Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 5,033
- 11,380
Nadhan ww ndio una utoto kwenye Reasoning.hawezi kamwe kufurahi, acha kutetea, kufurahi mtu/binadamu kuuawa..HAWEZI! sasa upumbavu hauna hadhi, elimu, umri nk..mtu anayetetea watu kuuliwa ni mpumbavu! unaishia hapo kwanza..!
Hakuna mtu huko Juu amefurahia watu kuuliwa au lile tukio. Hakuna.
Tuweke hisia pemben na Tuangalie uhalisia. Na tuachane na sababu zilizopelekea watu kufanya fujo.
Ishu hapa ni ICC. Je Raisi na Vyombo vyake vya Dola vitapelekwa ICC?.
Hii ndio Hoja .
Ww kutetea hii hoja umeangalia nyuma yake kuna nn (sababu) . Wakat weng wanaangalia Uhalisia wa tukio na jinsi lilivyokabiliwa.
Sasa ndio unaita watu wapumbavu na wajinga?.
Unahisi waliosema Kuwa Hakuna Kesi ICC hawajui unachosema ww?.
Wanajua sana.
Ila uhalisia ni kwamba Polisi walikuwa wanazuia madhara zaidi yasitokee, madhara makubwa zaidi.
Ni kweli nguvu wametumia kubwa . Ila wangeacha basi kungekuwa na madhara makubwa zaid na zaidi.
na huo sio Uhalifu dhidi ya binadamu. (Ndio maana nikataka ujue maana ya uhalifu dhidi ya binadamu).
Kungekuwa ni maandamano tu na Polisi wangeua bas ingekuwa ni ishu nyingne.
Tabata wafanya vurugu walichoma ofisi ya dawasa. Ofisi serikali za mitaa kibao zimechomwa.
huku kwetu wamechoma sheli na walikuwa wanaenda kuvamia CRDB.
Pamoja na waliouawa hawana hatia. Ila polisi wao kwao watasema wameua watu waliokuwa wanaharibu miundo mbinu.
Sasa uhalifu dhidi ya binadamu unatokea wap hapa?.
hivi unajua kwa sheria za TZ. Mtu ukichoma Soko. Unashtakiwa kwa ugaidi. Na ni kifungo cha maisha jela.