The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Dunia ya sasa imepoa sana.
Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani...
Mmoja wa madereva aliyejitambulisha Kasuka Makulu akiwasilisha malalamiko yake mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema: “Madereva tunanyanyasika, tumekuwa kama jalala, hatuthaminiwi ndani ya nchi. LATRA wanatuvuruga sana.”
"Mheshimiwa waziri sisi madereva tumekuwa...
Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka sasa unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko(maandamano halali).
Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua...
Makamu wa Rais Ndejembi ameanza vizuri sana.
Anza dakika ya tisa.
https://youtu.be/iAP0KlroFjI?si=rvQQ4kOAi75Q3BFA
Point muhimu kwa c-ceo forum.
Change the labour laws in Tanzania to be pro-young.
Make the labour laws to allow for 50% part-time employment in the government civil service...
Nilimtukana sana Traore nikifiriki ni dikteta uchwara kama madikteta wengine wa Africa kumbe ni dictator mzuri "benevolent dictator"
Jana ameleta habari kubwa sana duniani baada ya kuzindua kiwanda kikubwa kuliko vyote Africa cha kuchakata dhahabu ghafi kuifanya bidhaa kamili kabisa.
Namuomba...
Wewe mtu nimekukaribisha kwangu upafahamu tayari umeshaanza mambo ya umbea hii itakusaidia nini? Ndiyo nina mitungi sita ya gesi nyumbani kwangu na yote iko full yani hapo na mtu anashangaa kabisa eti "oya.. una mitungi sita ya gesi na yote iko full" yani kaona eti hicho ni kitu cha ajabu.
Mara...
Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako itakamilika kama ulivyo panga , wakati huo kabla ujasafiri unapiga namba za huduma kwa wateja haipokelewi...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore.
Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10.
Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
Hebu ukipata nguvu,
msikilize na kutazama facial expressions na body language za hao wazungu anaowapiga lecture, unaweza kuobserve kitu na kujifunza pia.
well done Dr.William Somoe Ruto, very able President of THE republic of Kenya for speaking for Africa. :1Head:
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu,
Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe.
Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi.
Computer ya 2026 haiwezi...
Nishakubaliana na hali ya nchi yetu kwenye upande wa customer service ila hii ya mtu kunihudumia huku anaongea na simu very relaxed aisee huwa natamani nimrukie nimpige vichwa af niondoke zangu
Kule Unguja sitaki kupaongelea maana panatia hasira
Hii nchi tulimkosea nini Mungu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.