basi

  1. nodetz

    Kama boss wa NVIDIA (Jensen Huang) kanaswa kwenye honey trap basi wanaume wapenda totos sio wa kuwapa nyazifa kubwa.

    Kuna muda huwa najiuliza kwani hawa wanawake ni kipi cha ziada huwa wanakitoa, mpaka kufikia hatua ya kumchanganya mwanaume mtu mzima mwenye akili timamu na kujikuta anafanya maamuzi ya hovyo? Tukio la Jensen limenifikirisha sana. Kama kweli uyo manzi alikua ni jasusi wa China. Basi...
  2. Traxtion

    Kama hukumpenda Charlie Kirk basi kuna huyu wa sasa anaitwa "Myron Gaines", utamchukia zaidi ya Charlie Kirk

    Kuna watu ambao wana uwezo wa kuibua mijadala mikubwa mitandaoni, lakini Myron Gaines ni mtu ambaye ukianza kufuatilia baadhi ya kauli na mitazamo yake, unaweza kujikuta unajiuliza huyu mtu anaamini kweli anachokisema au anafanya hivyo ili kupata attention. Kumbuka Charlie Kirk hakupendwa na...
  3. O

    Tungekuwa na wanasiasa wanaotuliza akili basi mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE tungeyatumia kupata mabadiliko (Reforms)

    Ninaandika hivi kuwakumbusha wanasiasa na umma wa Watanzania kwamba Tume ya Jaji CHANDE ilipendkeza kuwa na Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa ,Kuwa na Katiba mpya ifikapo 2028 na kwamba chaguzi zijazo za 2029/2030 zifanyike chini ya Katiba mpya,Fidia kwa waathirika nk. Lakini kwa...
  4. S

    Kama mtoto wa Ruto kwa mahali ya Bilioni 7, na mali za thamani kadhaa, Basi ule uzuri wa yule demu mahali Trilion 1 au 2 ?

    Hajui ajenge gorofa au nyumba ya tembe apate sifa na mademu wakali wa mbinu Awe masikini au Tajiri
  5. Gordian Anduru

    Basi gani Zuri Dar Iringa?

    Kuna dogo anaenda chuo Iringa hapa basi gani lina uhakik
  6. Moto wa volcano

    Wanaojipa vyeo vya Mitume/ Nabii wote ni wahuni ni basi tu Afrika wajinga ni wengi kuliko werevu

    https://www.instagram.com/reel/DfbhYq0NVs4/?exln=MTN1MXlqdnk4YzhiaQ==
  7. The Palm Beach

    Judge Dunstan Nduguru na wenzake baada ya hukumu hii, basi ipo siku atasema nililazimishwa kwa mtutu wa bunduki kusoma hukumu hiyo!!

    Actually, atakuwa anafanya utetezi wa kijinga lakini usishangae kabisa ikitokea unless wawaue sasa... Na hawa mabwana watatu wanajiita "Majaji" watakufa kweli kwa kuwa kwa hiari zao wenyewe wamechagua fungu hilo la kuwa upande wa dhuluma na mauti badala ya kuchagua upande wa haki na uzima...
  8. Keynez

    Kama hautaweza kuhudhuria mahakamani Novemba 06, basi walau simama pembeni ya barabara umpungie mkono shujaa Tundu Lissu

    Nadhani wengi wetu badala ya kuwaza kwenda mahakamani 06/11 siku ya kutajwa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, ambapo idadi inayoruhusiwa kuingia mahakamani ni ndogo na ili kuepusha rabsha, wengi tujiandae kusimama pembezoni mwa barabara. Kuna ruti ya kwanza ambayo huwa inatumika kumpeleka Tundu...
  9. Idugunde

    Kama kweli Godbless Lema amewauza Pambalu na Mwaipaya, basi huyu jamaa hafai kuwa MwanaCHADEMA ya sasa

    Taifa lipo kwenye kipindi ambacho wananchi wanahitaji ukombozi. Wamechoshwa kuibiwa mali zao za umma na wanaona kabisa CCM inaondolewa madarakani. Wasaliti kama Mbowe au Zitto Kabwe miaka ile ya nyuma hawana nafasi tena. Chadema wachukue hatua stahiki mapema dhidi ya huyu mnafiki.
  10. A

    KERO Treni za SGR daraja la biashara nauli ni TZS 120,500 ila internet ni ya kusuasua. Kwenye basi nauli ni TZS 35,000 na internet ni safi na bure

    Hivi Tanzania Railways Corp , nina swali kwenu. Nauli ya daraja la Business Class ni Shilingi 120,500, lakini inashangaza kuona kuwa huduma ya Wi-Fi ndani ya treni haijawekewa mtandao wenye ubora na uhakika. Mtandao unasumbua kiasi cha kushindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yanayohitaji huduma...
  11. M

    KERO UDART, kama kuhudumia wasafiri wa mabasi ya mwendokasi kumewashinda basi wapeni MOFAT waendeshe routes zote

    Habari! Kama umekuwa ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi yanayoendeshwa n kampuni hizi mbiili za MOFAT na UDART utakuwa umegundua utofauti mkubwa sana wa huduma. Kawaida mabasi ya MOFAT (yenye rangi ya kijani) huwa hayapaki kituoni ilihali abiria wamejaa wakisubiri usafiri ila kwenye hii...
  12. Kaka yake shetani

    Uganda na Rwanda wakiweza kufanikisha goma upande wote wa Congo basi Burundi na Kagera ni sehemu zao, mtanikumbuka!

    Mada zangu mnaona kama kichaa ila ukweli ndio huu. kwa sasa hawa pande hizi wamewekeza CCM na lile kusema kuna vikosi na majeshi yana toka huko mtabisha ila weka kumbu kumbukumbu. Kuna kitu CCM mtajialumu na huyu mtu kutoka UVCCM mwenye kauli tata zake za kuteka. Nchi inaenda kugawanywa na...
  13. Mad Max

    Ukitaka Gari lenye muonekano wa Kisasa, Mafuta Kidogo, Service Kidogo, Reliable Basi Chukua Nissan Note E13 (e-Power)!

    Tuachane na Hybrids za Prius, Fit, nk. Ukitaka stress free, kagari flani ka misele ya mjini, basi ishi humu. Ni Nissan Note ya kuanzia mwaka 2021/22. Najua uzuri ni subjective, kila mtu ana vigezo vyake, ila at least tutumie neno muonekano wa Kisasa. Kwanini nasema reliable? Ukifananisha...
  14. S

    TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kama Twaha amekamatwa basi Hilda Newton ni vizuri ukabadili location au ukajileta mwenyewe kumuangukia Bi. Kizimkazi

    Hamjambo! Ni ngumu kumkamata mwanamke kwa sababu vishawishi vya mwanamke nje ni vichache ukilinganisha na sisi wanaume. Mwanamke anauwezo wa kukaa na kujichimbia ndani kama akipewa mahitaji ya msingi mfano chakula, bundle la internet na kifurushi cha Luninga. Ushuani wanawake wanaweza kukaa...
  16. Idugunde

    Maoni ya Idu:Kama Pambalu ni mhaini basi hata mimi ni mhaini.

    Hii Tanganyika imepotea njia👇
  17. haszu

    Kama unafika sehemu au unapita na watu hawakuangalii mara mbilimbili au kushtuka, basi wewe unamuonekano wa kawaida sana na hata kuvaa hujui

    Mimi nikipita sehemu lazima watu watashtuka kidogo, na huwezi niangalia mara moja, utageuka tu mara ya pili, wote wanaume na wanawake. mwanzoni nilikua nashtukia lakini baada ya kujua ni muonekano wangu bas sasa nimeshazoea. Na asio kua weupe unanibeba, hapana, ila kuna ile hali ya kua na...
  18. BOB LUSE

    Tumekwama Morogoro na Basi la ABC Upper class! Tunaziba Pancha!

    Basi inaonyesha hawana Spea Taili,tunaziba taili zinaonyesha zimechoka! Huduma za watu inabidi ujali abiria, uwekezaji wa kuwa na Mabasi mengi huduma kwa wateja Mbovu,unatafuta anguko katika uwekezaji huo! Naamini sitatumia usafiri wa hii kampuni,hawapo responsible. Zama za kuweka...
  19. Kipenzi Changu

    Kama kuna vipimo basi awahiwe kabla hali haijawa mbaya

    Kama kuna Rushwa Serikalini ni Viongozi wa Dini ndio wameshindwa kuthibiti Rushwa kwa kushindwa kuwaombea waumini wao waache Rushwa” - MAKONDA My Take Nchi hii ipo kinyume sana katika uongozi, watu wanaongea pumba ndio wanapewa majukwaa makubwa.
  20. Wakusoma 12

    Ukiua taaluma ya sheria basi umeua utawala wa sheria CCM kuweni makini sana. Kutishia wanasheria ni hatari kwenu pia.

    Ukiua uhuru na uadilifu wa taaluma ya sheria, unadhoofisha utawala wa sheria; unapodhoofisha utawala wa sheria, unaweka rehani haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali na misingi ya demokrasia. Serikali ya wananchi haiwezi kuwa imara pale ambapo sheria inalinda mamlaka badala ya kulinda haki.
Back
Top Bottom