simu

  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

    Huwezi kuwa na siri nzito za matukio ya Oktoba mwaka ule, halafu waukuache tu unarandaranda mitaani.
  2. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Wanahitaji kutumia NIDA yangu kumsajilia mtu mkopo wa simu.

    ni ofisi inayohusika na ukopeshaji wa simu za smartphone..wameniomba wanipe posho kidogo wamsajilie mtu simu ya mkopo vipi mnaojua huwa kuna risk au side effect yoyote kwa namba yangu kutumika?
  3. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Msaada; biashara ya kuchaji simu

    Wakuu naomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya kuchaji simu mtaji, faida, hasara
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Posta na Simu SACCOS tulipeni pesa zetu

    Saccos ya Posta na simu walipeni pesa zao wastaafu na waliojitoa. Eneo la Mabibo limeshauzwa muda sasa, kwanini mnaomba rushwa na hamtaki kuwalipa haki zao.
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗠𝗳𝘂𝗺𝗼 𝘄𝗮 𝗮𝗽𝗽 𝗹𝗼𝗰𝗸 𝗺𝘂𝗮𝗻𝘇𝗶𝗹𝗶𝘀𝗵𝗶 𝗻𝗶 𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 𝘀𝗶𝗼 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴

    Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ?? Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
  6. Vien

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnapaswa muelewe hili kwa nia njema kabisa: muda wa kazi simu zinazongatiwa ni za mipango tuu

    Happy Sunday JF Members. Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa. Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu hazimaanishi kwamba mapenzi yanaongezeka. Kuna muda zinageuka kuwa kero. Ukimtafuta mpenzi wako mara...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hiki kilio cha Pipytida ni kunyang'anywa simu na polisi tuu au Kuna kingine?

    Kuonyesha unapata mafanikio, unajenga manyumba na kununua magari kwa kukata kiuno hapo ndio shida ilipoanzia. Hii nchi kila mtu atakuja kua mwanaharakati ni suala la mda tuu.
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗣𝗶𝘅𝗲𝗹 𝗶𝗺𝗲𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗠𝗳𝘂𝗺𝗼 𝘄𝗮 𝗔𝗽𝗽 𝗹𝗼𝗰𝗸 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗮 𝗸𝘂𝘀𝘂𝗯𝗶𝗿𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝗺𝗶𝗻𝗴𝗶😱

    Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! 😍📱 Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern. Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Serikali zipo lakini simu hazipatikani: Kero kubwa kwa wananchi wa Tanzania

    Hili ni kero kubwa sana kwa wananchi, kwa sababu simu za ofisi za Serikali zinapaswa kuwa moja ya njia rahisi za mwananchi kupata huduma bila kulazimika kufika ofisini. Tatizo linapojitokeza kwamba namba za landline za Halmashauri, Manispaa, Majiji na mashirika ya umma hazipatikani, hazipigi...
  11. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Ulikuta nini kwenye simu yake na kikabadilisha kabisa jinsi unavyomuona mpenzi wako?

    Naomba nianze na mimi Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight" Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
  12. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘄𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘄𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗔𝘀𝘀𝗶𝘀𝘁𝗮𝗻𝘁 𝗶𝗻𝗮𝗼𝗻𝗱𝗼𝗹𝗲𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 😱

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘄𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘄𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗔𝘀𝘀𝗶𝘀𝘁𝗮𝗻𝘁 𝗶𝗻𝗮𝗼𝗻𝗱𝗼𝗹𝗲𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 😱

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗗𝗢𝗕𝗘 𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗧𝗚𝗣𝗧👋

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! 😱 Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. 🎨📸🎬 Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. 🖼️ Photoshop –...
  17. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mliongalia Tamasha la Simba day je,leo simu ilipigwa?

    Salaam wakuu Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha? Usiku mwema
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 🚨😱 𝗪𝗔𝗜𝗧… 𝗪𝗛𝗔𝗧?! 𝗥𝗘𝗗𝗠𝗜 𝗔𝗠𝗘𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜?!👇

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh 👋 Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa 🔥🔥, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh 🔋 + 185Hz ⚡ kwenye simu moja?! 🔥📱 inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo😱🤯

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥 Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  20. jr.kiyn

    JamiiForums Tanzania Simu imeokotwa

    Kwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
Back
Top Bottom