ni ya

"Ya No Somos Ni Seremos" (English: "Now We Aren't or Will Ever Be") is a song by Mexican musician Christian Nodal. Written by Nodal, Anthony López and Edgar Barrera, it was released on February 18, 2022 via Sony Music Latin as the second single from Nodal's second extended play, Forajido (2022). The track peaked at number one on the Hits of the World Mexico Songs chart and debuted at number eight on the Hot Latin Songs.

View More On Wikipedia.org
  1. TANESCO

    Monday ni ya Nikonekt

    Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake! omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
  2. K

    Kama hii Safina ya Nuhu ni ya kweli atheist wote chali

    Kuna mijitu haiamini katika uwepo wa Mungu ipo ipo tu inajificha kwenye kivuli cha Uatheist. Ndugu zangu mmefeli sana. Katika hali ya kushangaza mabaki ya Safina ya Nuhu yamepatikana huko Uturuki katika mlima wa Alarati ambao ndo mlima ulioandikwa kwenye vitabu vya dini zote. Sasa ndugu yangu...
  3. Roving Journalist

    Maxence Melo: Tuzo ya Netherland Human Rights Tulip Award 2026 niliyopata si yangu, ni ya Wadau wote wa Habari

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica (waanzilishi wa JamiiForums), Maxence Melo ameelezea ushindi wa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Ubalozi wa Uholanzi ya Mwaka 2026 (Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award) aliyoipata kutoka Ubalozi wa Uholanzi. Ashinda tuzo hiyo kumwezesha kuingia Hatua ya 5...
  4. R

    Inatia hasira kubwa, masikini Lisu na makabrasha yote kujitetea kumbe hukumu ni ya mchongo! Preditermined!

    Nimelifikiria, nikatokwa na machozi! Masikini alibeba makabrasha, mabooks na madictionary kumbe hukumu ni predetermined! Mungu anawaona na atamlipia
  5. R

    Unaona kabisa kuwa hukumu ya Lisu ni ya watawala, kwanini haijawekwa kwenye TANZLII. Ushahidi tosha kuwa iliandikwa na watawala kama Mange alivyosema

    Hukumu zote zinawekwa siku hio hiyo inapokuwa pronounced! Mpaka sasa haijawekwa. Mnaogopa nini kuiweka public? Nani anazuia isiwekwe public?
  6. Chizi Maarifa

    Hawa Jamaa maisha yao ni ya hovyo sana. Ila utawakuta wanasupport Chama kama Matahira

    https://www.instagram.com/reel/Dfg03xTxDYt/?rpxt=dG9uYW4zbDYyYW0= Inasikitisha sana. Kazi ya watu wa Daraja la Chini sana.
  7. Beira Boy

    Huzuni: Kosa ni la wizi wa ng'ombe hukumu ni ya kula firigisi za kuku

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tunakutuhumu umeiba ng'ombe ila tunafunga kwa kosa la kula firigisi za kuku Daudi anasema Wana taka nirudishe kitu ambacho sikuiba Huzuni SAYUNI BOY
  8. Wakusoma 12

    Lissu akosoa hukumu asema ni ya kisiasa.

    Chanzo cha picha,Getty Images Baada ya hukumu kwamba Lissu hana hatia ya kosa la uhaini lakini amekutwa na kosa la uchochezi, Lissu anazungumza Lissu: Naomba mnisikilze kwa makini kama ambavyo mmekua mkinisikiliza, leo ni siku ya 577, kwa kuitwa mhaini, kosa ambalo kwa Katiba ya nchi yetu ndiyo...
  9. britanicca

    Speculation bwana haya eti Nyama ya moto sana Kutema huwezi Maana ni utamu Kumeza huwezi ni ya moto

    Mmoja akauliza maswali ya kipuuzi nimtu namiheshimu very prominent What if wakasema tukimuacha huru bila ka hatia kokote ni shida atatushtaki, bora kifungo au faini Maana faini wana Chadema watailipa tu! Haimaanishi lazima kesi kwe hivo kuna mtu kauliza what if anafungwa kifungo cha nje miaka 5...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Serikali ya CCM ilijua kwamba El Nino ya mwaka huu ni ya joto, kwanini walipunguza muda wa watoto kuwepo mashuleni na kuamuru warudi nyumbani fast?

    Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema? Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame? Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
  11. comrade_kipepe

    Kama ni mpira dakika ni ya 35" CCM 4 WANAHARAKATI/CHADEMA/WANANCHI 1

    Hii mbungi imelala upande mmoja NJAA HAINA BAUNSA.
  12. Alexido jz instagram

    Msaada nauliza bei ya kufanya interview Wasafi fm,Clouds, Eatv nimetoa wimbo mpya

    Msaada gharama ya kulipia kutambulisha nyimbo wasafi FM, clouds, crown na EATV au kama Kuna mdao anaweza nishika mkono tafadhali. Ngoma ni ya moto wakuu msaada PLIZ Sito kosa show hata ya kudumduliza wakuu
  13. R

    Ushahidi wa mashirika yasiyokuwa na tija, ni ya kufutwa, ni huu hapa

    1. TMA 2. Eti na huyu ni Dr. , PhD holder .......as put by Chief Master of Jalalani , huyu naye katoka k jalalani! Mmebadiri mihura ya shule kuhofia mvua kubwa, mnazibua mitaro kuhofia mvua kubwa, leo linasema El Nino ni joto , mara ilianza mwezi wa tano ....na mavi mengine kama hayo!
  14. Son of Israel from Africa

    Mchengerwa Vs UVCCM: Nani atashinda kwenye dabi? Maana ni ya motooo🙈🫡

    Hey member Mko sawa! Etiii nawauliza nawauliza kwenye dabi ya Bwana Mchengerwa naa UV CCM Na nani anaenda kushindaa hii dabi🫡🫡🫡 Toa maoni bila kuwa mfitinii Mchengerwa kasema UVCCM wananuka Rushwaaa!! Nimeona wanamjibu huku na huku jee nani anaenda kushindaa💪💪🔋✅️
  15. Mganguzi

    Tumejifunza na tumejifahamu DNA yetu ni ya popo

    Ndugu zangu biblia katika 1samweli 9:9 na kuendelea mungu anajipambanua kwamba yeye ni mungu na kamwe Huwa hatembei njia moja na mtu muoga ! Ndio maana mungu alitaka kumuua mfalme hezekia kwa kosa la uoga maana alimuogopa sanekarebu ! Mungu alimchukia sauli kwa kumuogopa Goliath! Mungu Yuko...
  16. Mad Max

    Kwanini TAG makanisa yao mengi ni ya mabati mabati ova wanajitafuta wakati ni moja ya taasisi kongwe?

    Ni kwamba kila kanisa lijijenge kwa mfuko Binafsi au Hakuna mfuko wa pamoja kama taasisi nyingine za kidini? Naomba kuelekezwa taratibu
  17. Eli Cohen

    Tanzania bado ni ya 5 duniani kwa maambukizi ya UKIMWI. Usidanganyike na zile chudai za kavu kavu ukaona kawaida kuteleza. Jilinde na linda na wenzako

    Inawezekana kwa VVU kudumu miaka 8 bila kusababisha dalili zinazoonekana na baadhi ya watu huishi na VVU kwa miaka 10 bila kujua kwamba wana VVU. SOURCE: UNIAIDS
  18. comrade_kipepe

    Kama ni mpira kwa sasa sisiem wanaongoza 3 na dakika ni ya 35 kipindi cha kwanza.

    Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa. Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo. Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
  19. Equation x

    Kama haya hamyafanyi mara kwa mara ukiwa na mpenzi wako, juwa mahusiano yenu ni ya kuigiza si ya kweli.

    Jiulize:- Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini? Mara ya mwisho kukumbatiana...
  20. Afisa_Nkai

    Je ni ya kweli haya!

Back
Top Bottom