wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Atatamani awe wako

    Kupenda ni sanaa Kupenda ni hisia Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji. Usitafute tu nafasi kwenye macho yake, tafuta mizizi kwenye fikra zake. Mfanye akukumbuke sio kwa sababu upo karibu, bali kwa sababu ladha ya uwepo wako haipatikani kwingine kote. Mnusanishe harufu ya...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa malori wako mbioni kuitisha mgomo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Nchini Tanzania (TATOA), Elius Lukumay, amesema wamiliki wa malori wako tayari kuyapaki magari yao endapo mamlaka zitaendelea kuwachukulia hatua wasafirishaji bila kuwashirikisha katika kutafuta suluhisho la changamoto zinazowakabili. Akizungumza na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mama yangu ni mtu ambae amekua akinikwamisha kwenye maendeleo yangu

    Kuna muda ata nashindwa Kuelewa wallah….. Mimi ni Mjasiliamali niko na wazazi wote 2 na nakaa kwetu by the way Mama angu ni mtu ambae amekua akinikwamisha jamaaan 😮‍💨 mzee alipanga kunipa pesa ya mtaji kuniongezea biashara ikue nilisagiwa kunguni jamaan mara mimi nakopesha sana silipwi, mara...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Watanzania munaopenda haki acheni kuwaamini kirahisi wanasiasa wakongwe,na waliotisheka kuiba wanapodai wako upande wenu

    Habari Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo.... Mfano;wote munaofahamu utawala wa Magufuri munamfahamu Polepole ni nani na alifanya mangapi lakini utashangaa munamuona mkombozi. Ata...
  5. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

    Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako 1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo...
  6. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto Kuna (baadhi) ya watu wazima wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao Utasikia:👇 Yaani huyu utoto unamsumbua Huyu ana utoto mwingi Hajitambui Na maneno mengine mengi sana Lakini...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

    Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso. My take: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
  8. Vien

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako haogopi kuchepuka, anaogopa ukijua kuwa anachepuka

    Mahusiano ya siku hizi yamekuwa kama vita vya mashambulizi ya kushtukiza. Hofu kubwa kwa watu wengi haipo tena kwenye kuchepuka, bali ipo kwenye kujulikana kwamba unachepuka. Mtu anaweza kuwa na mahusiano ya pembeni kwa muda mrefu bila kuona tatizo, mradi tu usije ukagundua. Kwa lugha nyingine...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, kabla ya kuhonga mwanamke, umpendaye, umemtumia mama yako pesa maradufu kuliko ya kumpa mwanamke wako. Hakikisha umejiridhisha wewe kabla ya

    Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao. Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
  10. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

    Naomba nianze na mimi Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight" Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Miaka kadhaa nyuma Usimkatie tamaa Mtoto/kijana wako?

    Miaka 20s iliyopita, Mlango unafunguliwa mwalimu wa biology anaingia akiwa na mitihani ya kidato cha kwanza. Mwalimu anasalimia darasa na kutangaza matokeo wa kwanza anamtangaza kapata 99% na wa mwisho kapata 0% , kisha anaanza kugawa karatasi Wakati namwangalia mwalimu anagawa karatasi naona...
  12. Mtoto halali na hela

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya mwenza wako akimtazama jinsia tofauti na yake

    Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ? Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza chombo kwa mbali nikawa naki zoom naye sijui alistuka anaangaliwa akageuka. Kumbe wife kasharudi...
  13. Lamomy

    JamiiForums Tanzania Chifu utajuaje kama malkia wako umemridhisha na wewe malkia utajuaje kama chifu ameridhika?

    Machifu na Malkia Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi? Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo “Kimeumana” Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu...
  14. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Member Red-me unaendaleaje na harakati zako za kukataa totozi na kuweka rehani uanaume wako?

    Red-me za sahizi mkuu..!!?,mara ya mwisho Katika moja ya nyuzi zako ulisema unatamani uhasiwe ili usiwe unasimamisha mchi, ukaenda mbali na kuzizodoa nyapu (mbunye) kwamba ni overrated na huoni umuhimu wake. Hayo yakiendelea wadau mbalimbali walionekana kusikitishwa na bandiko lako kiasi cha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti?

    X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti? Usaliti wake umemlipa au yuko hoi anajutia anatamani kurudi tena kwako?
  16. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kichwa cha familia, usipoteze ubaba wako kwa upofu wa mapenzi

    Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria 1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani. 2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

    Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama, Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
  18. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi

    Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi. Wanaweza kukuonyesha: -Shanga. Fimbo. Mto, mlima, au mahali pengine. Vitambaa vya kiroho. Wanaweza kufichua mambo haya, lakini hawatakulazimisha kuyanunua, kuyavaa, au kwenda mahali walipokuonyesha. Uamuzi huo ni wako...
  20. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Jua madhara ya mrundikano wa sumu kwa utumbo wako

Back
Top Bottom