nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu baada ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 nchini Israel.

    Mkuu wa Majeshi ya Israel, LTG Eyal Zamir, kuhusu kuadhimisha miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7: Vikosi na makamanda wa IDF, katika huduma ya lazima na katika akiba, wafanyakazi wa kiraia wa IDF. Mnamo Oktoba 7, siku ya Simchat Torah 5784, mipaka yetu ilivunjwa katika shambulio la umwagaji damu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa kwanza afariki kwa Ebola nchini Kenya

    Alitokea DRC, akaja Uganda the akachukua flight to Nairobi . Alipelekwa kwenye isolation Center at Nairobi hospital ambapo amekufa usiku wa leo. My take: Badala ya Marais wote wa East Africa kuungana kuanzisha tafiti za vaccine, or any other control measures, yanaungana na Chivayo kuiba hela...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya walimu wakuu kuwalaza wasimamizi wa mitihani ya taifa madarasani ipigwe marufuku

    Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu. Kituko kingine...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msajili afuta Kampuni 440 katika Sekta mbalimbali nchini

    Msajili wa Kampuni nchini Kenya amefuta kampuni 440 kutoka kwenye rejista rasmi ya kampuni, hatua iliyogusa biashara katika sekta mbalimbali za uchumi. Kwa mujibu wa Gazette Notice ya Oktoba 4, 2026, kampuni hizo zilivunjwa rasmi na majina yao kuondolewa kwenye Register of Companies chini ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Bungeni hakuna kambi rasmi ya upinzani, tuko 11 tu

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu. Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara. Ado alisema mwaka 2015...
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

    Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Waishio Nchini Uganda na Kura za 2027 - Pukose Asema "Watakaowazuia Watauawa"

    Mbunge wa Endebess, Dkt Robert Pukose, amezua mjadala baada ya kutoa kauli kali kuhusu Wakenya wanaoishi Uganda na wanaotarajiwa kuvuka mpaka kushiriki uchaguzi wa 2027. Katika hotuba iliyoripotiwa Oktoba 2, Pukose alisema kuwa yeyote atakayejaribu kuwazuia Wakenya hao kuingia nchini kupiga...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka sifa kedekede hadi lupango: Mkasa wa Rick Ross na tafakuri ya 'uchawa' nchini Tanzania

    Rapa nguli wa Marekani na mmiliki wa lebo ya Maybach Music Group (MMG), William Leonard Roberts II (Rick Ross), amejikuta katikati ya dhoruba kali ya kisheria nchini kwake. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya msanii huyo kujipambanua kama msifiaji mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Utajiri nchini Zimbwabwe na siri yake..

    Baada ya ya kuwapoteza vijana wawili wenye ukwasi wa kupindukia. Ginimbi na Chivayo je nani tunategemea kumsikia akitingisha Zimbabwe na nchi za Africa ???
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vifo vya ghafla vya mamilionea vijana nchini Zimbabwe katika mtazamo wa kiroho

    Mnakumbuka ajali mbaya ya gari ya Ginimbi (2020)? Na sasa hii ya helikopta ya Wicknell Chivayo (2026)? Kiuhalisia vifo hivi vinaacha maswali mazito yanayogubikwa na hofu, ushirikina na siri nzito za ulimwengu wa giza. Kwenye macho ya jamii, vifo hivi si ajali za kawaida tu za barabarani au...
  11. GwaB

    JamiiForums Tanzania Quantum Wealth Fund ni Taasisi inayotambulika kisheria na inafanya shughuli zake nchini kihalali?

    Quantum Wealth Fund Taasisi inayojinadi kujihusisha na uwekezaji kwenye soko la hisa la DSE kwa ushirikiano na Orbit Securities Limited, ni kweli imesajiliwa BRELA? Je inatambuliwa na mamlaka ya Masoko na Mitaji? Je inalipa kodi kwa shughuli inayojihusisha nayo ya kupokea pesa kutoka kwa...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  13. Milvik Tanzania

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Afya Nchini na Jinsi ya Kupata Payo la Daktari Bila Kufuata Folani

    Habari za muda huu Wana-JamiiForums, Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la changamoto mbalimbali za afya nchini kwetu—kuanzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari, mpaka yale ya msimu kama vile malaria na matatizo ya mfumo wa chakula. Moja ya...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi nia na madhumuni ya Tundu Lisu kuihamishia familia yake ng'ambo, na kisha yeye kurejea nchini pekeyake ni ipi hasa dhidi ya umoja na amani ya TZ?

    Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake? Na, kwanini aliitanguliza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya majimbo italeta ukabila, Tunachohitaji ni Katiba ya Warioba. Ghana, Malawi, Zambia na Botswana zina mfumo kama wetu ndio maana zimetulia

    Wilaya zetu zina makabila, na mikoa yetu pia ina makabila. Hata hivyo, mfumo wa uongozi wa serikali za mikoa tulionao, ambao kwa namna fulani unapatikana pia katika nchi zinazotajwa kuwa na mshikamano mkubwa wa kitaifa kama Ghana, unapunguza uwezekano wa viongozi wa mikoa na wilaya kujijenga...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  17. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mchele uliotolewa na China wazipa afueni kaya zilizo katika mazingira magumu nchini Cameroon

    Alfajiri na mapema Vivian Njie mwenye umri wa miaka 89 aliwasha jiko lake la kuni katika mtaa wa Mbende, mji wa mapumziko wa Limbe uliopo Mkoa wa Kusini-Magharibi mwa Cameroon. Safari hii, sufuria iliyokuwa juu ya jiko haikuwa tupu. Ndani yake, mchele mweupe wa punje ndefu uliotolewa na China...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
Back
Top Bottom