John Glenn alikataa kuruka hadi mwanamke mmoja alipohakiki kwa mkono hesabu za kompyuta.
Jina lake lilikuwa Katherine Johnson. NASA ilikuwa tayari na mashine za kielektroniki kufikia mwaka 1962, lakini hakuna aliyekuwa akiziamini kikamilifu. Glenn alitoa maagizo ya moja kwa moja: “Mtafuteni...
Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo..
Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku.
Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead...
MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwanamke ambaye hujamuoa. Sio mkeo. Ikatokea ulilala naye na bila shaka ni kwa lengo la starehe kwa sababu ingekuwa ni...
Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu...
Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35...
Ila kwa sisi wa miaka 40 mahusiano na wanawake waliotuzidi umri ni WAZEE WENZETU..
Sio kwa sababu wanawake ni watu wabaya, ila kwa sababu wanawake pia ni binadamu. Na asili ya binadamu ni survival, not honesty. Wanawake wameweza ku-survival tangu vizazi vya kale kwa kudanganya, kucheat na kulaghai ili wapate ulinzi na matunzo
Mwanaume mjinga anafikiri mwanawake wake ni...
Wakuu! Hii ni asili, Wanaume wengi tunakosa ujanja pale tunapokutana na Wanawake wenye nidhamu na utii, hata kama wameolewa.
Ni noma sana!
Nimekutana na wakati mgumu kidogo, nimewaza sana!
Nilipewa jukumu moja la kuwa team leader. (Sio mara yangu ya kwanza kuwa kiongozi) but this time...
Nikiwa mwaka wa mwisho chuo Mwaka 2018, life limenipiga sielewi na mzee ameachishwa kaz kama mwaka mzima uliopita, nilienda taasisi flani ya serikali hapo Dar kufuatilia mambo flani, huko nikahudumiwa na mwanamke na kwakuwa nilikuwa nashughulikia ishu kubwa kidogo yule mama alinipa namba yake...
Wakuu mko poa,
Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma.
Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
Katika uhusiano, mwanamke hawezi kujivunia mwanaume kwa sababu tu ya sura yake au uwezo wake wa kifedha. Mara nyingi, fahari ya mwanamke hutokana na namna mwanaume alivyo, kile alichonacho na zaidi namna anavyomtendea mwanamke aliye naye.
1. Vile alivyo
Tabia na utu wa mwanaume vina nafasi...
Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo.....
Yeye: Wazo gani mpenzi..??
Mimi: Nimepata wazo la kukuoa
Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki....
Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha?
Mimi...
Je, ni kweli kwamba kila mwanaume anatamani mwanamke mwenye uzuri wa kuvutia tu, au kuna sifa nyingine zinazomfanya mwanaume amtamani mwanamke kwa ajili ya maisha ya muda mrefu?
Je, mwanaume anatafuta mwanamke anayemheshimu, anayempa amani, anayejua kuwasiliana vizuri na anayebaki naye wakati...
Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi.
Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko
Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako
1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo...
Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza.
1.Damu ya hedhi
Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo...
Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa mafuta yanayohifadhiwa sehemu ya chini ya mwili ni tofauti kabisa na yale ya tumboni. Kulingana na wataalamu wa afya, mafuta haya ya nyonga husaidia kunasa asidi za mafuta hatari mwilini. Jambo hili husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata ugonjwa wa...
SIFA KUU ZA MWANAMKE HIGH CLASS NI HIZI!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ni kawaida kwa vijana wasiokuwa na elimu ya sosholojia na saikolojia kubabaishwa na mikogo, mbwembwe za kila mwanamke wanayemuona mitaani huko.
Pia ni kawaida pia wanawake nao wenyewe kwa wenyewe kutingishana na...
Inasemekana kuwa Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez walisaini mkataba wa kabla ya ndoa mnamo Agosti 10, 2026, siku moja tu kabla ya harusi yao ya faragha nchini Ureno.
Naamini tulishaletewa habari hii hapa jamvini lakini hebu kidogo tuuelezee kwa ufupi mkataba huo.
Mkataba huo...
WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga
Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.