Juzi nilileta uzi wa kumpongeza JF Founder Maxence Melo watu wakasema nafanya uchawa ili nipewe simu ya bure, leo hii ametwaa tuzo ya haki za binadamu Tanzania na bado ni miongoni mwa watu 26 wanaowania tuzo hiyo kitaifa, kwa nini nisimpongeze tena? Hongera sana baba Melo kwa kutwaa tuzo hii 'ngumu'!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.