Ni kweli, ICC wako nchini

Ni kweli, ICC wako nchini

Nilikuambia weee bwege mtakuwa blackmailed na mlango mmeufungua wenyewe.

Sasa pokeeni maagizo wapeni wanachotaka.
unabebwa ufala wa kifikra na mjusi halafu unakuja kumbwelambwela vitu useless jukwaani?

hii ni maajabu,
umaskini wa kifikra ni mzigo wa fedheha sana aise:pedroP:
 
mnazungumzia ICC gani??...
kama Kabila, PK, M7, Ruto, Kenyata nk hawakuwahi kufanywa kitu...labda kuwe na vita ya maslahi wakubwa wa Dunia vs watu wetu hapo ndio ICC inaweza kufanya, otherwise ICC ni tool nyingine ya wahuni aka mabeberu kutumia kubargain maslahi yao..

Kama imeshindwa kumfanya kitu Netanyau na wenzake kule middle east sioni kama ICC inaweza kuwa mahakama ya haki kwa chochote inachofanya zaidi ya kuwa mali ya mabeberu kubargain maslahi yao duniani.

Sauti ya Mtanzania,
Safarini Khost - Afghanistan.
..case za hao wote umetaja zinalingana na genocide ilifanyika tanzania oktoba 2025..? kuna tofauti nyingi jinai ya museveni au netanyahu huwezi ilinganisha na jinai ya samia, wala kutoshughulikiwa kwa jinai ya ruto basi hata jinai ya samia haiwezi kushughulikiwa..si kweli, kila kitu ni cha mabeberu mbona vingine huvisemi..? misaada ya madawa, UNHCR, WHO, WB..kila kitu! mbona hivyo husemi, leo ndio unajua kuna mabeberu? si anzisha vitu vyako usihusiane nao..?
 
Kuna jambo ambalo nchi za ulimwengu wa tatu linasahau

Hawa ICC wanaweza wasitusaidie chochote

Nowadays imekuwa jokes

Ukiangalia mauaji yaliyofanyika 29/10/2025 kama alivyo comment Nyani Ngabu sehemu kwamba kwa Ushahidi uliowazi vile wao wanachelewa nini kufanya maamuzi

Tunajua ICC uchukua muda kufanya uchunguzi kwa kina na inaweza tumia hata Miaka 3 au 5 Mpaka mtu anatiwa hatian, suala la Kijiuliza hapa je kwanini waje kimya kimya ?

Kwa maslahi ya nani ? Kwanini isiwekwe wazi? (uhakika ni kweli hata IGP kapata wito kuongea na wajumbe Ila wamezungumza nini ndo bado tuna dig kuona)

Kuna elimu watanzania mnabidi muipate.
ICC haipo kwa ajili ya haki, ipo kwa maslahi ya Marekani na washirika wake. Kama tungekuwa very independent na hatuwategemei kwa baadhi ya mambo, ishu ingeshaitwa kati

Hii nchi bado ni koloni la marekani na washirika wake km ilivyo nchi nyingi za Africa. Wanatumia makosa ya Samia km leverage ya kuchota mali Tanzania,

Hapo ndo Maana Hana hata uwoga wowote ule juu ya ICC

pamoja alokuwaga msaidizi kumu implicate na kutoa maushahidi lakin bado wana sita kuchukua maamuzi, hata kesi kutajwa au kuorodheshwa bado,

Tunajua walipokea kesi Yenye page 84 kwa ajili ya Tanzania Ila sasa ni kama hawana muda na kesi hii


Samia ni muoga wa watanzania na CCM zaidi ya ICC kama hamjajua hili ,

ICC anajua tu pale kwanza yanaweza kutengenezwa mazingira akapewa mtu Tofauti kesi (Reffer Kenya 2007, Kibaki hakuguswa Ila walopelekwa ni Rutto na Kenyatta ambao wala hawakuwa madarakani)

Hivo ICC ya sasa hivi imejaa siasa sana na meno yake yamefubaa



Cha kufanya Watanzania bora kuja na mbinu ambayo ntaiweka Baadae ambayo Samia anaiogopa kama ukoma,

Kujitoa muhanga ndo soln now

Kuishia kushktaki kwa UsA na Ulaya ambazo Baadae tunaona zinaendelea kushirikiana na Tanzania ya Uongozi ule ule kutimiza miradi yao na plans ni udwanzi

IGP kakutana na nani na wapi ? Kwa Usalama wa JF siandiki hapa

Britanicca
Magufuli alizungukwa na wasaidizi wa karibu ambao wengi wao walimchukia sana,lakini alipendwa na wananchi wa kawaida.Ndiyo maana hakudumu.

Bahati yake Samia anazungukwa na watu wa karibu ambao wangependa aendelee na madaraka ili waendelee kutajirika,lakini anachukiwa na wananchi wa kawaida ambao hawana madhara kwake.Ndiyo maana atadumu.
 
We jamaa muongo muongo sana na umefanikiwa kuwaaminisha watu uongo wako, juzi hapa ulitwambia IGP kasafiri kwenda ICC leo unatwambia kakutana nao hapa kimya kimya, tabiri zako nyingi ni za uongo uongo nile umetengeneza kuaminika na watu kaka ambavyo CCM wanatufanyia kutuaminisha uongo uongo
Mchukie mtu lakini usimzushie uongo.
Ukiona anakukera muweke kwenye ignore list
 
Yaan imekuwa kuchezeana tukikaa hivi wanatoboa 2030 na Uchaguzi utafanyika mwingine bila reforms zozote,

Nakukumbusha, walitoa Barua Lissu aachiwe Ndani ya siku 30, hawa kina Samia wakatuma watu waende kumpa masharti ili aachiwe akagoma,

Wale wale walotoa mashart ndo wako na mabalozi wetu kina kombo na kuendelea ushirikiano huku Hakuna hata agizo Moja walilotekeleza

Britanicca
Adui tunayemuweza tusimuachie mzungu.
 
Wapi nilisema kaenda ICC kasafiri?
Kusema wako hapa nchini bila kutangaza, je ujio wao ni official?

Maana hatua ya kwanza ni “preliminary examination”, Halafu ndiyo inafuata “formal investigation”

Je wakiwa kwenye hatua ya preliminary examination ambapo siyo lazima wafike Tanzania bali kutizama ushahidi uliotumwa pamoja na petitions, huwa wanatangaza?

Hiyo hatua ya pili ya formal investigation, hata kama hawatangazi, maofisa lazima waonekane kwenye kukusanya ushahidi.

So taarifa za wao kuja hapa zina uzito gani? Wanaonana na nani wakiwa hapa? Maana kama hawako in “official capacity”, sidhani kama watakuwa na uhalali wa kukutana na mtu yoyote.

Wewe binafsi umejuaje kama wapo hapa nchini endapo haujafahamu kwamba wanakutana ama wamekutana na nani?

Kwenye “criteria” ama kipengele chao cha 4, ambapo wanaofanya utafiti wa awali ama hiyo preliminary examination, wanasema kuwa ni lazima hatua ya uchunguzi ihakikishwe kuwa haitaweza kuathiri maslahi ya waathirika wa matukio hayo wala kuzuia hatua za upatanishi.

Hivyo pengine serikali ndo inashikilia hapo na ndiyo sababu za hizo tume ambazo zimeundwa pamoja na “vikao vya maridhiano.

4. Interests of Justice: Considers whether opening an investigation would harm the interests of victims or broader peace efforts
 
..case za hao wote umetaja zinalingana na genocide ilifanyika tanzania oktoba 2025..? kuna tofauti nyingi jinai ya museveni au netanyahu huwezi ilinganisha na jinai ya samia, wala kutoshughulikiwa kwa jinai ya ruto basi hata jinai ya samia haiwezi kushughulikiwa..si kweli, kila kitu ni cha mabeberu mbona vingine huvisemi..? misaada ya madawa, UNHCR, WHO, WB..kila kitu! mbona hivyo husemi, leo ndio unajua kuna mabeberu? si anzisha vitu vyako usihusiane nao..?
Hebu niambie hiyo jinai unayoita ya Samia vs hizo jinai za hao wengine...
Unapoacha jinai za wengine na ukawa busy na jinai za wengine ambazo bado hakuna yeyote mwenye ushahidi lazima pia tujiulize una maslahi gani na nia yako pia ni nini??

UNHCR, WHO,WB zote ni tools zilezile zenye mlengo maalum unaotegeme mahitaji ya kila nyakati...sasa kushirikiana nazo na kutoshirikiana nazo ni uamuzi wa kila mwenye uhitaji nazo..

Tambua pia kazi ya ICC haipaswi kuishia kwa vyombo vya Dola pekee, bali inawahusu pia wachochezi waliojificha nyuma ya maandamano na kujaribu kuwa na malengo mengine ambayo yangeweza kuhatarisha maslahi ya wengi, sasa usishangae hata wanasiasa wa upinzani na wanaharakati nao wakawa na kesi za kujibu.

Sauti ya Mtanzania,
Safarini Khost - Afghanistan.
 
ICC anajua tu pale kwanza yanaweza kutengenezwa mazingira akapewa mtu Tofauti kesi (Reffer Kenya 2007, Kibaki hakuguswa Ila walopelekwa ni Rutto na Kenyatta ambao wala hawakuwa madarakani)

Exactly. Mazingira wanayoyaset.

Kama ICC wakifungua mashtaka.
Basi Hii kesi Samia wala vyombo vyake vya Usalama hawaguswi.

Kuna kichaka wanajifichia nazo.
Ili kuwa na uhalifu dhidi ya Binadamu kwanza inabidi uue Raia wasio na hatia kwa makusudi.

Ila Vyombo vya Dola wanaweza kurespond kuwa wamepiga risasi watu ambao walikuwa wanachoma moto sheli, na kuharibu mali za Umma na kuwa kuna jaribio la mapinduzi.
Kwa respond hii. Hakuna kesi icc wanapewa hao mabwela.

Ile ya Kenya. Pamoja na tume kutoa report kuwa watu 1,100+ wameuliwa. Tena nusu wameuliwa na Polisi.
Ila kesi ilifutwa kwa kukosa ushahidi na Raisi hakuguswa kabisa.
 
KAMA KUNA MTANZANIA ANADHANI ICC ITAMSAIDIA ANAJISUMBUA HALAFU HIZI NI POROJO HAKUNA CHA IGP KUITA ICC HUWEZI KUITWA KIMYA KIMYA LIKE KAMA WANAKIMBIZA MWIZI SOLUTION YA HAKI NI VITA NJE YA HAPO WATANZANIA MNAJISUMBUA, IKITOKEA KUNA KUNDI LIMIESHIKA SILAHA LIKAFANYA MASHAMBULIZI YA KUSHIKIZA KESHO KILA KITU KITAKUWA SAWA NJE YA HAPO NI POROJO TU
 
Tambua pia kazi ya ICC haipaswi kuishia kwa vyombo vya Dola pekee, bali inawahusu pia wachochezi waliojificha nyuma ya maandamano na kujaribu kuwa na malengo mengine ambayo yangeweza kuhatarisha maslahi ya wengi, sasa usishangae hata wanasiasa wa upinzani na wanaharakati nao wakawa na kesi za kujibu
 
Back
Top Bottom