Ni kweli, ICC wako nchini

Ni kweli, ICC wako nchini

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,394
Reaction score
50,147
Kuna jambo ambalo nchi za ulimwengu wa tatu linasahau

Hawa ICC wanaweza wasitusaidie chochote

Nowadays imekuwa jokes

Ukiangalia mauaji yaliyofanyika 29/10/2025 kama alivyo comment Nyani Ngabu sehemu kwamba kwa Ushahidi uliowazi vile wao wanachelewa nini kufanya maamuzi

Tunajua ICC uchukua muda kufanya uchunguzi kwa kina na inaweza tumia hata Miaka 3 au 5 Mpaka mtu anatiwa hatian, suala la Kijiuliza hapa je kwanini waje kimya kimya ?

Kwa maslahi ya nani ? Kwanini isiwekwe wazi? (uhakika ni kweli hata IGP kapata wito kuongea na wajumbe Ila wamezungumza nini ndo bado tuna dig kuona)

Kuna elimu watanzania mnabidi muipate.
ICC haipo kwa ajili ya haki, ipo kwa maslahi ya Ulaya na washirika wake. Kama tungekuwa very independent na hatuwategemei kwa baadhi ya mambo, ishu ingeshaitwa kati

Hii nchi bado ni koloni la marekani na washirika wake km ilivyo nchi nyingi za Africa. Wanatumia makosa ya Samia km leverage ya kuchota mali Tanzania,

Hapo ndo Maana Hana hata uwoga wowote ule juu ya ICC

pamoja alokuwaga msaidizi kumu implicate na kutoa maushahidi lakin bado wana sita kuchukua maamuzi, hata kesi kutajwa au kuorodheshwa bado,

Tunajua walipokea kesi Yenye page 84 kwa ajili ya Tanzania Ila sasa ni kama hawana muda na kesi hii


Samia ni muoga wa watanzania na CCM zaidi ya ICC kama hamjajua hili ,

ICC anajua tu pale kwanza yanaweza kutengenezwa mazingira akapewa mtu Tofauti kesi (Reffer Kenya 2007, Kibaki hakuguswa Ila walopelekwa ni Rutto na Kenyatta ambao wala hawakuwa madarakani)

Hivo ICC ya sasa hivi imejaa siasa sana na meno yake yamefubaa



Cha kufanya Watanzania bora kuja na mbinu ambayo ntaiweka Baadae ambayo Samia anaiogopa kama ukoma,

Kujitoa muhanga ndo soln now

Kuishia kushktaki kwa UsA na Ulaya ambazo Baadae tunaona zinaendelea kushirikiana na Tanzania ya Uongozi ule ule kutimiza miradi yao na plans ni udwanzi

IGP kakutana na nani na wapi ? Kwa Usalama wa JF siandiki hapa

Britanicca
 
Kuna jambo ambalo nchi za ulimwengu wa tatu linasahau

Hawa ICC wanaweza wasitusaidie chochote

Nowadays imekuwa jokes

Ukiangalia mauaji yaliyofanyika 29/10/2025 kama alivyo comment Nyani Ngabu sehemu kwamba kwa Ushahidi uliowazi vile wao wanachelewa nini kufanya maamuzi

Tunajua ICC uchukua muda kufanya uchunguzi kwa kina na inaweza tumia hata Miaka 3 au 5 Mpaka mtu anatiwa hatian, suala la Kijiuliza hapa je kwanini waje kimya kimya ?

Kwa maslahi ya nani ? Kwanini isiwekwe wazi? (uhakika ni kweli hata IGP kapata wito kuongea na wajumbe Ila wamezungumza nini ndo bado tuna dig kuona)

Kuna elimu watanzania mnabidi muipate.
ICC haipo kwa ajili ya haki, ipo kwa maslahi ya Marekani na washirika wake. Kama tungekuwa very independent na hatuwategemei kwa baadhi ya mambo, ishu ingeshaitwa kati

Hii nchi bado ni koloni la marekani na washirika wake km ilivyo nchi nyingi za Africa. Wanatumia makosa ya Samia km leverage ya kuchota mali Tanzania,

Hapo ndo Maana Hana hata uwoga wowote ule juu ya ICC

pamoja alokuwaga msaidizi kumu implicate na kutoa maushahidi lakin bado wana sita kuchukua maamuzi, hata kesi kutajwa au kuorodheshwa bado,

Tunajua walipokea kesi Yenye page 84 kwa ajili ya Tanzania Ila sasa ni kama hawana muda na kesi hii


Samia ni muoga wa watanzania na CCM zaidi ya ICC kama hamjajua hili ,

ICC anajua tu pale kwanza yanaweza kutengenezwa mazingira akapewa mtu Tofauti kesi (Reffer Kenya 2007, Kibaki hakuguswa Ila walopelekwa ni Rutto na Kenyatta ambao wala hawakuwa madarakani)

Hivo ICC ya sasa hivi imejaa siasa sana na meno yake yamefubaa



Cha kufanya Watanzania bora kuja na mbinu ambayo ntaiweka Baadae ambayo Samia anaiogopa kama ukoma,

Kujitoa muhanga ndo soln now

Kuishia kushktaki kwa UsA na Ulaya ambazo Baadae tunaona zinaendelea kushirikiana na Tanzania ya Uongozi ule ule kutimiza miradi yao na plans ni udwanzi

IGP kakutana na nani na wapi ? Kwa Usalama wa JF siandiki hapa

Britanicca
Unanata na beat vizuri sana comrade 😅
 
hilo karibia kila mtu analijua nafikiri, lkn ulitaka tufanye nini sasa? sisi hatuna jeshi, hatuna access na kodi za wananchi na hazina yote kuitumia na dola nzima, what else can we do? tunafahamau kwamba icc iko "bias" lkn kama wakiwa upande wetu tutashukuru zaidi hapo hakuna kingine tunachoweza kufanya zaidi ya kutegemea wenye nguvu zaidi ya evil regime ya tanzagiza watusaidie kupambana na evil hata kama wana maslahi yao lkn binafsi naamini kabisa ukiwa smart leader bado unaweza kuinufaisha nchi yako kwa kushirikiana na USA na western world yote.

wanaolalamika kuibiwa ni kwamba wanaongozwa na incompetent people, lkn ukiwa smart unaweza kunufaika, hivyo way to go na binafsi naunga mkono western powers kuipindua hii regime ....
 
looks you have good information
Yaan imekuwa kuchezeana tukikaa hivi wanatoboa 2030 na Uchaguzi utafanyika mwingine bila reforms zozote,

Nakukumbusha, walitoa Barua Lissu aachiwe Ndani ya siku 30, hawa kina Samia wakatuma watu waende kumpa masharti ili aachiwe akagoma,

Wale wale walotoa mashart ndo wako na mabalozi wetu kina kombo na kuendelea ushirikiano huku Hakuna hata agizo Moja walilotekeleza

Britanicca
 
Waafrika sisi ni vilema wa kufikiri.

Tunategemea mahakama za wakoloni kuwajibishana wenyewe.

Marekani sio mjinga kujitoa kwenye huo upuuzi.

Kwanini tusiiiamini mifumo yetu ya utoaji haki?

Tume zipo zinaendelea na tutaona namna serikali itavyo deal na outcome za tume ya pili ya Lila.

Ila ni mapema kwa ICC kuja na bado sio sawa kuendelea kuilaumu Serikali kwakuwa tayari hatua zimeshachukuliwa.
 
Kuna jambo ambalo nchi za ulimwengu wa tatu linasahau


IGP kakutana na nani na wapi ? Kwa Usalama wa JF siandiki hapa

Britanicca
My friends, ladies and gentlemen hii ni porojo,
labda hiyu mjusi anazungumzia ICU na sio ICC.

Mambo ya ICC hua yako wazi kwa dunia nzima kuelewa inafanya nini kwa wakati muafaka, na huwekwa hadharani kwenye website yao. Hapo huwekwa kila kitu wanachokusudia na kutarajia kufanya hapo mbeleni, mathalani hata nchi ambazo ICC iko rada na inaendelea kufanya uchunguzi zikoshorlisted kabisa kwenye web yao, so jaribu kuchek nchi yako ipo?.

Halafu,
kama ICC imeweza kutoa warranty ya kukamatwa kwa Netanyahu na Puttin ambao hata sio wanachama wa ICC, Wambura ni nani mathalani , hata aitwe chobingo kishkaji na mahakama hiyo? Acheni porojo bana mijusi:pedroP:

ICC huwajibika na kuchukua hatua pale pale tu ambapo nchi husika palipotokea changamoto za ukiukwaji wa haki za binadamu, haijachukua hatua au haina uwezo wa kuchukua hatua muafaka kushughulikia masuala yanayohusiana na ukikwaji wa haki za binadamu.

Na kamwe ICC,
haiwezi kuingilia au kutatiza hatua ambazo nchi husika inaendelea kuchukua katika kushughulikia jambo hilo kama ambavyo sote ni mashuhuda wa hatua ambazo tume ya Jaji chande na Lila zinaendelea na kazi.

So,
ni vizuri sana wadau wa Jf kujiepusha na porojo na upotoshaji useless wa hawa mijusi jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
 
Kuna jambo ambalo nchi za ulimwengu wa tatu linasahau

Hawa IClaya ambazo Baadae tunaona zinaendelea kushirikiana na Tanzania ya Uongozi ule ule kutimiza miradi yao na plans ni udwanzi

IGP kakutana na nani na wapi ? Kwa Usalama wa JF siandiki hapa

Britanicca
..upuuzi huu! hiyo mbinu leo ndio umeifahamu baada ya ICC kuja..? kafie mbele huko, mnafiki mkubwa na mdini!
 
We jamaa muongo muongo sana na umefanikiwa kuwaaminisha watu uongo wako, juzi hapa ulitwambia IGP kasafiri kwenda ICC leo unatwambia kakutana nao hapa kimya kimya, tabiri zako nyingi ni za uongo uongo nile umetengeneza kuaminika na watu kaka ambavyo CCM wanatufanyia kutuaminisha uongo uongo
 
An ICC preliminary examination is a desk-based legal review to decide whether to open a case, whereas a formal investigation involves active evidence collection and deploying investigators to build criminal prosecutions.

Key Differences

FeaturePreliminary ExaminationFormal Investigation
Main GoalDetermine if there is a "reasonable basis to proceed" under the Rome Statute.Gather evidence, identify suspects, and build cases for trial.
Investigative PowersNone. The Office of the Prosecutor (OTP) cannot issue subpoenas, compel testimony, or seize evidence.Full powers. The OTP can deploy investigators on the ground, interview witnesses, and request arrest warrants.
Sources of InformationRelies on open-source data, NGO/UN reports, government submissions, and third-party petitions.Conducts firsthand forensic analysis, field missions, and confidential witness interviews.
Judicial OversightConducted independently by the Prosecutor (unless referred by a State Party or the UN Security Council).Requires authorization from ICC Pre-Trial Chamber judges if the Prosecutor initiates it independently.
TimelineNo fixed deadline. Can last anywhere from a few months to over a decade.Ongoing until resolved. Continues through arrest warrants, trials, and appeals.

The 4-Phase Preliminary Examination Process
Before opening a formal investigation, the Prosecutor evaluates a situation through four sequential phases:
  1. Initial Assessment: Filters out petitions or communications that clearly fall outside the ICC's legal reach.
  2. Jurisdiction: Verifies whether the alleged crimes occurred after July 1, 2002, took place in a member state (or were committed by a member state's national), and qualify as genocide, crimes against humanity, war crimes, or aggression.
  3. Admissibility: Checks complementarity (whether national courts are genuinely investigating or prosecuting the crimes themselves) and gravity (whether the scale and impact of the crimes are severe enough for the ICC).
  4. Interests of Justice: Considers whether opening an investigation would harm the interests of victims or broader peace efforts.
If all four criteria are met, the Prosecutor requests authorization from ICC judges to move into a formal investigation.
 
We jamaa muongo muongo sana na umefanikiwa kuwaaminisha watu uongo wako, juzi hapa ulitwambia IGP kasafiri kwenda ICC leo unatwambia kakutana nao hapa kimya kimya, tabiri zako nyingi ni za uongo uongo nile umetengeneza kuaminika na watu kaka ambavyo CCM wanatufanyia kutuaminisha uongo uongo
Wapi nilisema kaenda ICC kasafiri?
 
My friends, ladies and gentlemen hii ni porojo,
labda hiyu mjusi anazungumzia ICU na sio ICC.

Mambo ya ICC hua yako wazi kwa dunia nzima kuelewa inafanya nini kwa wakati muafaka, na huwekwa hadharani kwenye website yao. Hapo huwekwa kila kitu wanachokusudia na kutarajia kufanya hapo mbeleni, mathalani hata nchi ambazo ICC iko rada na inaendelea kufanya uchunguzi zikoshorlisted kabisa kwenye web yao, so jaribu kuchek nchi yako ipo?.

Halafu,
kama ICC imeweza kutoa warranty ya kukamatwa kwa Netanyahu na Puttin ambao hata sio wanachama wa ICC, Wambura ni nani mathalani , hata aitwe chobingo kishkaji na mahakama hiyo? Acheni porojo bana mijusi:pedroP:

ICC huwajibika na kuchukua hatua pale pale tu ambapo nchi husika palipotokea changamoto za ukiukwaji wa haki za binadamu, haijachukua hatua au haina uwezo wa kuchukua hatua muafaka kushughulikia masuala yanayohusiana na ukikwaji wa haki za binadamu.

Na kamwe ICC,
haiwezi kuingilia au kutatiza hatua ambazo nchi husika inaendelea kuchukua katika kushughulikia jambo hilo kama ambavyo sote ni mashuhuda wa hatua ambazo tume ya Jaji chande na Lila zinaendelea na kazi.

So,
ni vizuri sana wadau wa Jf kujiepusha na porojo na upotoshaji useless wa hawa mijusi jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
Nilikuambia weee bwege mtakuwa blackmailed na mlango mmeufungua wenyewe.

Sasa pokeeni maagizo wapeni wanachotaka.
 
mnazungumzia ICC gani??...
kama Kabila, PK, M7, Ruto, Kenyata nk hawakuwahi kufanywa kitu...labda kuwe na vita ya maslahi wakubwa wa Dunia vs watu wetu hapo ndio ICC inaweza kufanya, otherwise ICC ni tool nyingine ya wahuni aka mabeberu kutumia kubargain maslahi yao..

Kama imeshindwa kumfanya kitu Netanyau na wenzake kule middle east sioni kama ICC inaweza kuwa mahakama ya haki kwa chochote inachofanya zaidi ya kuwa mali ya mabeberu kubargain maslahi yao duniani.

Sauti ya Mtanzania,
Safarini Khost - Afghanistan.
 
Back
Top Bottom