nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania FURSA KWA WATAALAMU WA CHEMISTRY: Jinsi ya Kuomba Usajili wa Professional Chemist (P.Chem.) Nchini Canada 🇨🇦

    FURSA KWA WATAALAMU WA CHEMISTRY: Jinsi ya Kuomba Usajili wa Professional Chemist (P.Chem.) Nchini Canada 🇨🇦 Je, umesomea Chemistry, Industrial Chemistry, Applied Chemistry, Petroleum Chemistry, Analytical Chemistry au taaluma nyingine inayohusiana na Chemistry? Je, ungependa kupata utambuzi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mabalozi wa Marekani Tanzania

    Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania. Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania Haya yanayoendelea Nchini ya mauaji,utekaji,wizi, ubadhirifu pamoja ujinga wot uliopo sasa, hata mimi ningekuwa DR.NCHIMBI lazima ningeshukia njiani.

    Ukikusanya maujinga ujinga yote yaliopo ndani ya serikali hii ya huyu mama kwa sasa ukajumlisha na ujinga wa hawa wakina makonda na machawa wenzao wanao pita pita huko kujisafisha kwa wananchi wajinga wenye uelewa mdogo, ilikuwa ngumu sana kwa mtu smart kama Dr.Nchimbi kuendelea kufanya kazi...
  4. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YATANGAZA UTALII NCHINI MAREKANI

    http://www.instagram.com/reels/DehDjiHCUFW/?hl=en
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

    Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaendelea kusubiri hukumu ya kesi ya Lissu, ni mambo gani ya kisheria yanayostahili kuangaliwa

    Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii. Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini. Lakini ukiingia ndani ya sheria, utaona kwamba swali la msingi ni kwamba.. Je, Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

    Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  9. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Uonevu na Unyanyasaji Mtandaoni yapungua kwa 41.3% nchini (2022–2025)

    Takwimu mpya kutoka NBS zinaonyesha kuwepo kwa mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya unyanyasaji mtandaoni, ambapo matukio yaliyoripotiliwa yameshuka kwa asilimia 41.3 kati ya mwaka 2022 na 2025. Kwa mujibu wa takwimu hizo kuhusu "Uonevu wa Mtandaoni: Mwenendo wa 2022–2025", wastani wa...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa watu watano maarufu, na wenye ushawishi kuwahi kutokea nchini.

    Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu.. ~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip) ~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip) ~ Tundu Antipas Lissu ~ Steve Kanumba.(Rip) ~ Diamond platnum
  11. plock

    JamiiForums Tanzania WAZO LA KUPUNGUZA AJALI ZA OVERTAKING

    Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja. Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania AMANI NA UTULIVU KIVUTIO CHA FURSA YA MIKUTANO YA KIMATAIFA NCHINI"

    Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa. Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Picha saneta kali Kareni Nyamu azua Gumzo nchini kenya baada ya kupigwa picha akinyonya kidole gumba ndani ya bunge ,je kunyonya gumba ni ishara mpw

    Wakenya wamechukizwa wakisema alikuwa anaangalia video za ngono na kuwa na hamu ya mdushelele Wamemtaka kuolewa sasa maana yeye ni kiongozi na analipwa pesa kutumika sio kuwaza ngono muda wote inadaiwa hana mme . Je kunyonya dole gumbe kule chini panakuwa pamelowa USSR
  14. W

    JamiiForums Tanzania Huduma ya maji nchini, hakuna atakayeachwa

    Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026. Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania "AMANI NA UTULIVU KIVUTIO CHA FURSA YA MIKUTANO YA KIMATAIFA NCHINI"

    Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa. Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kifo hakina muda maalumu

    Aliyeangalia kifo cha mwanadada baby love nchini haiti aliyeuawa kikatili kwa mapanga na nice B nipe mrejesho hali ikoje baada ya kuitazama video
Back
Top Bottom