The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo
Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama kuzifafanua kwa waliojipachika madaraka
Hiyo inaitwa ... Usiyempenda kaja... Kaongoza vema jopo la wasomi...
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
hela
kakonko
mpya
nyingi
pesa
pesa nyingi
sana
wilaya
Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba.
Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi akiondoka.
Yaani sasa wamejisahau na kuona nchi kama ni yao na ubaya zaidi vyombo vya usalama vyote...
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake.
Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea, nikitokea Kijitonyama .
Binafsi, ni miezi sita tangu nifike Tabata, na njia zangu za kawaida zilikuwa hazinipeleki upande huo.
Lakini kila tulipokuwa tukikata kona, nilikuwa nashangaa kuona jinsi mji ulivyobadilika. Si ule mji...
Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure.
Ni tofauti sana na wanawake weusi.
Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo.
Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu.
Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa.
Eee..niongeze sauti au nipunguze...
Imeniuma sana.
Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe..
Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi.
Leo ndio nagundua...
Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi?
Ni laana gani tuliyo nayo sisi?
Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena?
Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
Mimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana.
Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona.
Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa dawa 2 vidonda vilikauka haraka ndani ya siku nne tu za mwazoni now niko kabisa .
Dawa hii...
Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema:
“Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.”
Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza.
Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao...
Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye pombe. Pombe ni madawa ya kulevya yenye faida sana.
Basi wakapiga marufuku import ya pombe ili...
Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha.
Msimu wa 2024/25 wakati unatamatika kipindi kile kila mtu aliona kuwa genge la Mutale na nduguze kwenye safu ya kiungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.