Yule mwanamke nilimuhangaikia sana

Yule mwanamke nilimuhangaikia sana

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,104
Reaction score
15,250
Usiku nilikuwa silali...

Nikinywa maji namuona kwenye glasi...

Kama nikilala namuota yeye....

Kila nilichopata nilimkumbuka na yeye..

Lakini alizidi kunisumbua na kunitesa sana sana.....

Sasa siku isiyokuwa na jina kakubali... doooh.....

Sikuamini...mapigo ya moyo yakaongezeka...pumzi niliokuwa naivuta niliona kama imebadilika.....

Nakumbuka zamani hizo..... mazingira tuliyokuwa tunaishi...... ustaarabu wa nyakati zile...... changanya na malezi....ilibidi nimpeleke kichakani.

Baada ya maandalizi ya hapa na pale...Jogoo akapanda mtungini...

Baada ya kuutupa ule uji wa motomoto...ghafla nikamchukia kwa machukio makubwa sana.

Pale pale sikutaka hata kumuona na nikashangaa hata ile harufu niliyokuwa naifurahia...... nikaichukia sana sana....

Nikaondoka na sikutaka kumuona tena....hiii kitu ilinishangaza sanasana.

Baadae nikaja kupata ufahamu na Elimu kuhusu Chemistry, Frequency na Energy.

Nikagundua haziku synchronize.
 
Nyegezz hupumbaza.Zikiisha huduwaza.Nyegezz ni niokozz!
 
Ukute ilo bao lilipelekea mimba halafu unakuja kuwananga singo maza

Ndio maana tunawaasa vijana wa kike, usikubali kutwalwa hadi uolewe bila hivyo bana uchi wako na kifuli
 
Hakuna cha bonding bali shida ni wewe mwenyewe. Emu jifunze kupangilia kwanza hisia zako. Kama hisia zako zinachelewa kuload baasi utawabadilisha wengi sana. Kama utategemea kumpenda manzi baada ya kutoa uji moto utakua unajidanganya na ndio mana wanaume hupenda mwonekano wa nje kwanza kabla ya wandani
 
Ushamba ni kama gunia la mavi wakavu

Ushababi wenzio wanakuzum tu

Kila la kheri kwa kuharibu mtoto wa mtu na bado ukajiona huna hatia na kumlipa chuki mtoto wa watu ambaye alivumilia hata kukuvulia pichu yake vichakani

Huna hata huruma pumbafu sana 😂
 
Mbona kama michano flani hivi!
 
Mbona kama michano flani hivi!
Huyu lazima nimchane live huwezi kumvua pichu mtoto wa watu tena machakani huko harafu ukamlipa chuki mpaka yeye mwenyewe akafahamu kuwa umemchukia

Wanaume wema hawako hivyo 😂

Hata kama umeona majibu ni tofauti na ulivokuwa unategemea una mwacha kiungwana tu

Dunia ni duara utakuja ujute umkimbili binti mwingine ukiwa umeshikiria sherui mkononi
 
Sherui ni nini?
 
Bora aoneshwe position yake mapema ataheal atamove on, ila akaoneshwe hizo tabia ndani ya ndoa, ni milio kila siku!
Unaweza kuwa sawa ila haupo sawa pia

Kwa sisi wanaume nyege ndio mhimili mkubwa wa upendo kwa mwanamke vingine kama sura, umbo, tabia na akili vinafuata baada ya hiyo takataka inayoitwa nyege

Kwa maana, ukiwa na nyege kila mwanamke kwako ni mzuri wa kila kitu zikitoka tu unaanza machaguo, yani ni kama mtu mwenye njaa na aliyeshiba.

Uzuri au ubaya wa nyege ni kuwa kwetu wanaume ni muda wa nusu saa hadi lisaa tu zinarudi tena, hivyo basi kile kile ulichokiona kibaya baada ya muda unakiona kizuri tena

Na hapa ndio mantiki ya ndoa inakuja, kwa maana msichana akiolewa, yule mume alomuoa atakuwa vipindi vya nyege na kuridhika akivitumikia akiwa na huyo binti ndani. Na kwakuwa muda wote ni wa nyege akiona Pichu tu anasahau yote na kuendelea kuvumiliana maana duniani hakuna mkamilifu wa yote
 
Back
Top Bottom