The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI....
Malume
Kuna hii tabia unakuwa na hamu sana kabla ya tendo halafu baada ya kumaliza ghafla hata ile hamu ya kumuona mwanamke inapungua, tumetoa wapi?
Naangalia hata kwa wanyama kina simba madume mengi baada ya mating yanaonekana kama maisha yanaendelea tu Hakuna habari za romance wala nini.sawa hao...
Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi.
Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:-
Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru
Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule
Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili apate mkate wa kila siku.
Miaka 70-75 yupo huru
Baada ya hapo ni kifo
Kwa hiyo, muda wa kuwa huru...
Huu mlima kwa kweli salute sana. Yani siku kukiwa na clear sky mwonekano ni something else kabisa.
Sasahivi ni jioni na unaonekana fresh hivi, siku ukiuona mchana na jua linapiga fresh view inakuwa very magnificent
Milima mingine ambayo nimeiappreciate kimuonekano ni Mlima Meru na Mlima...
TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF
Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma yangu, wala sina ID nyingine za kujificha.
Nimejiunga na JamiiForums kwa lengo la kujifunza...
Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 46 wa Chama cha Wasimamizi wa Kodi cha Jumuiya ya Madola (CATA) utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba, 2026.
Mahali: Arusha (katika Hoteli ya Gran Melia).
Tarehe: Oktoba 5 hadi 9, 2026.
Mgeni Rasmi: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu.
Nawashauri wafuasi...
Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM.
Nimejaribu kufatilia kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali unakuta account inapost jambo kukashifu...
Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.
Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
Unaweza kutengeneza milango mizuri, madirisha, mageti, grill, meza na bidhaa mbalimbali za chuma—lakini mwisho wa mwezi ukajiuliza: “Mbona nafanya kazi sana lakini biashara yangu haikui?”
Tatizo linaweza lisiwe uwezo wako wa kuchomelea. Huenda kuna mambo muhimu ya kibiashara unayapuuza bila...
Anapokufa tajiri, kiongozi mkubwa au mtu maarufu sana watu wanapagawa na kukipamba sana kifo. Wanaongea misemo na maneno mengi mno kuonyesha utajiri, maisha mazuri na ukuu sio chochote.
Huu ni ujinga, kifo ni kifo tu na kila mtu atakufa katika umri wowote, ukiwa Africa au nchi ambazo...
OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI.
NITASIMAMA.
Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao.
Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU.
Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu, lakini ukifiria kuwa bila kufanya hivyo, ndoa yako inaweza kuvunjika kutokana na kukoroma kama jenereta...
Jamaa wana Sheria Kali sana za dini, je hili la kupeleka miss hawalioni? Mavazi yanayo valiwa kule mmmh, je ni UNAFIKI wa SISI binadamu au ni PAKISTAN nyingine tofauti nayo ijua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.