simu

  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu 👋. Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri 😬 Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi umefunga wifi nyumbani na unaruhusu watoto waitumie bila mipaka, unasubiri kuvuna ulichopanda ?

    Hongera kwa kufunga wifi lakini umewahi kuwaza matumizi yake kwa hao watoto wako wanaoitumia ?
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Simu inanipotezea muda, Wewe Umewezaje kudhibiti matumizi?

    Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time. Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥 Kwa ufupi tu kuhusu...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Jihadhari kununua hizi Samsung kwa mwaka huu 2026

    🔥 Kabla hujaamua kwenda kununua simu za Samsung used, save hii post na tuma kwa mtu anayepanga kununua simu! Sio kila Samsung yenye jina la Galaxy bado ni simu nzuri 😳. Baadhi ya simu za zamani zimefika mwisho wa updates na security support. ❌ Galaxy S22 Series kilichobakia ni security...
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

    Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya. Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane. Mkurugenzi huyo ame...
  7. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nipigie simu kama unauza Gari yako

    Habari wakuu. Kama unauza Gari yako itanunuliwa tu. au unataka kubadirisha Gari yako kwa Gari nyingine nipigie simu. Pia kama unarafiki yako anauza Gari nipigie simu tuokote pamoja. Aina ya magari yanayohitaji ni haya. (1) Subaru Non Turbo au Impreza. (2) Gari yoyote aina ya Toyota. (3)...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kuna panya mwenye kasendwe amenipigia siku akifa nisisogelee msiba wake "Dudu baya"

    Msanii Mkongwe Dudu Baya, ameonekana kwenye video akisema kuwa kuna mpumbavu mmoja panya mwenye kaswende mpumbavu eti amenipigia simu eti akifa nisisogelee maiti yake akifa nisifike Kwenye msiba wake. Unadhani panya huyo ni nani?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hali ya makato huduma za Miamala ya simu zinatisha, zinatutia umaskini, serikali iliangalie hili.

    M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha. Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa urahisi lakini kikwazo ni ukubwa wa kulipia huduma hizi ni tatizo. Ukipokea sh 10000 kwa mfano, ni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu wizi na uharibifu wa miundombinu ya nyaya za umeme, mabomba ya maji na mifuniko cha chemba, Arusha

    Mdau kutoka Arusha naomba kufichua vitendo vya wizi na uharibifu wa miundombinu vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali ya pembezoni mwa barabara, hususan barabara zinazoendelea kufanyiwa marekebisho na nyingine ambazo bado hazijafanyiwa ukarabati. Kumekuwa na watu wanaoharibu miundombinu ya...
  11. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania JAMAA ALIEIBAA SIMU DUKANI KWA SURARAIYA , ASHAIRUDISHA, HAKUA NA NAMNA, CCTV MCHAWI

    Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store. Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania NHC Morroco Square: Boda-boda wanaopaki Ni waporaji wa Mikoba, Simu!

    Baada. ya Jengo kubwa lililojengwa na Kumaliziwa kwa juhudi za Mh Samia , ambalo ni NHC Morocoo Square, lenye ofisi nyeti za Serikali , yaani hazina , imegeuka kuwa kijiwe cha majambazi na wezi. Jengo hilo lenye mwonekano wa ulinzi kwa ndani ndio jeno rahisi kabisa kufanya uhalifu. Parking za...
  13. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Ukitumia Simu Hizi 7 Utatupa Hiyo Iphone, Pixel au Samsung Yako

    UZI …. Wakati naanza kazi ya kuuza simu mwaka 2021 , kuna kitu kilinishangaza kidogo … Wabongo wengi wakija dukani walikuwa wanaulizia sana Samsung , Iphones , Pixel , Tecno , Infinix lakini hali hii ilikuwa tofauti kwa wageni …. Kivipi ?…. Idadi kubwa ya Wachina n Wahindi sana sana na...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗡𝗼𝗸𝗶𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶 𝘀𝗺𝗮𝗿𝘁𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗼🔋📱

    Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱 Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako 👋. Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Itel a200 simu ya bei nyepesi yenye uwezo wa Samsung

    Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? 👀🔥 Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE — ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Simu za Raddy zinazotengenezwa Tanzania, ingependeza ziwe na quality nzuri na bei nzuri kuanzia mwanzo ili kutengeneza trust kwa wateja

    Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani wangeimprove product zao Kwa mfano nimeona hii simu yao inaitwa "Raddy Janja Pro" inauzwa 350,000/=...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania 9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

    Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"! Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa Wapenzi wa Samsung Galaxy ulimwenguni

    Samsung itaweza kuachia Teknolojia mpya ya Privacy Display kwenye Baadhi ya model ya Simu mpya ya Galaxy S27 sio zote. Kwa ufupi tu Privacy Display Ni teknolojia ya ndani ya OLED inayo punguza sana kile ambacho mtu aliye pembeni anaweza kuona kwenye screen yako. Tofauti na privacy glass ya...
  19. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Aina 15 simu zinazoongoza Kwa mauzo Kariakoo mpaka Sasa

    Soko la kariakoo ndio soko kubwa Tanzania na afrika mashariki lenye kila aina ya products , zaidi linauza simu za kila aina . Maelfu kwa maelfu ya simu yanauzwa kila siku , lakini ulisha wahi kujiuliza ni simu gani haswa zinaongoza kuuzwa katika soko hili maaraufu afrika mashariki ? Kama bado...
  20. nipo online

    JamiiForums Tanzania Mkataba umeisha tarehe 31 Agosti. Leo tarehe 8 Septemba napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena. Wanasheria tafadhali

    Mkataba ulikua wa miaka 3. Uliishia ile tarehe 31 mwezi wa 8 Leo napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena.. Hii ni mara baada ya kuingiza mshahara wa mwisho. Nilimuuliza kwa iyo kazi ndo imeisha anajibu kua.. hajui. Sio mtaalamu sana wa sheria, hivi utaratibu alioutumia ni sahihi? Kwisha...
Back
Top Bottom