Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).
Miaka 20s iliyopita, Mlango unafunguliwa mwalimu wa biology anaingia akiwa na mitihani ya kidato cha kwanza. Mwalimu anasalimia darasa na kutangaza matokeo wa kwanza anamtangaza kapata 99% na wa mwisho kapata 0% , kisha anaanza kugawa karatasi
Wakati namwangalia mwalimu anagawa karatasi naona...
Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ?
Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza chombo kwa mbali nikawa naki zoom naye sijui alistuka anaangaliwa akageuka.
Kumbe wife kasharudi...
Machifu na Malkia
Kwenye kale ka mchezo ka chakula cha wapendanao Wewe chifu au malkia kionjo kipi unakitumia ili kujua umeupiga mwingi?
Je, chifu performance yako malkia alikupa muitikio upi wa kuweza kusema leo “Kimeumana” Mikito ipi ulipiga mpaka malkia akafika kilele cha utramu...
Red-me za sahizi mkuu..!!?,mara ya mwisho Katika moja ya nyuzi zako ulisema unatamani uhasiwe ili usiwe unasimamisha mchi, ukaenda mbali na kuzizodoa nyapu (mbunye) kwamba ni overrated na huoni umuhimu wake.
Hayo yakiendelea wadau mbalimbali walionekana kusikitishwa na bandiko lako kiasi cha...
Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria
1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani.
2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,
Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake.
Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA"
Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi.
Wanaweza kukuonyesha:
-Shanga.
Fimbo.
Mto, mlima, au mahali pengine.
Vitambaa vya kiroho.
Wanaweza kufichua mambo haya, lakini hawatakulazimisha kuyanunua, kuyavaa, au kwenda mahali walipokuonyesha.
Uamuzi huo ni wako...
Nyie mnaomcheka ni sababu si ndugu yenu. Kichaa anachekesha kama si ndugu yako. Mambo anayoyafanya ni ya aibu sana. Lakini si wa kumcheka. Lazima mjue ametokea wapi na amepitia hali gani.
Ni kujaribu tu kumwelewa kuwa hapo ndo ukomo wake wa akili ulipoishia. Hakuna maajabu yanaweza tokea tena...
NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro ndio makazi yake yapo mpaka Leo,
Ujaluoni nimefika marachache zaidi nadhani katika maisha yangu...
Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii
Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀
Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa zamani hapa 😁
Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu.
Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu
Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu.
Niko Marekani wiki ya pili sasa
Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters.
Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata .
Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
Day 1
Wataalamu wa jiografia karibuni kwenye siku ya kwanza ya Club Mate’s Geography Quiz. Wa kwanza kutaja jibu sahihi la category moja atapata point moja, wa kwanza kutaja majibu yote sahihi kwa pamoja atapata points 10 kwenye leaderboard. Tumpate bingwa wa jiografia wa hapa JF.
Leaderboard...
Wadau za wakati huu,
Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
Heshima kwenu wakuu,
Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu.
Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.