Yaani mwanaume kumhonga mwanamke unaempenda na mtiifu kwako raha mno
Unakuta una mwanamke mzuri mtiifu kwako hana mambo mengi. Kumnunulia zawadi au kumpa vitu vizuri kuna raha unapata kama mwanaume
Ila kumpa pesa mwanamke jeuri ni sawa na kukabwa kutapeliwa au kuibiwa.
Mimi napata raha kutatua changamoto za mwanamke mtiifu kwangu