Ni kweli, ICC wako nchini

Ni kweli, ICC wako nchini

Inafahamika kwamba Trump haendelei muhula mwingine. Lakini kudai kwamba ICC ipo kwa maslahi ya Marekani ni uongo usio na chembe ya ukweli wowote. Britannica katudanganya hapo.
Kwa jinsi nilivyomuelewa, US hasa chini ya serikali ya Trump wana i force ICC ifanye kazi kwa favor ya US... inajulikana wazi Jew Lobbyists wapo wametapakaa ndani ya serikali ya US, kumbuka pia ICC ililaani kitendo cha Israel kufanya genocide Gaza, na ICC wakatoa arrest warranty kwa Netanyahu...

Ndani ya Israel ndipo kuna watu wana push hio agenda kwa nguvu kuidhoofisha ICC, then order zinakwenda kwa wayahudi waliopo ndani ya serikali ya US ambao wamemzunguka Trump kila kona, Netanyahu inajulikana anamuendesha Trump na ana uwezo wa kumshawishi upuuzi na Trump akatekeleza... order zinatoka Israel na kuiendesha US kama rimoti ya TV...

Huwezi jua pengine kwa pressure ambayo ICC inapewa inaweza legeza kamba kwa US ili iendelee kuwepo, kumbuka ni taasisi kubwa yenye watendaji wengi walioajiriwa...

Lakini ndipo hapo nikasema hilo kufanikiwa ni ngumu sana kwa sasa, maana Netanyahu ndivyo hivyo anakwenda achia ngazi na gang yake, huku Trump akiwa hana matumaini ya kuendelea muhula ujao, wote hao wanapambana kuweka hali sawa sidhani hata kama wana muda sasa wa kuiwazia ICC, mbaya zaidi wananchi wa US hawataki sasa kusikia habari za Israel...

Hivyo Netanyahu ndiye alikuwa anaendesha huo mpango, na sasa anatoka kitini, ICC inaendelea kama kawaida....

Ila tu kuhusu hapa nchini na haya masuala ya ICC ni uwazi hao watu msaada wao ni mdogo...

Serikali inatumia watu kuishawishi ICC kwamba yaliyotokea Oct 29 ni jaribio la mapinduzi , uhalifu, na vikundi ambavyo vilitaka kupindua serikali...

Zinatungwa kila aina ya hadithi uzijuazo kuishawishi ICC kwamba 29 Oct ilikuwa kawaida... wana normalize mambo...

Zinafanyika set ups za hali ya juu...
Wanatumika wataalamu wote wa sheria unao wafahamu, wanasheria, wasomi , maprofesa, wana diplomasia just to normalize hilo suala mbele ya ICC , waswahili husema pesa haijawahi kushindwa....

Kwa muenendo huo ICC inajikuta katika wakati mgumu kupangua na kukwepa hio mishale...

Lets see...
 
Pamoja na hilo shinikizo, mpaka sasa hakuna ushahidi kwamba ICC inatekeleza matakwa ya Marekani. Kuhusu impact ya ICC kwa sakata la October 29, muda utaongea. Hatahivyo, sehemu ya ushahidi wa kihistoria inaonyesha kwamba ICC inaweza isiwe na impact yeyote kwenye hili jambo letu.
 
Waafrika sisi ni vilema wa kufikiri.

Tunategemea mahakama za wakoloni kuwajibishana wenyewe.

Marekani sio mjinga kujitoa kwenye huo upuuzi.

Kwanini tusiiiamini mifumo yetu ya utoaji haki?

Tume zipo zinaendelea na tutaona namna serikali itavyo deal na outcome za tume ya pili ya Lila.

Ila ni mapema kwa ICC kuja na bado sio sawa kuendelea kuilaumu Serikali kwakuwa tayari hatua zimeshachukuliwa.
1. Samia Suluhu Hassan na genge lake wangekuwa ni binadamu kweli wenye utu wa kibinadamu, tume ya Othman Chande ilipaswa kuja na majibu na mpaka sasa nchi na taifa lingesha - stabilize...

2. Samia Suluhu Hassan angekuwa ni binadamu na Rais kweli kweli wa nchi hii, angeshachukua hatua hata bila ya kuunda tume na tume kwa sababu anajua kuwa maelfu (sio mamia) ya watu waliuwawa kabla, 29/10 na siku zilizofuata...

3. Hachukui na hatachukua hatua yoyote hata kama tume maelfu na maelfu zitaundwa kwa kuwa aliyeua ndiye muunda tume hizo..

4. Je, kuna Solution ya uhalifu huo?

👉NDIYO ipo nayo ni kila muhusika kuubeba mzigo wake mwenyewe, kubeba matokeo ya matendo ya dhambi yake mwenyewe...

5. Mamlaka gani itachukua itatoa hukumu hiyo?

👉Mamlaka ya kimbingu iliyo juu ya mamlaka zingine zote. Ni Mungu Yahweh mwenyewe amehukumu tayari. Atatumia instrument yeyote kwa kadiri atakavyoona inafaa ili ku - execute hukumu yake, yaweza kuwa hiyohiyo ICC au roho ya uchizi, mauti, anguko la kushushwa chini kama alivyofanyagwa mfalme Nebukadneza...

👉Tukumbuke, Mungu Yahweh ndiye mamlaka kuu inayoweka mamlaka zingine zote ili kutawala wanadamu wake. He will never be surpassed..
 
ICC hamna kitu nilisema nitasema ICC ingekua inamaanisha January 1, 2026 kuna watu wangekua wamepanda kizimbani kujibu mashtaka ila hii ICC mtasubiri sana imekaa kimchongo zaidi, ni km wale dirty cop ambao wanakudaka kabla ya kukufungulia mashtaka na kukupeleka mahakamani wanakuuliza kwanza umeiba kiasi gani? ukiwaambia umeiba kiasi fulani wanakwambia haya sasa ukitaka nisikupeleke nipe 1 na ½ ya hicho ulichoiba halafu wewe bakia na ½ ukimpa kweli anakuachia na anakwambia kua makini usikamatwe na dirty cop mwingine ikawa msala hio ndio ICC imekaa kimaslahi zaidi kimchongo ni km biashara fulani
 
Magufuli alizungukwa na wasaidizi wa karibu ambao wengi wao walimchukia sana,lakini alipendwa na wananchi wa kawaida.Ndiyo maana hakudumu.

Bahati yake Samia anazungukwa na watu wa karibu ambao wangependa aendelee na madaraka ili waendelee kutajirika,lakini anachukiwa na wananchi wa kawaida ambao hawana madhara kwake.Ndiyo maana atadumu.
Umemaliza mkuu cha kumgusa samuya ni nature tu, nilishawai kulisema hili ulilosema sehemu.
 
Kuna jambo ambalo nchi za ulimwengu wa tatu linasahau

Hawa ICC wanaweza wasitusaidie chochote

Nowadays imekuwa jokes

Ukiangalia mauaji yaliyofanyika 29/10/2025 kama alivyo comment Nyani Ngabu sehemu kwamba kwa Ushahidi uliowazi vile wao wanachelewa nini kufanya maamuzi

Tunajua ICC uchukua muda kufanya uchunguzi kwa kina na inaweza tumia hata Miaka 3 au 5 Mpaka mtu anatiwa hatian, suala la Kijiuliza hapa je kwanini waje kimya kimya ?

Kwa maslahi ya nani ? Kwanini isiwekwe wazi? (uhakika ni kweli hata IGP kapata wito kuongea na wajumbe Ila wamezungumza nini ndo bado tuna dig kuona)

Kuna elimu watanzania mnabidi muipate.
ICC haipo kwa ajili ya haki, ipo kwa maslahi ya Ulaya na washirika wake. Kama tungekuwa very independent na hatuwategemei kwa baadhi ya mambo, ishu ingeshaitwa kati

Hii nchi bado ni koloni la marekani na washirika wake km ilivyo nchi nyingi za Africa. Wanatumia makosa ya Samia km leverage ya kuchota mali Tanzania,

Hapo ndo Maana Hana hata uwoga wowote ule juu ya ICC

pamoja alokuwaga msaidizi kumu implicate na kutoa maushahidi lakin bado wana sita kuchukua maamuzi, hata kesi kutajwa au kuorodheshwa bado,

Tunajua walipokea kesi Yenye page 84 kwa ajili ya Tanzania Ila sasa ni kama hawana muda na kesi hii

Samia ni muoga wa watanzania na CCM zaidi ya ICC kama hamjajua hili ,

ICC anajua tu pale kwanza yanaweza kutengenezwa mazingira akapewa mtu Tofauti kesi (Reffer Kenya 2007, Kibaki hakuguswa Ila walopelekwa ni Rutto na Kenyatta ambao wala hawakuwa madarakani)

Hivo ICC ya sasa hivi imejaa siasa sana na meno yake yamefubaa

Cha kufanya Watanzania bora kuja na mbinu ambayo ntaiweka Baadae ambayo Samia anaiogopa kama ukoma,

Kujitoa muhanga ndo soln now

Kuishia kushktaki kwa UsA na Ulaya ambazo Baadae tunaona zinaendelea kushirikiana na Tanzania ya Uongozi ule ule kutimiza miradi yao na plans ni udwanzi

IGP kakutana na nani na wapi ? Kwa Usalama wa JF siandiki hapa

Britanicca
Hizi ndiyo takataka unataka tukanunue kule Telegram channel yako? Humpati mtu na UWONGO wako
 
Magufuli alizungukwa na wasaidizi wa karibu ambao wengi wao walimchukia sana,lakini alipendwa na wananchi wa kawaida.Ndiyo maana hakudumu.

Bahati yake Samia anazungukwa na watu wa karibu ambao wangependa aendelee na madaraka ili waendelee kutajirika,lakini anachukiwa na wananchi wa kawaida ambao hawana madhara kwake.Ndiyo maana atadumu.
Umeongea ukweli mchungu ulio sahihi
 
Yanapotokea machafuko tambua jambo moja, kuna kitu kinaitwa kukutwa katikati ya ambush au kuwepo kwenye line of fire, siyo huyo binti Tu wapo wengi waliingia kwenye ambush wakati vyombo vinajaribu kurudisha utulivu Kwa maslahi ya wengi ambao hata hawajui chochote na wala hawakuwa sehemu ya hizo harakati...

Nimwambia hapo juu, hao ICC kimedani wanaweza kuja kufanya uchunguzi na viongozi wenu akina Mange, Maria nk wakajaa nyavuni, (hujui yaliyokuwa nyuma ya pazia),

Unazungumzia waandamaji waliotoka hapo ubungo karibu na kanisa la Gwaji boy tarehe 29 wakafika daraja la kijazi na kujigawa wengine wakienda mwenge na wengine wakichukua uelekeo wa buguruni, wale wabuguruni wakisema live wanakwenda Segerea, airport, bandarini kutia moto storage tanks nk...hawa ndio unataka vyombo vya usalama viwasindikize na wale wengine wakielekea mbweni kupitia goba njiani wakitia moto vituo vya mafuta ulitaka Askari wasindize hawa watu au sio???..

Kabla ya tarehe 29 hukumsikia Mange, Kapt Tesha, Maria wakiimba kufanya mapinduzi??? Unajua kazi ya jeshi na vyombo vya usalama kazi yao kunapokuwa na tishio la mapinduzi?.

Unajua kwamba kazi ya vyombo vya usalama ni pamoja na kulinda maslahi ya wengi na sio wanaharakati, wanasiasa na wafuasi wa CDM???..
Unafahamu kama maandamano Kwa mujibu wa Sheria ya Tanzania huwa yanataratibu zake na lazima kuwe na mawasiliano na vyombo vya usalama??? Unafikiri kwanini yale maandamano yalifanyika tarehe 29 ambayo kisheria ilikuwa ni siku ya uchaguzi??

Sauti ya Mtanzania,
Safarini Khost - Afghanistan.
Mkuu umeandika kizalendo sana. Bila hatua ya vyombo vya dola kuchukua hatua ya risasi sasa hivi tungekuwa kama Sudan
 
Pamoja na hilo shinikizo, mpaka sasa hakuna ushahidi kwamba ICC inatekeleza matakwa ya Marekani. Kuhusu impact ya ICC kwa sakata la October 29, muda utaongea. Hatahivyo, sehemu ya ushahidi wa kihistoria inaonyesha kwamba ICC inaweza isiwe na impact yeyote kwenye hili jambo letu.
Ushahidi gani? Yale mapicha aliyokusanya MangeKimambi na Maria Sarungi? Kisha wakampa Larry Madowo akatengeneza makala? Utter rubbish
 
Yaan imekuwa kuchezeana tukikaa hivi wanatoboa 2030 na Uchaguzi utafanyika mwingine bila reforms zozote,

Nakukumbusha, walitoa Barua Lissu aachiwe Ndani ya siku 30, hawa kina Samia wakatuma watu waende kumpa masharti ili aachiwe akagoma,

Wale wale walotoa mashart ndo wako na mabalozi wetu kina kombo na kuendelea ushirikiano huku Hakuna hata agizo Moja walilotekeleza

Britanicca
Hapa ni kusign mikataba isiyokuwa na kichwa wala miguu ili kijinusuru
 
Yanapotokea machafuko tambua jambo moja, kuna kitu kinaitwa kukutwa katikati ya ambush au kuwepo kwenye line of fire, siyo huyo binti Tu wapo wengi waliingia kwenye ambush wakati vyombo vinajaribu kurudisha utulivu Kwa maslahi ya wengi ambao hata hawajui chochote na wala hawakuwa sehemu ya hizo harakati...

Nimwambia hapo juu, hao ICC kimedani wanaweza kuja kufanya uchunguzi na viongozi wenu akina Mange, Maria nk wakajaa nyavuni, (hujui yaliyokuwa nyuma ya pazia),

Unazungumzia waandamaji waliotoka hapo ubungo karibu na kanisa la Gwaji boy tarehe 29 wakafika daraja la kijazi na kujigawa wengine wakienda mwenge na wengine wakichukua uelekeo wa buguruni, wale wabuguruni wakisema live wanakwenda Segerea, airport, bandarini kutia moto storage tanks nk...hawa ndio unataka vyombo vya usalama viwasindikize na wale wengine wakielekea mbweni kupitia goba njiani wakitia moto vituo vya mafuta ulitaka Askari wasindize hawa watu au sio???..

Kabla ya tarehe 29 hukumsikia Mange, Kapt Tesha, Maria wakiimba kufanya mapinduzi??? Unajua kazi ya jeshi na vyombo vya usalama kazi yao kunapokuwa na tishio la mapinduzi?.

Unajua kwamba kazi ya vyombo vya usalama ni pamoja na kulinda maslahi ya wengi na sio wanaharakati, wanasiasa na wafuasi wa CDM???..
Unafahamu kama maandamano Kwa mujibu wa Sheria ya Tanzania huwa yanataratibu zake na lazima kuwe na mawasiliano na vyombo vya usalama??? Unafikiri kwanini yale maandamano yalifanyika tarehe 29 ambayo kisheria ilikuwa ni siku ya uchaguzi??

Sauti ya Mtanzania,
Safarini Khost - Afghanistan.
Hayo yalikuwa machafuko..? don't be stupid! wewe unataja watu ambao hakuna uhusiano wa walichosema na kile kilitokea..km maneno ya kina mange na maria ndio source ya maandamano nini kilikwamisha kuwakamata na kuwashtaki kabla ya maandamano? huwezi kuzuia watu kuandamana wakati umekataa kufanya marekebisho ya msingi kwenye mchakato wa uchaguzi, zipo hukumu zmekataza wakurugenzi wa h/shauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi, utekaji, mauwaji ya raia, ukandamizaji wa haki za raia na madhira mengi ambayo yalipaswa kutolewa majibu kabla ya uchaguzi..njia pekee kukataa siasa za ghiliba na uongozi wa ukandamizaji ni maandamano! hayo unayosema sijui waandamanaji walijigawa..hao vyombo vya dola wataleta ushahidi ICC kuthibitisha, kuandamana ni haki ya raia kikatiba na kunapotokea uvunjifu wa amani ndani ya maandamano polisi wanatakiwa ku-deal na hao wavunjifu wa amani tu tena si kwa kupiga risasi kuua..na si holela na kufata watu majumbani kupiga watu risasi watoto..huo ni uhalifu dhidi ya binadamu wasio na hatia! Dola inaongozwa na wahalifu haiwezi kuridhia maandamano ya raia wanaopinga dhuluma dhidi ya dola hiyo hiyo..!katiba inaruhusu maandamano..finish! hizo taratibu unazodai hazina nguvu dhidi ya katiba..serikali inayojali watu wake haiendeshwi kwa speculation za kijiweni, eti tesha kasema kuna mapinduzi, ok deal with tesha! Lkn km serikali bado haitoi majibu ya vutendo vyote vya kihalifu inavyofanya dhidi ya raia haiwezi kukwepa maandamano! na yakitokea huwezi kuzimisha maandamano kwa risasi..that's crime! raia wanapochoshwa na udhalimu wa serikali dhidi yao huwezi kuwachagulia njia ya kufikisha ujumbe wao kwako na kwa jumuiya ya kimataifa..! iwe ni siku ya harusi, siku ya uchaguzi siku yoyote..ni haki yao! one thing remains! be t unataka, hutaki..serikali iliua watu kwa genocide..records zipo, foot print za mass graves zipo! they can't change it..ni suala la muda tu! iwe leo, kesho..baada ya miaka 10 whatever, lazima watuhumiwa wata-face JUSTICE!
 
Kwanza hujui kuandika.
Na pia huna hoja.

Na kingne ambacho hujui ni nini maana ya Uhalifu wa Kibinadamu.

Na pia punguza jazba.
 
umekataa kufanya marekebisho ya msingi kwenye mchakato wa uchaguzi, zipo hukumu zmekataza wakurugenzi wa h/shauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi, utekaji, mauwaji ya raia, ukandamizaji wa haki za raia na madhira mengi ambayo yalipaswa kutolewa majibu kabla ya uchaguzi.

Uko sahihi.
Hata mm ni mdau wa NRNE ya Lissu.

tulitakiwa tuandamane, tusiende kupiga kura. Ili muitikio uwe na watu chini ya 5mill. Kutoka watu 36 mill.

Wahairishe uchaguzi au watangaze matokeo hivyo hivyo .Ila wakae wakijua ni ni 1/7 ya watu ndio wamewachagua.

na sio Kufanya zile vurugu.
 
Waafrika sisi ni vilema wa kufikiri.

Tunategemea mahakama za wakoloni kuwajibishana wenyewe.

Marekani sio mjinga kujitoa kwenye huo upuuzi.

Kwanini tusiiiamini mifumo yetu ya utoaji haki?

Tume zipo zinaendelea na tutaona namna serikali itavyo deal na outcome za tume ya pili ya Lila.

Ila ni mapema kwa ICC kuja na bado sio sawa kuendelea kuilaumu Serikali kwakuwa tayari hatua zimeshachukuliwa.
Hatua zipi zimechukuliwa!? Acha kuwaina WaTanzania kama mandezi. Mtuhumiwa kuunda tume uchwara ya kunyooshea vidole wengine ndio hatua!? Huu upumbavu wenu jaribuni hata kidogo kuuficha.

Mbaya zaidi mnajisahaulisha wenyewe kuwa huyo muunda tume aliwahi kuwaambia polisi kule Mtwara kuwa "hawawezi kujichunguza wenyewe" baada ya wenzao kadhaa kumpora na kumuua yule bwana mdogo mfanyabiashara wa madini.

Kuiamini mifumo ya Haki!? Hii hii ambayo hukumu zake za maelekezo zinavuja kabla ya kusomwa!? Hii hii ambayo mnufaika Rostam Aziz alidai haiaminiki hata kwa wawekezaji!? Hii hii ambayo jaji mkuu anatoa maelekezo uchwara ambayo hata kwenye sheria hayapo!? Huu upumbavu kaambianeni nanwajinga wenzenu huko lumumba.
 
Kwanza hujui kuandika.
Na pia huna hoja.

Na kingne ambacho hujui ni nini maana ya Uhalifu wa Kibinadamu.

Na pia punguza jazba.
Wewe mtoto..unajua nini wewe zaid ya definitions..ondoa kwanza ujinga kichwani mwako, ukiweza kufikiri kwa uhuru then hutatizama mambo kwa definitions!
 
Mm sio mtoto.
Na najua mengi. Na sio Mjinga.

Ungekuwa na busara ungejibu hoja na sio kutukana.
Tangu huko juu.
Hauwezi kumjibu mtu bila kumuita stupid au mjinga.

Hii inaonyesha ni Kiasi gan una jazba na kushindwa kucontrol hisia zako.
Na hiyo ndio inafanya ushindwe kuona na kupambanua ukweli wa mambo na uhalisia ulivyo.

Ndio maana hata hili umeshindwa kulitambua.
 
Najua nguvu inayotumika lazima ilingane na tishio lililopo.
Na Sheria inakataza kusababisha kifo cha mtu isipokuwa tu pale ambapo ni lazima kabisa ili kulinda maisha ya wengine au kuzuia jeraha baya sana.

Nishakiri huko juu kuwa Polisi wamezingua. Hakukuwa na haja ya kupiga risasi za moto.

lakini pia. Kwasababu wao ndio walikuwa eneo la tukio wanaweza kujitetea kuwa wafanya fujo walikuwa na nia mbaya zaid na wasingewazuia kwa namna ile madhara yangekuwa makubwa.
Kama waliamua kuzipoteza hadi maiti ni wazi wanajua kitu walichofanys ni kibaya sana. So , wanajaribu kuficha ukweli.
 
Mm sio mtoto.
Na najua mengi. Na sio Mjinga.

Ungekuwa na busara ungejibu hoja na sio kutukana.
Tangu huko juu.
Hauwezi kumjibu mtu bila kumuita stupid au mjinga.

Hii inaonyesha ni Kiasi gan una jazba na kushindwa kucontrol hisia zako.
Na hiyo ndio inafanya ushindwe kuona na kupambanua ukweli wa mambo na uhalisia ulivyo.

Ndio maana hata hili umeshindwa kulitambua.
..utoto wako uko kwenye reasoning, mtu kuitwa stupid sio ishara ya jazba..mwambie mtu kile anastahili! kwa hali ya kawaida tu kwa binadamu anayefahamu abcd za natural laws za uumbaji..hawezi kamwe kufurahi, acha kutetea, kufurahi mtu/binadamu kuuawa..HAWEZI! sasa upumbavu hauna hadhi, elimu, umri nk..mtu anayetetea watu kuuliwa ni mpumbavu! unaishia hapo kwanza..!
 
Back
Top Bottom