TANESCO Official Account Joined Jul 12, 2014 Posts 5,568 Reaction score 3,195 Monday at 1:04 PM #1 Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake! omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake! omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 4,191 Reaction score 7,562 Monday at 1:21 PM #2 kama sijaweka wiring mnaweza kuweka umeme hadi kwangu kuvuta waya