..juzi mtoto Angel amefariki chanzo ni jinai iliyotendeka oct. 2025 chini ya samia, kuna maelfu ya case km ya mtoto Angel..ushahidi upo, sasa unaulizaje jinai ya samia km huijui..kutochukuliwa hatua kwa jinai ya ruto hakufanyi samia asichukuliwe hatua km alitenda jinai, makosa yanatofautiana, muda, madhara, chanzo nk jiulize maandamano chanzo chake ni nini? hao unaita wachochezi wanachochea nini, wewe unateka watu, unaua, unahonga media zisiripoti mauwaji na ukandamizaji unaofanya, unaiba mali za umma yote haya unataka watu wasiseme?Hebu niambie hiyo jinai unayoita ya Samia vs hizo jinai za hao wengine...
Unapo
Sauti ya Mtanzania,
Safarini Khost - Afghanistan.
Wakisema unawaita wachochezi..WHY? dola ndio yenye silaha iliua watu, mambo ya uchochezi hayana base, kupigia kelele maovu na kuambia watu kukataa uovu kwa kuandamana si uchochezi..maandamano ni haki ya raia kikatiba, huwezi kuita maandamano ya kukataa uovu eti ni mapinduzi!