miaka 33 mpka sasa lakini leo Karudisha viungo wote darasani, kaanza ngoma kakimbia kaja DAMARO kakimbi kaja DUKE, MUDA, na CASSEMIRO hao wataenda kulala na viatu mtaalamu alizima kelele mjini
Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi.
Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao.
Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi...
Tokea asubuhi kuna kaubaridi fulani hivi .
Mwanzo nilijua mambo ya ibada jumapili leo.
Mchana hola.
Jioni hola
Au labda yanga day ?
Lakini inaweza kuwa watu wako aut a wenzi wao.
Ndugu zangu Watanzania,
Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
Wadau myimwike,
Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo.
Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.